PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,996
- 2,017
Aina ya wanaume unaokuwa nao hutegemea na jinsi we ulivyo.
Study waume za watu=) Ni wanaume ambao tayari wana experience na maisha/mapenzi. Kwa hiyo kimapenzi hujua vizuri namna ya kuwa na wewe. Kimaisha ni kiongozi mzoefu na kama we ni mchepuko basi ameshajijenga kiasi cha kuweza kutunza mchepuko. Ni mwanaume ambaye hahitaji kitu toka kwako kwa sababu akipitia magumu mkewe ndo msaidizi wake, mkewe ndiye anayekuwa naye. Maisha yakiwa stable ndo huja kutumia na wewe.
What does this make u then? Inamaana mostly wewe ni mpokeaji. Na kama mahusiano yako yamekuwa ni ya namna hii(kama ulivyosema) ina maana mchango wako kwenye mahusiano ni mdogo ama hakuna(RECEIVER).
Ukija kwa mwanaume single, demand zake ni vyingi tofauti na huyo aliyeoa. Huyu hata mawasiliano huhitaji mda mwingi muwasiliane kuliko yule aliyeoa. Hata kama ni kiongozi mzuri kwenye mahusiano bado experience ya ups and downs anazijua mume wa mtu. Hapa itakucost kushiriki kujenga mahusiano, kujenga uchumi pamoja, mipango wa maisha. Kiukweli kama umeshazoea raha za kwa waume za watu(ambazo by the way nusu ni nguvu za wanawake wenzio ndo zimetumika kumjenga alivyo) mahusiano na a single man ni changamoto hivyo inabidi uwe umedhamiria kweli.
Ujue ukiwa na mume/mke wa mtu ni kama parasite(mbu, minyoo na mimea fulani inayojishikiza kwa mingine). Wenzi wao wanajitahidi kulisha na kufight nao kimaisha kisha wewe unajifaidia matunda ya kazi zao (Naturally you give nothing to them since sex does not count as something to offer). Tabia hii sasa kiukweli huendana na laana fulani since kula jasho la mtu ni kitu ambacho hakikubaliki(kama unamjua Mungu. Hata ushauri anaokushauri alistahili akili hiyo na muda huo akampe faraja mkewe kwa magumu ya maisha). Kuna msemo usemao, "He who LIVES by the sword DIES by the sword".
USHAURI: Jenga tabia ya kujitegemea...taka vitu vyako. Own ur life. Kama kwenu ulidekezwa jua sasa umekua na wewe ndo unatakiwa ujitegemee financially, socially, career-wise and emotional-wise. Ukishakuwa na independent characters utaona tu single men wanakutafuta since wanakuona ni mwanamke ambaye mwanaume anaweza kujenga maisha side by side. Ukiwa unatabia tegemezi ndo utatafutwa na hao wataka michepuko since hawahitaji more than sex from you(And basically any woman can provide that so ur not that important if someone wants you for that)