Asante kwa kunielewa! Ubarikiwe kwa sana, yote maisha asikudanganye mtu. Nadhani ni bora kuwa small hausi na maisha yakanyoka kuliko kuwa Big hausi na kudandia waume wa wenzako ili maisha yaende. Hata kulala nayo si kufaidi kama vya msimu. Wengi wanandoa tunaona wanavyolala vyumba tofauti achilia mbali mzungu wa saba.Hahahahahaaaa. Waswahili wanasema akili za mwenzio changanya na zako. Sasa kazi ni kwake.
Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,
amekuwa akinisaidia sana katka maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie mshaur wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana
mara nyingne nawaza siwez kufika naye mbali tayar yy ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia
Yang tutaishi maisha haya mpk lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha
mke wake mpk leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje,
nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpk lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye
Unacheza wewee miaka sita maana yake ni ndoa hiyo kimjini halafu leo azingue eti kwa fumanizi!!!!!!! Cyan6 my dear mwanaume wa ku risk familia na kila kitu kwa miaka sita ujue sio mjinga wa mchana na usiku huyo!!!!!
Kama dada ana mbavu haya na apime maji ila anatakiwa awe na pumzi kufuata mkondo huo!!!
Najua siyo vyema kula tonge la mtu nimelijua hilo ndio maana nilijitahid kumuacha siyo vyema kabisa Lakin mwanaume ndio mgumu kuniacha nafanya vituko Vingi ili nimuuzi anichoke aondoke kwangu ndio nimeshindwa nikaja kwenu mnishauri
Asante kwa kunielewa! Ubarikiwe kwa sana, yote maisha asikudanganye mtu. Nadhani ni bora kuwa small hausi na maisha yakanyoka kuliko kuwa Big hausi na kudandia waume wa wenzako ili maisha yaende. Hata kulala nayo si kufaidi kama vya msimu. Wengi wanandoa tunaona wanavyolala vyumba tofauti achilia mbali mzungu wa saba.
Very interesting! Hivi kumbe naye anakuwa na haki kama mume wa ndoa? mi nilidhani wanaosema nyumba ndogo ni za kupita tu kumbe waongo?
Hii ni hatare jamani naogopa ndoa! Mume wangu wa ndoa kumbe ana ndoa nyingine na yupo tayari kuipigania!
Tutakimbilia wapi siye?
Aaa wapi wewe kuwa small house ni zigo kama serikali ya mkwele! Hata kama unapewa kila kitu halafu huna hati miliki ya mume ni bure!
Inategemea lakini unahitaji nini! Nilishajaribu lol wivu ukawa unaniua! Halafu mume akirudi kwa mke wake we unahesabu kenchi usiku kucha!
Kukosa uhuru na mpenzi wako ni torture asikueleze mtu! Usipige simu, usitext, huwezi toka naye outing, huna confidence ya kumtambulisha popote wala yeye hathubutu! Ni mambo ya gizani kama popo akuu!
Inaweza work kama na wewe una wako na yeye ana wake!
Wee sema hutaki kumuacha inaamana umeshindwa kumwambia kuwa humtaki tena!
Tengeneza sinema ya fumaniziNajua siyo vyema kula tonge la mtu nimelijua hilo ndio maana nilijitahid kumuacha siyo vyema kabisa Lakin mwanaume ndio mgumu kuniacha nafanya vituko Vingi ili nimuuzi anichoke aondoke kwangu ndio nimeshindwa nikaja kwenu mnishauri
Hivi mtu ana roho moja atapendaje wawili??? Anakuhadaa tu huyo mume. Kama huamini ngoja mkewe ajue tu...Jamaa atakuacha njia panda. Loooo... Waume nao kwa drama tuuu...Wacha wee...,,,
Mke wa mtu SUMU ila mme wa mtu MTAMU. Bado kidogo jiandae
Tengeneza sinema ya fumanizi
Tafuta mwanaume yoyote unaemfahamu ajifanye yeye ndiye mwenye mali tena aje na marafiki zake wewe ukiwa na huyo mume wa mtu