La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,056
- 1,189
We dini gani kwanza?
Watu hawajui tu, kuna baadhi ya nyumba ndogo zina nguvu sana kiasi mwanamme anaamua ku-risk it all. Sio za ku-underestimate kivile.
Afu ndoa hizi, zioneni tu, unaweza kuta mtu alioa tu kwa sababu yeyote ile, na maisha yakaenda. Inakuwa kazi sana anapoanguka mapenzini tena na mtu mwingine asiye mwenza wake wa kudumu. Ndio maana ukiwa na ndoa, kuwa safe usichepuke tu.
Wakati mwingine watu huoana wakiwa wanaelewana, lakini baada ya muda they grow apart katika vitu vingi, personality, uelewa wa mambo. Kuna wakati hata kufanya conversation ika make sense inakuwa ngumu, mnabaki tu kuongelea mambo ya ada na house chaos tu, nothing nje ya hapo maana mtaongea lugha tofauti kama mnajenga mnara wa babeli.
Katika hali hii, mtu akikutana na nyumba ndogo wanayoendana, chances za kuchanganyikiwa huwa kubwa sana.
Hapa nawaasa wanamme, hasa walooa wanawake waliwazidi (with all due respect) sana shule, wasaidieni kujiendelea kwa njia yeyote, walau muweze converse nao, muwe na confidence na ushauri wao. Mtu anaenda omba nyumba ndogo ushauri wa mambo nyeti kuliko nyeti zenyewe? Sad, lakini hutokea. Usioe mwanamke ili awe pika pakua tu.
But mwisho wa siku mke ni mke na aheshimiwe, na nyumba ndogo ni nyumba ndogo tu.
Siku hizi unaweza kuwa nao msululu kama bata na watoto wakeVijana wote ni waoaji?
Kwa hisani yako naomba maelezo juu ya nyanya chungu hata kwa PM asee chonde chonde!!!!!!!
Habari ndugu zangu,
Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,
Amekuwa akinisaidia sana katika maendeleo yangu mume wa mtu huyu ndie mshauri wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwezi kufika naye mbali tayari yeye ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yangu tutaishi maisha haya mpaka lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpaka leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpaka lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye.
Siku hizi unaweza kuwa nao msululu kama bata na watoto wake
na asitokee hata mmoja wa kusema baby nataka kupajua kwenu
he he he kama karata tu ukilamba galasa pole ukilamba mzungu hongera...
Usimuache, kwani si unaendelea kuishi? Au maisha yako yepi tena jnataka na wewe unae mume wa mtu? Kuna watu wameandikiwa na mungu kuwa nyumba ndogo tu. Hiyo ndo nafasi yako, jienjoy mwanawani. Ni kama daktari na kushika damu, attitude ndo inamfanya asijichukie!
.... six yrs kimada!!!!
hivi na wewe ukitaka kuolewa utatolewa mahari eeeh... damn it!!
Najua siyo vyema kula tonge la mtu nimelijua hilo ndio maana nilijitahid kumuacha siyo vyema kabisa Lakin mwanaume ndio mgumu kuniacha nafanya vituko Vingi ili nimuuzi anichoke aondoke kwangu ndio nimeshindwa nikaja kwenu mnishauri
Watu hawajui tu, kuna baadhi ya nyumba ndogo zina nguvu sana kiasi mwanamme anaamua ku-risk it all. Sio za ku-underestimate kivile.
Afu ndoa hizi, zioneni tu, unaweza kuta mtu alioa tu kwa sababu yeyote ile, na maisha yakaenda. Inakuwa kazi sana anapoanguka mapenzini tena na mtu mwingine asiye mwenza wake wa kudumu. Ndio maana ukiwa na ndoa, kuwa safe usichepuke tu.
Wakati mwingine watu huoana wakiwa wanaelewana, lakini baada ya muda they grow apart katika vitu vingi, personality, uelewa wa mambo. Kuna wakati hata kufanya conversation ika make sense inakuwa ngumu, mnabaki tu kuongelea mambo ya ada na house chaos tu, nothing nje ya hapo maana mtaongea lugha tofauti kama mnajenga mnara wa babeli.
Katika hali hii, mtu akikutana na nyumba ndogo wanayoendana, chances za kuchanganyikiwa huwa kubwa sana.
Hapa nawaasa wanamme, hasa walooa wanawake waliwazidi (with all due respect) sana shule, wasaidieni kujiendelea kwa njia yeyote, walau muweze converse nao, muwe na confidence na ushauri wao. Mtu anaenda omba nyumba ndogo ushauri wa mambo nyeti kuliko nyeti zenyewe? Sad, lakini hutokea. Usioe mwanamke ili awe pika pakua tu.
But mwisho wa siku mke ni mke na aheshimiwe, na nyumba ndogo ni nyumba ndogo tu.
katika pita pita zangu za maisha humu duniani .. baadhi ya watu husema kama mwanamke anatatizo la kuwa mkavu wakati wa tendo atumie nyanya chungu inasaidia kuongeza hiyo kitu huko ... ila sijafanya jaribio kama kuna mtu anauhakika naomba atoe ushuhuda hapa
.... six yrs kimada!!!!
hivi na wewe ukitaka kuolewa utatolewa mahari eeeh... damn it!!
katika pita pita zangu za maisha humu duniani .. baadhi ya watu husema kama mwanamke anatatizo la kuwa mkavu wakati wa tendo atumie nyanya chungu inasaidia kuongeza hiyo kitu huko ... ila sijafanya jaribio kama kuna mtu anauhakika naomba atoe ushuhuda hapa
Mbona wengine ndani ya miaka hiyo anakuwa kashakuwa na wanaume kama kumi hivi!!!!!!!!
Si bora huyu wa zero grazing!!!!
Hivi hawezi badili historia ya marehemu? Japo aipambe pambe kidogo?
Alikuwahi kuwa nyumba ndogo mara 8, wakati kifo kinakaribia alikuwa nyumba kubwa?
a ha ha ha, afu kulamba A au 7 imekuwa adimu kweli. Yaani habari ya mujini imebaki K, J na Q tu.
Ila 3, 4, 5, 6 nyiiiiingi.
Hivi karata za siku hizi bado zina majoka kweli?
Ukweli unauma Eeeh!!! Mme wa mtu sumu...Achananae mkuu.Unavyowapenda baba na mama yako una roho mbili!!!?????
Watu wana watoto tisa na wote wanawpenda !!!!
Au ulikusudia nini !!!?????