Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

Watu hawajui tu, kuna baadhi ya nyumba ndogo zina nguvu sana kiasi mwanamme anaamua ku-risk it all. Sio za ku-underestimate kivile.

Afu ndoa hizi, zioneni tu, unaweza kuta mtu alioa tu kwa sababu yeyote ile, na maisha yakaenda. Inakuwa kazi sana anapoanguka mapenzini tena na mtu mwingine asiye mwenza wake wa kudumu. Ndio maana ukiwa na ndoa, kuwa safe usichepuke tu.

Wakati mwingine watu huoana wakiwa wanaelewana, lakini baada ya muda they grow apart katika vitu vingi, personality, uelewa wa mambo. Kuna wakati hata kufanya conversation ika make sense inakuwa ngumu, mnabaki tu kuongelea mambo ya ada na house chaos tu, nothing nje ya hapo maana mtaongea lugha tofauti kama mnajenga mnara wa babeli.
Katika hali hii, mtu akikutana na nyumba ndogo wanayoendana, chances za kuchanganyikiwa huwa kubwa sana.

Hapa nawaasa wanamme, hasa walooa wanawake waliwazidi (with all due respect) sana shule, wasaidieni kujiendelea kwa njia yeyote, walau muweze converse nao, muwe na confidence na ushauri wao. Mtu anaenda omba nyumba ndogo ushauri wa mambo nyeti kuliko nyeti zenyewe? Sad, lakini hutokea. Usioe mwanamke ili awe pika pakua tu.

But mwisho wa siku mke ni mke na aheshimiwe, na nyumba ndogo ni nyumba ndogo tu.

Enhee ndio mtie akili sasa mtunze ndoa na waume, ukimtibua nyongo ndio kama hivo katafuta pumziko kwa miaka sita sasa !!!!!!!
Ujue huyo jamaa sio player ndio maana kakaa miaka yote so ana invest, muda, emotions na mengineyo!!!!
Real player hakai miaka sita asee kwan kataga hapo!!???
Mie nijuavyo mtu akikuambia ile nyumba ndogo ujue hapo jamaa hachapi na kupita in a way kaweka kambi kimtindo sasa miaka sita kweli kama wazima abortion ngapi hapo kama sio kitanzi au vijiti basi pick up kama sio wheel barrow ishajaa vyondom!!!!!

Ukiona njemba imeoa na imekizima kipila na demu kwa muda huo ujue yuko tayari kwa lolote!!!!!!
 
Huyo mwanaume juha wa kupmambanisha ugomvi asioujua mbele wala nyuma unampata wapi!!!????
Unakumbuka Mkenya wa Ilala aliishia kula risasi kwa ugomvi wa shemeji!!!?????
Yuko wapi mama Ufoo Saro (R.I.P) kisa ugomvi wa mapenzi !!!!!!!

Leo umwambie mtu ooonh nataka ukajenge bifu la uongo na ukweli..............risasi haina uongo na ukweli!!!!!!!
Kwahiyo baada ya fumanizi mzee atajifanya pimbi ili apate mazingira ya kuondoka eneo husika, baadae kwa wakati wake au siku inayofuata mama lazima auone moto.

Wewe kwa mtazamo wako unaona suluhisho nini? ikiwa jamaa ni kinga'ang'anizi mno !

Mbinu zipo nyingi hata kama anamiliki bastola, sema haitoleta picha nzuri kuzungumza hapa jukwaani
 
Hakuna mkamilifu ktk dunia kama umeamua humuhitaji mwambie ukweli na mungu atakujalia upate wako
 
tobaaa weeen 6YRS???

acha huo ujinga achana nae vijana wapo kibao
 
Kwahiyo baada ya fumanizi mzee atajifanya pimbi ili apate mazingira ya kuondoka eneo husika, baadae kwa wakati wake au siku inayofuata mama lazima auone moto.

Wewe kwa mtazamo wako unaona suluhisho nini? ikiwa jamaa ni kinga'ang'anizi mno !

Mbinu zipo nyingi hata kama anamiliki bastola, sema haitoleta picha nzuri kuzungumza hapa jukwaani

Kwa nini ajifanye pimbi!!!!??? Anaweza akakichafua tu live mpaka mkashangaa huwezi jua motive yake kukaa na mwanamke kwa miaka sita unadhani haoni hatari!!!????
Yaweza kuwa ndani kuna moto so badala ya kuachana na mkewe wametengana vyumba ili kulea watoto so kwa heshima katafuta huyo wa nje na katulia naye kimtindo kwa miaka sita vigezo na masharti yanazingatiwa halafu upeleke pua yako eti umemfumania..........asee anaweza fungua bucha!!!!!!

Jamaa sio luba wala nini ila aliweka wazi labda tangu mwanzo kuwa yeye anataka mwanamke wa kuishi naye despite kaoa na demu akakubali akijua muda flani litakufa natural death.....kumbe mzee alimaanisha!!!!!!

Mbinu ziko nyingi yes ila na mtu aliye determined na mahusiano ya nje sio wa kumchukulia poa!!!!!!

Suluhisho ni wao kuliongea tu tena bi dada aweke wazi kuwa anataka aangalie future yake aolewe na kuzaa ..........................ndio hapo dingi litapokuwa tayari kumalizia mkia!!!!!!!!!!!!!
 
Habari ndugu zangu,

Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,

Amekuwa akinisaidia sana katika maendeleo yangu mume wa mtu huyu ndie mshauri wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwezi kufika naye mbali tayari yeye ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yangu tutaishi maisha haya mpaka lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpaka leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpaka lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye.

Anakupotezea mda njoo kwangu tujenge familia
 
.... six yrs kimada!!!!
hivi na wewe ukitaka kuolewa utatolewa mahari eeeh... damn it!!
 
Kwa nini ajifanye pimbi!!!!??? Anaweza akakichafua tu live mpaka mkashangaa huwezi jua motive yake kukaa na mwanamke kwa miaka sita unadhani haoni hatari!!!????
Yaweza kuwa ndani kuna moto so badala ya kuachana na mkewe wametengana vyumba ili kulea watoto so kwa heshima katafuta huyo wa nje na katulia naye kimtindo kwa miaka sita vigezo na masharti yanazingatiwa halafu upeleke pua yako eti umemfumania..........asee anaweza fungua bucha!!!!!!

Jamaa sio luba wala nini ila aliweka wazi labda tangu mwanzo kuwa yeye anataka mwanamke wa kuishi naye despite kaoa na demu akakubali akijua muda flani litakufa natural death.....kumbe mzee alimaanisha!!!!!!

Mbinu ziko nyingi yes ila na mtu aliye determined na mahusiano ya nje sio wa kumchukulia poa!!!!!!

Suluhisho ni wao kuliongea tu tena bi dada aweke wazi kuwa anataka aangalie future yake aolewe na kuzaa ..........................ndio hapo dingi litapokuwa tayari kumalizia mkia!!!!!!!!!!!!!
Nimekupata mkuu
 
Law of Karma ..ukija kuolewa mume wako nae atakua na nyumba ndogo kama saba hivi
 
akili za kuambiwa changanya na zako
6yrs au mwenzetu una mpango wa kuolewa
chukua ushauri wa faiza foxy
 
Very interesting! Hivi kumbe naye anakuwa na haki kama mume wa ndoa? mi nilidhani wanaosema nyumba ndogo ni za kupita tu kumbe waongo?
Hii ni hatare jamani naogopa ndoa! Mume wangu wa ndoa kumbe ana ndoa nyingine na yupo tayari kuipigania!
Tutakimbilia wapi siye?
wanakuwa na wivu hao ni balaa. Nlikuwa nae mmoja anaishi moro na mie niko dar kwa kweli alinisaidia sanaaa kwa mikwanja na luxuries. Wakati nataka kumuacha sasa ndo vituko vilivyoonyeshwa nae sikuamini.
Alishawahi kunishikia bastola na kunipeleka zanzibar kwa lazma yaan kanitoa hostel jioni hadi hotel then asubuhi kanifikisha ubungo nikadhani ananirusisha hostel, mara kagairi naona gari linageuzwa sijui napelekwa wapi mtoto wa watu, hao hadi airport kaagiza mtu kampa tiket tukaenda zanzibar nikajua ndo naenda kuuawa huko hapo simu yangu kashavunja tayari.
Nafika zenji kumbe nimepelekwa shopping ya kuombwa msamaha. Ikabidi nijikaze maana nkasema nikifurukuta hapa naweza kuuliwa.
Hadi naachana nae kabsa yaani kama siamini hivi ila ilibidi nihame hostel nikapange mtaani.
Hapo ndo anae mkewe, hawa waume za watu hawatabiriki kabisa. Mie amenitesa sanaaa
 
Najua siyo vyema kula tonge la mtu nimelijua hilo ndio maana nilijitahid kumuacha siyo vyema kabisa Lakin mwanaume ndio mgumu kuniacha nafanya vituko Vingi ili nimuuzi anichoke aondoke kwangu ndio nimeshindwa nikaja kwenu mnishauri
uje umuombe kabla hajarudi kwake pindi anapomaliza mihangaiko yake apite kwako alafu kwa hasira umlowekee nguo zake akirudi kwake atafundishwa adabu na hatarudia tena.
 
Back
Top Bottom