Mume poa lakini hatoi unyumba

Wanaume wa kizungu ndiyo wanahitaji starter sijui uvae see me through. Ninachowapenda black men akitoka kazini kile kitendo tu cha kuwa za nyumbani kuna mtu kinatosha kuliamsha dude.
 
Tatizo wanawake huwa tunasubiri mpaka mwanaume akuchokoze... Kuna muda mwenziooo atakuwa kachoka, hana appetite kabisaa..... Jiongeze ndugu, hamna mwanaume mjanja pale walau upate kamoja ka usingiziii tuu...

Mie ataamka tu kwa kweeeli...
 
hongera mama hata sa nane usiku
 
Wanaume wa kizungu ndiyo wanahitaji starter sijui uvae see me through. Ninachowapenda black men akitoka kazini kile kitendo tu cha kuwa za nyumbani kuna mtu kinatosha kuamsha dude.
Sky hujakosea kabisa maana njia nzima ni kupanga yatakayojiri chumbani siku hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndiyo nini kutuandika kwa herufi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupenda Bureeeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…