Mume poa lakini hatoi unyumba

Mmh. Hata hiyo mkuu haiwezekani ikawa kila siku na hata kama ni daily itakuwa ni kitendo cha muda mana kuna saa usingizi ukikolea lazima kila mmoja ageukie kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila kama mnaweza daily hongera zenu
me bila hivyo usingizi haukuji kabisa napenda kukumbatiwa mnooo yani ni raha sana
 
Hahaaaa. Nilitaka kushangaa dada ake mana zaidi ya hilo kumbato najua kipo kingine kizuri zaidi ukipendacho ambacho ulikisahau.

Nafurahi kwa kuwa umekikumbuka.
kabisa hicho akisahuliki kwa kweli
 
Kama kuna mwanamke anaweza kujipitisha mbele ya mme na kanga tu au bila nguo chumban bila kumsisimua mmewe basi ajue kiujumla havutii au hajui matumizi ya Viungo byake. Hii sekta waachie watanga na wazaramo. Fanya vitu vinavyomuingiza mmeo matatani ataamka tu....ukisubiri "niangushage tu" ....utakesha
 
Emmy nakuona Ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…