Muite girlfriend wako majina romantic

Muite girlfriend wako majina romantic

Conversation isiyokuwa romantic
Kulusumu:Hello,Kamusoko

Kamusoko:Hello,Kulusumu hujambo mke wangu?

Kulusumu:Sijambo mume wangu Ila nimejikata na kisu leo asubuhi[emoji17]

Kamusoko😱oh!pole sana kulusumu ntakuletea chocolate upooze maumivu

Kulusumu:sawa lakini naomba uwahi kurudi Kamusoko

Conversation iliyo romantic
Harun:hello sweetheart

Caty:hello honey

Harun:unaendeleaje kipenzi changu?

Caty:naendelea vizuri lakini Mbona hujaweka hata emoji baby au hunipendi..

Harun😱oh!mahabuba wangu[emoji7][emoji7][emoji7]
nakupenda sana si unajua we ndo wife wa dunia[emoji9]

Caty:[emoji847]yeah,baby nimekumiss fanya haraka urudi nimeshakupikia chakula chako pendwa.

Harun:usjali my katoto wangu nakuja sasa hivi nakuletea na zawadi [emoji6]
Nimewatolea mfano huu hapa wa romance kwenye majina ya kuwaita wapenzi[emoji4]
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuna wengine hawataki... Nilimuitaga daddy akasema subiri mpaka nikikuzalisha mtoto [emoji3]

Mostly anapendelea sweetheart, mpenzi wangu, depal wangu. [emoji6]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe, sema wewe na madeko naelewa hizo swaga
 
I calls her Babe or Babymama and she calls me Babe or Babydady,

Siku akiniita jina langu najua kimenuka fasta naanza kuwaza kama zile sms nilifuta, calls history niliclear kila kitu kikiwa sawa naitikia kwa bashasha zote.
Aaaah dea unakuwa una relax tyuuuh, hujui kuna kujisahau kwani?
 
Na sisi tunadandiamo humohumo tunajifanya tunaelea kwenye dimbwi la mahaba
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee nimecheka had baas, ile kujipa moyo na vyenye hakuna. Ila tucheze humohumo.
 
Chugga all the way!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah, ila hilo neno lina maan nyingne kabisaaah na tulivyozoea kutafsiri. Uko sahihi dea.
 
Nilikuwa na BF huyo mkiongea kwa simu ni lazima aanze na "wife" kila simu ni "hello wife" bla bla hapo kati then ok wife take care "... Nilikuwa nachukia mwanzo mwanzo hizo wife zake mpaka nikaja kuzoea baadaye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaax na wee, sasa si ali imagine kakuoa tayar. Uwiiiiiih
 
Sisi Tunaitanaa Nyumbuu na penzii linasongaaa zaidiii ya ISIDINGO Mara ya kwanza namtongozaaa alinijibu vibayaa kwa kuniita Nyumbu alipokubaliii nikaliendelezaaa Hilo jinaaa ameshazoeaa dah ngojaa nimpigieee Nyumbu wanguu
 
Sisi Tunaitanaa Nyumbuu na penzii linasongaaa zaidiii ya ISIDINGO Mara ya kwanza namtongozaaa alinijibu vibayaa kwa kuniita Nyumbu alipokubaliii nikaliendelezaaa Hilo jinaaa ameshazoeaa dah ngojaa nimpigieee Nyumbu wanguu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi Tunaitanaa Nyumbuu na penzii linasongaaa zaidiii ya ISIDINGO Mara ya kwanza namtongozaaa alinijibu vibayaa kwa kuniita Nyumbu alipokubaliii nikaliendelezaaa Hilo jinaaa ameshazoeaa dah ngojaa nimpigieee Nyumbu wanguu
😂😂😂 ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom