Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

free stress id

Senior Member
Nov 11, 2018
127
109
People i missed you, mko poa?

Leo nimejaa full mahaba, nataka nikufundishe ewe dada mambo matamu sio kila siku mtoto wa kike unalia lia hupendwi kumbe mchawi wewe mwenyewe.

Kwanza kabisa napenda kuwaambia wanawake wenzangu wanaume wengi wana ujinga mwingi kwenye mahusiano lakini mm nawambia sio wanaume wote ni washenzi. kuna mwanaume ukikutana nae uta enjoy maisha.

Sasa basi ewe dada kama uko kwenye mahusiano na mtu wa maana anaekuheshimu na wewe unamheshimu lazima unfanyie yafuatayo trust me hutojuta.

1. Usafi kwa ujumla
2. Jinsi unavyoongea nae
3.Dating (outing, time management ,maandalizi/preparation , matumizi ya simu)
4. Heshima kwake na ndugu zake.
5. Zawadi
6. Mawasiliano
7. Good food ,good sex.

1. USAFI: Hakuna kitu cha aibu kama kukuta wewe mwanamke ni mchafu, unatoa harufu za ajabu, mtoto wa kike k yako inatoa harufu , mtoto wa kike mikucha mirefu kama jini unashindwa kusafisha uke wako? kama una fungus nenda hosptal tibu huo ugonjwa wakati wa kuosha k usitumie sabuni hizi medicated soap kuosha uke, kwa ndani osha uke kwa maji tuu, kwa nje kwenye mashavu na pembeni nawa na sabuni ya kipande za kufulia hakikisha haioingii kwa ndani . Kila ukimaliza kunyoa paka limao kuzuia vijipele sio k ina vijipele kama fenesi.

Wanaume wanalalamika sana kuhusu hili jambo naomba kuanzia leo hakikisha sehemu zako za siri ni safi zinavutia kama uso wako.mtoto wa kike hafugi vu.zi , mtoto wa kike kwapa liwe safi wakati wote, mtoto wa kike piga mswaki vizuri bana sio mkaka wa watu anataka kudendeka anaogopa mi harufu yako.

2, JINSI YA KUONGEA NA MWANAUME. shoga yangu be creative, ukiwa unaongrea na mpenzi wako onyesha tofauti na jinsi unavyoongea na watu wengine, mtoto wa kike punguza sauti sio mpenzi wako anakupigia unapokea kama unaongea na shoga yako Eliza, yaani hata kama una watu basi wajue unaongea na mtu unaemuheshimu, ongea nae kwa upole haijalishi uko wapi kama una watu punguza mahaba ila ongea kwa upole badilisha sauti kidogo.

I wish ningeweka hapa sauti yangu ujue nn namaanisha, msalimie whatever salamu unayojiskia, mpe pole na majukumu na always kwenye maongezi yenu mwambie "sweetheart i love" neno nakupenda lina maana sana nakwambia, na maneno mengine matamu utakayojiskia, mtoto wa kike jifunze kuwa romantic sio unakuwa gumegume, unaongea kama kasuku haipendeze aisee.

DATING: mtoto wa kike naomba unisikilize kwa makini, hakuna kitu kinachowaboa wanaume kama kutoheshimu mtoko, mtoto wa kike umehalikwa wewe unaita mashoga zako kijiji kizima hili iweje kwa mfano? hii tabia ikome mwanaume akikutoa out ana maongezi private na wewe sio kijiji kizima.

Muda: mwanaume akikwambia atakufata saa 6:0 jionii fanya ujinga wako wote ifikapo saa 4:00 jioni anza kujiandaa sio mkaka wa watu unamgandisha getini anakusubiriii weee kumbe ndo unaingia bafuni huu ni ujinga na mkome kuanzia leo,mnawaboa sana wanaume

Maandalizi kabla ya mtoko: embu mfanye mpenzi wako kuwa rafiki yako iwe rahisi wewe kumuuliza kitu chochote, mfano unaweza kumuuliza " baby tutaenda date ya namna gani? unless kama ni first date ila kama sio fist date na ushamzoea muulize, mtalala huko au mtarudi?

akiwambia mtalala huko, mtoto wa kike andaa hizi zana za kazi:

(a) condom: Hii ni muhimu sana mambo ya kusema mwanaume ndo anamnunua kinga ni ushamba nenda pharmacy nunua wewe coz alishakwambia mtalala sasa unategemea nini? huyo sio kaka yako so jiandae hii ni kwa usalama wako. mambo ya kwenda kutegesha mimba ni ushamba tumia kinga.

(b)vitambaa vyeupe visafiii: Andaa kama vi 4 hivi cotton , unaweza kununua vile vi towel vidogo ila mm naviona kama vya kufutia vyombo so mimi, nanunua shuka kubwa jeupe nakata vitambaa wastani navishona nafua navinyoosha kwa ajili ya kazi maalumu,(ntakwambia matumizi baadae) mambo ya kutumia leso za makamasi ni ushamba wachieni wanafunzi.

(c) miswaki miwili na dawa ya mswaki, mouth wash'
(d) sabuni ya kuogea na dodoki lako
(e)kanga moja na nguo ya kubadilisha kesho kama ni kwenda na kurudi hakuna haja ya kuandaa hizo zana

mimi hivi vyote nabebaga spendi shida mm kuogea visabuni vya Eva vya hotelini vina harufu mbaya loh! afu usione taabu eti kubeba hivyo vyote ni mzigo, mpenzi wako ana usafiri si utaviweka humo? hata kama hana usafiri si utaenda na tax? mm haijarishi naenda na usafiri gani hizo zana nabeba tho mm kwenye mambo ya msingi kama hayo siendagi na usafiri wa nzengo, maishayenyewe haya mafupi loh!

Okey sasa vaa vizuri nguo yako ikukae fresh , mtoto wa kike usipake ma makeup mengi uko kama jini mdomo mwekundu kama nguo za valentine eti na wewe unataka ukisiwe? nani ale marangi yako? kwenye mtoko wa maana mm napaka lip shiner tu, sio unaenda na mirangi mkaka wa watu unamkiss mara shingoni mara shati lake ushalichafua na ma rangi, wakati unampaka marangi yako kumbe ni mme wa mtu si wanafichaga akifika kwake balaa, wanawake jitambue. hata kama bf wako wanaume hawapendi hayo marangi ya mdomoni.

Sasa basi baby ndo kashafika kukufata tiyari jiangalie muulize assessor wako kioo kama uko bomba toka basi.

Mtoto wa kike kisa mpenzi wako kaja na gari unashobokea kuingia as if hujawahi kupanda gari, ukifika alipopack please hebu simama kidogo hata sekunde 5 akiona huingii utaona kashuka kaja kukufungulia mlango., nakwambia hivi mpenzi wako unavyo mzoesha ndivyo atakavyokuwa siku zote, najua kabisa kuna wakaka ambao kumfungulia mlango mwanamke ni kitu cha kawaida so subiri ashuke akija mkisi kidogo akufungulie mlango ingia mwambie asante.

Shoga ukiingia kwenye gari tulia dia sio wewe ndo unakuwa dereva, mtoto wa kike kila kitu unagusa honi unapiga wewe khaaaa inaboa sana aisee jitahidi kuficha ushamba wako.

Mkifika huko hotelini labda nje sehemu ya kaa usiwe na haraka kukaa simama kidogo atakuvutia kiti ukae, trust me wanaume baadhi wanaojitambua wanafanya hizi mambo ingawa sio lazima inategemea mtu na mtu.

Akikwambia uagize kinywaji mtoto wa kike kuwa na staha sio kwa uchu unaagiza mapombe makali sijui jack daniel's uchu umekujaa as if hujawahi kunywa? mtoto wa kike unakunwa mipombe mingi usiku unamtapikia loh acha ushamba agiza soft drink, kwenye chakula akikuuliza utakula nini muulize yeye atakula nini, hicho atakachoagiza ni vema ukaagiza hicho unless hutumii.

Mtoto wa kike kuwa mchangamfu kiasi mchekeshe, mfanye ku-enjoy hiyo siku, mfanye kusahau stress hata siku nyingine akiwa bored akutafute. mbebishe kimtindo hivi ahaaa.

Hakikisha muda utakaokuwa nae ikiwezekana zima simu sio unakuwa busy mtoto wa kike utadhani wewe customer care wa vodacom mmxxxxiiiiii na kisimu chako cha tecno.

Muda wa kulala pitia handbag yako mkifika chumbani kama vip wewe ndo utangulie kuoga ili mpe muda wa kuwasiliana na mchepuko aiambie isimsumbue kachoka, maana hawachelewi kumpigia wakati mmelala ahahah....... najua mtakataa ila hii ipo, unatoka na mtu kumbe kaoa anakuficha ndo maana nasisitiza kabla ya mtoko mjue kiundani mpenzi wako.

Lakini pia akipenda muoge wote sio mbaya na inapendeza. mpe mswaki na vingine ulivyoandaa kutumia bafuni. .........mkitoka kuoga embu wewe ndio umfute na towel sio uko hapo umetunua macho kama trafic lights. na baada ya kumfuta kama vip anzia hapo basii, mwambie beibiiiiiii lala baaachiii nikufanyi massage, kama ulibeba olive oil yako mfanyie massage wakati huo mikono yako ikitafuta sehemu zake za udhaifu, taratibu fanya kwa makini mguse kila sehemu tafuta nyegezi zake zilipo. sio yeye ndio akwambie ushike wapi, huo ni uzembe kazini kama hutaki si ungebaki kwako? khaa!

Fanya utundu wako wote be your self weka wizi wako pembeni kuanza kujiliza maskini hata hajaweka ushaanza kujiliza kumsumbua bure Mungu Mara yesuu acha ushamba wakati huu kuna mambo muhimu ya kufanya siwezi sema hapa jiongeze. hakikisha unatumia kinga, baada ya utamu mwambie polee lakini pia mwambie achanteee immediately chukua kitambaa umfute vizuri kabla hamjaenda bafuni kuoga maana wengine wanapenda kupunzika kidogo, ah ah ! kama nawaona vilee .

ZAWADI: Mtoto wa kike acha ubahili, una mwanaume wa maana anakujali, hata pesa siku nyinine anakupa hata 200000 bila kumuomba unashindwa nini kutoa hata 50000 ukamnunulia zawadi? t-shirt za kiume zinuzwa 35000, raba nzuri ni kuanzia 50000-70000 kweli hata siku moja ushindwe kutumia laki kumpa zawadi mpenzi wako? najua kuna wanaume bahil ila sio wote ukimpata anaejitambua dada timiza wajibu wako.

HESHIMA: mtoto wa kike huna heshima mpenzi wako unamchanganya na vibwana vyako vya zamani, hujui kuwa ndugu zake wana kutizama! wewe nae unataka ndoa ujinga wako wa zamani hujaacha? mtoto wa kike 28 yrs bado unarukaruka club, unakunywa pombe kama unaikomoa TBL? hujui hata kumshauri mpz wako afanye vitu vya maendeleo wewe weekend mwende viwanja? bure kabisa.

GOOD FOOD, GOOD SEX, wanasema matusi ya mwanamke ni jikoni, dada fanya yoote ila kama hujui kupika unajidanganya hakuna mwanaume wa kumuoa mwanamke ambae hajui kupika, ikitokea basi ni bahati mbaya, ndoa za kisasa kila kitu anafanya dada wa kazi shauri yako. hakikisha unajua kupika baada ya kumlisha vizuri mpez wako/mmeo ndio atakupa good sex hawezi kukupa mambo natamu wakati ana njaa,kila siku unataka

Mwanaume hata kama hajakuoa kwa wale ambao mnaishi mji mmoja jitahidi kumpikia mara moja moja ale chakula chako, wengine mna bahati wapenzi wenu ni maboss ana office yake siku moja mfanyie surprise mpelekee chakula offisini atafurahi sana, sio kila siku unaenda ofisin kwa ke kuomba hela siku moja mwandalie chakula kizuri lazima ujue mpenzi wako anapenda kula nini? atafurahi sana hata siku ikitokea mkaachana daima atakukumbuka.

MAWASILIANO: dalili za kifo cha penzi ni mawasiliano, lazima wapendanao mkeep in touch jamani.

Note: nawahakikishia yote niliyoandika hapa nikiwa in love najitahidi kufanya mara ya mwisho kufanya haya ilikuwa 2014 (long live JK) michosho haikuwa mingi kama sasa... i enjoyed to the muxmum i remember the moment, for get about that , my point is usikurupuke kuingia mahusiano ya ajaju jitengenezee mazingira ya kupata mwanaume anaekufaa, mtengeneze unavyotaka wewe, maliza hata miaka miwili bila mpz ila ukija kumpata basi pata the best. Mimi nina imani wanume wanao jitambua wapo ila ni wachache so usikurupuke. kuwa kama mm usikurupuke usikate tamaa, usiwe cheap unalala na kila mwanaume, kwani ukimaliza miaka 2,3 bila mwanaume utakufa? mbona mm nipo. be classic jiheshimu subiri anaeendana na wewe.

Mwisho kabisa najua sio kila utakapofanya haya ndio utapendwa na kuolewa hapana ila jitahidi kufanya uone utofauti hakuna mwanaume umfanyie haya aje kukusahau hata mkiachana one time anakukumbuka na ukipata shida trust lazima akusaidia coz anajua mlipotoka coz ana cha kujivunia kutoka kwako.

Hii ni my personal experience nilishawahi kuipitia kipindi flani nimeamua ku share ikikuupendeza dada waweza kujaribu sio wanaume wote wabovu kama unavyodhani.

weekend njema nawapenda.

free stress id.
 
Unaweza kufanya yoteee hayo na aka kusaliti vile vile mapenzi siku hizi ni kubeti.
 
IMG_6052.JPG
 
Back
Top Bottom