Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,265
- 1,306
😅😅..Sikh hizi hata neno "dear" linatumiwa mpaka na polisi.utaskia..
"My dear your under arrest"
😅😅..Sikh hizi hata neno "dear" linatumiwa mpaka na polisi.utaskia..
"My dear your under arrest"
Kuna idioms (nahau/misemo) hazina tafsiri ya moja kwa moja kwa sababu ya muktadha na mazingira tofauti ya kitamaduni kutoka huko zilikotoka. Ukijaribu kuzitafsiri moja kwa moja unaharibu na unaweza kugeuka Google translator.Hiyo ni kauli tu kama zilivyo zingine
Ni kama mtu aseme my pumpkin....logically kiswahili cha pumpkin ni boga lakini anayesema my pumpkin anakuwa na maana nyingine ambayo sio boga
So mie kumuita my smart ass sio kwamba namaanisha kiswahili chake....yuko veeeery smart kwa almost kila jambo ndio jina lilikotokea
Ni sawa na mtu kukuambia you're badass..hapo anaweza kuwa kamaanisha wewe ni mkali(mzuri) kwenye ishu fulaniHiyo ni kauli tu kama zilivyo zingine
Ni kama mtu aseme my pumpkin....logically kiswahili cha pumpkin ni boga lakini anayesema my pumpkin anakuwa na maana nyingine ambayo sio boga
So mie kumuita my smart ass sio kwamba namaanisha kiswahili chake....yuko veeeery smart kwa almost kila jambo ndio jina lilikotokea
Sikh hizi hata neno "dear" linatumiwa mpaka na polisi.utaskia..
"My dear your under arrest"
We kweli konki nimecheka sanaKwa hiyo Mama Ashura ndio umeamua kuja kunitangaza mitandaoni kuwa nakuitaga mama Ashura.Napenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wengine huko hii ina sexual connotations. Inamaanisha kwamba unamridhisha sawa sawa sexually na atakuita hivyo wakati unampelekea moto...na hawezi kukuita hadharani mbele ya watu...![]()
![]()
![]()
![]()
Kah kweli tunatofautiana... Daddy ina means alot kwa mwanamke anae muita mpenzi wake hivyo, hata kwa mwanaume ukiona mwanamke wako anakuita daddy inaleta faraja
Na kweli ila hajui tu jinsi gani naenjoy kumuita hivyo na ninamuona wa thamani kiasi gani kumuita ivyo...![]()
![]()
![]()
![]()
Kah kweli tunatofautiana... Daddy ina means alot kwa mwanamke anae muita mpenzi wake hivyo, hata kwa mwanaume ukiona mwanamke wako anakuita daddy inaleta faraja
Dea huwa unakula ya Chuga au Malawi?Mie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama

khaaaaahKuna idioms (nahau/misemo) hazina tafsiri ya moja kwa moja kwa sababu ya muktadha na mazingira tofauti ya kitamaduni kutoka huko zilikotoka. Ukijaribu kuzitafsiri moja kwa moja unaharibu na unaweza kugeuka Google translator.
My smart ass pengine tunaweza kusema "mjanja wangu, jiniazi wangu, mweledi wangu, kipanga wangu...."
Siku ukasahau ukamuita smart ass mbele ya wazazi wenu 

Wana-comment hapo chini boss.Wasiokuwa na wapenzi wana comment wapi? Nahitaji kujua.
Kwa leo wawe wapenzi wasomaji, sa itakuaje 😂Wasiokuwa na wapenzi wana comment wapi? Nahitaji kujua.
I mean kila jina unalompa mwenzi wako lazima liwe na maana huwezi kumuita kitungu maji pasipo kuwa na maana.. Cha msingi awe analifurahia tuNa kweli ila hajui tu jinsi gani naenjoy kumuita hivyo na ninamuona wa thamani kiasi gani kumuita ivyo...
Nimekusoma mkuuKwa wengine huko hii ina sexual connotations. Inamaanisha kwamba unamridhisha sawa sawa sexually na atakuita hivyo wakati unampelekea moto...na hawezi kukuita hadharani mbele ya watu...
Daddy....
Dad...
"My wangu" unachokikazia hapo ni nini 😂nakazia
Kuna idioms (nahau/misemo) hazina tafsiri ya moja kwa moja kwa sababu ya muktadha na mazingira tofauti ya kitamaduni kutoka huko zilikotoka. Ukijaribu kuzitafsiri moja kwa moja unaharibu na unaweza kugeuka Google translator.
My smart ass pengine tunaweza kusema "mjanja wangu, jiniazi wangu, mweledi wangu, kipanga wangu...."