The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,342
- 6,585
She's from Kenya.. Nikimuita " mama kayaai " it's sound so romantic na huwa anaitikia akisema " nini mbaya na wewe "
Ukiachwa unakunywa maji ya betri kama vipi, lose lose situation inahusika
😂😂Kama huna pesa hata umuite majina yote romantic hapa duniani ni kazi bure !!!
Sweetlove kaka ake ndiyo mimi nipo hapa ..Nipee kaka ako basi niwe namuita "my wangu" [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sweetlove kaka ake ndiyo mimi nipo hapa ..
Njoo chumbani tuyajenge my angel
More of a blind date[emoji23][emoji23]Sweetlove kaka ake ndiyo mimi nipo hapa ..
Njoo chumbani tuyajenge my angel
Smart assMie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama
mimi ndiyo kaka yake...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]More of a blind date[emoji23][emoji23]
Lenie hebu kuja hapa [emoji3]
....aagh..bora sister umekuja...Si unaitwa lakini, unajifanya husikii au
Hata watoto shule wanaijua ngono wakiwa wadogo wanafundishwa reproduction theoritical Ila wakifanya na practical msiwashangae[emoji34]