Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,771
- 209,301
Kuna wengine hawataki... Nilimuitaga daddy akasema subiri mpaka nikikuzalisha mtoto 😀Kitu nachokipenda kutoka kwa mwenzangu na nina kifurahia kwa kweli na naona ananiheshimu ni anavyoniita daddy...
Mostly anapendelea sweetheart, mpenzi wangu, depal wangu. 😉