Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Sio kweli mdogo wangu hawezi kuacha mtu
Sio kweli mdogo wangu hawezi kuacha mtu
Sio mgumu. Ana nyodo, anajiona kekiIla wewe kaka inaonekana mgumu saana
Nilishamuuliza
Mie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama


duuuh....nimeipend hiiHawezi kunidanganya
mchawi elaMahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana. Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby". Wewe kila siku unamwita kwa jina lake mara Aisha, Zuhura, Catherine, Khdija.
Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress (hasa kwa wanawake). Halafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"
Hebu mjifunze kuwa romantic jamani
mama naniiNapenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sababu namfahamu vizuri
😅😅kaka yako amani ya bwana imeshaamua ndani yake.
Na wote wanabeba mabox huyo ya bagger mpenziwe ya pizzana wote ni wa Tanzania au mnaishi Marekani
![]()
Wangu ananiita "baby baby" mie namuita "dimple baby" ana dimples amazing tho hazipendi kwasababu ni mwanaume ila napenda kumtania dimple zake. Mapenzi raha jaman mpaka uachwe ndo utaelewa rangi zote



WonderfulIlove you my NEC (tume ya uchaguzi)
Sababu ya kumuita:amenipitisha bila kupigwa

Ukiachwa unakunywa maji ya betri kama vipi, lose lose situation inahusikaWangu ananiita "baby baby" mie namuita "dimple baby" ana dimples amazing tho hazipendi kwasababu ni mwanaume ila napenda kumtania dimple zake. Mapenzi raha jaman mpaka uachwe ndo utaelewa rangi zote
😳Mie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama