Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
hakuna mwenye hela anaeita mpenzi wake demuSasa si ndio maana nimesema kuitwa romantic names Kama baby kuna raha yake
Je akiwa na hela alafu anakuita demu wangu unafurahi![]()
hakuna mwenye hela anaeita mpenzi wake demuSasa si ndio maana nimesema kuitwa romantic names Kama baby kuna raha yake
Je akiwa na hela alafu anakuita demu wangu unafurahi![]()
Nah current bebe 🙈Kwanini hujaedit kikopa lakin, current bebe akiona haitaleta noma?
Kweli kabisa yaani 😁😁😁😁😁Kwani uwongo Mama D?
Weweee haya banaNah current bebe 🙈
Napenda sana kusikia akiniita kwa jina langu. Sasa hivi ni mwendo wa mama nanihii tu....sipendi kwa kweli. God knows if he even still remembers my name.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mama nanii...Nipee kaka ako basi niwe namuita "my wangu" 😂Weweee haya bana
😂 😂 nitakupea ujichagulie, maana ninao kaka kama woteNipee kaka ako basi niwe namuita "my wangu" 😂
Inabidi umwambie sasa venye unapenda akuite, ili ajue awe anakuita jina lako kila sikuMimi akiniitaga baba 'bry' najikausha kama simsikii mpaka aniite my name
Unataka kutafuta nae kwani we babake?Wanawake wa sikuizi wanapenda mwanaume wakukute Una kazi Una nyumba wao kutafuta na wewe pamoja hawataki
Hakuna Cha baby wala nini we muite Kama ni mbute au mchembe life lisonge mengine Ni mbwembwe tu
Ndio maana tunakufa mapema kwa presha,Mnafurahisha sana!

Until hapo utakapo anza kuwa referred to as mama nanihiiKivipi?/kwanini?![]()

SiaminiMie na boyfriend wangu tunaitana 'smart ass'
Na tuko romantic kinyama





yeah,baby nimekumiss fanya haraka urudi nimeshakupikia chakula chako pendwa.