Muite girlfriend wako majina romantic

Muite girlfriend wako majina romantic

Mwingine tulikua tunaitana baba chanja/mama chanja ila tuliachana, hadi saivi tukiwasiliana tunaitana hivyo.
Tupo wengi.

Sie ilikuwa baba D na mama D. Ila hapo kati ni story nyingine thoe we're still keeping in touch na majina hayajabadilika. Kwenye simu bado nimemsave baba D na kikopa chake vile vile hata sijaedit since amekula kona 😀😀😀
 
Tupo wengi.

Sie ilikuwa baba D na mama D. Ila hapo kati ni story nyingine thoe we're still keeping in touch na majina hayajabadilika. Kwenye simu bado nimemsave baba D na kikopa chake vile vile hata sijaedit since amekula kona 😀😀😀
Kwanini hujaedit kikopa lakin, current bebe akiona haitaleta noma?
 
Mwingine anaitwa
Laaziz
Nyonga mkalia ini
Habibi
Kipenda Roho
Sweet heart
Heart keeper
My Pumpkin
My Jollof Rice

Lakini wengine wanaitana
Koku
Shantufe
Mama Nyakumwana duh
The world is not fair
 
I calls her Babe or Babymama and she calls me Babe or Babydady,

Siku akiniita jina langu najua kimenuka fasta naanza kuwaza kama zile sms nilifuta, calls history niliclear kila kitu kikiwa sawa naitikia kwa bashasha zote.
Mnafurahisha sana!
 
Aya bhana

Unamiss sana kuambiwa "Khantwe my sweetheart umechapata lunch? if not,nikuagizie something yummy utaletewa na uber eats"
hee dada yako mpaka nazeeka sijawahi kuyasikia maneno haya masikioni mwangu
 
Hakuna moment napenda kama nimepigiwa simu napokea 'haloo beeeib', naskia 'Carleen, mama angu'...! Naitika 'beeeeh' (kwa kudeka), naambiwa 'hujambo mama'...!?

Huwa natamani nibandike hiyo convo kwenye nguzo za umeme barabarani..!! 😅

NB; tukiachana nitawaletea tena siredi.!!
that word mama angu' hua inasound good jamani ata kama una stress zaisha zoote😂😂😂🙌🏻
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom