MugongoMugongo,
SOMA maelezo ya mpiga picha!
Jokakuu,
Hapana mimi sijafikia kabisa mahala pa kuisimamia Chadema. Nilitoa tangazo la kujiunga hadi hivi navyozungumza nipo ktk kusubiri kuwa mwanachama mpya. Niliwahi jiandikisha uanachama wa CCM mwaka 1972 na sikuwahi kufuatilia chochote...kwa hiyo siwezi kudai Uanachama wa CCM hata kidogo.
Hata huko Chadema sintakubali kuburuzwa kama mwanachama!.. nimechagua Chadema kwa sababu kubwa iliyotokana na nyie wachangiaji wa hiki kijiwe. Sipendi siasa na wala siziwezi ila naweza kuchangia mawazo yanayohusu jamii. Na ktk maswala haya nakubaliana kwa kiwango kikubwa na mrengo wa Chadema lakini haina maana hakuna akina Nchimbi huko niendako. Wanaweza kuwepo na nipo tayari kupambana nao kwani maji haya ndo nimesha yavulia nguo.
Wala hutaniona hata siku moja nikichukua dhamana ya mtu ambaye simfahamu ati kwa sababu yeye ni Chadema.
Well, kama huoni hakuna haja ya kuendelea kubishana!
Written by Maxence M. Melo Tuesday, 26 June 2007Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini Kitabu cha maombolezo Nyumbani Kwa Wazazi wa Marehemu Amina Chifupa jana jioni. Rais alikwenda nyumbani hapo kifariji familia ya marehemu.
Nafurahi sasa kwamba umekubali ukweli kwamba (i) Rais hakwenda kumuona Amina Lugalo siku aliyofariki, na (ii) Rais alikwenda kuhani baada ya sherehe ya BBC. I was surprised kwasababu you can find all this in google.
Ok, now that is out of the way, we can move to those majambazi wa CCM who killed Amina. What you got?
Na namba (iii) Mkandara ni MUONGO!
JK alikwenda Kuhani muda gani vile?
JK alikwenda Kuhani muda gani vile?
written by Maxence M Melo; Tuesday 26th June, 2007 kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo alipokwenda jana jioni (yaani jumatatu 25th June, 2007)!???? KASHESHE!!! ...maana alikwenda kuomboleza kabla ya msiba!
Kalamu,
Hapana una miss the point. Kuna story aliyoiandika 26 ambayo sikuiweka hapa...nimechukua picha tu ya tarehe 28, ukitazama vizuri kuna pia vipande vya maelezo ambayo sikuyaondoa vizuri.
Habari inasema kuwa JK alikwenda pale JIONI hiyo ya tarehe 27 wakati ktk shehere za BBC alikaa muda hadi usiku!
Kwa hiyo msafara uliokutana nao ni wa kutoka Airport ama BBC?... maanake navyojua mimi na nilivyoambiwa mimi JK kaenda kwa marehemu akiwa njiani kwenda kwenye tafrija ya BBC na alikaa huko hadi usiku.
Kuona kwako na kilaji inawezekana ulikuwa kidogo shibe kubwa kuweka na msiba ule!... kwanza traffic yenyewe siku hiyo sijui wewe uliweza vipi kupenya na hata kupata nguvu ya kula hotelini mitaa hiyo hiyo.
Hata hivyo, sidhani kama unatusaidia kitu maadam umeamua swala hili kuwa ndio mada yenyewe. hadhi ya JF au sio??