Muhimbili watoa Rai: Watanzania tuchangie damu

Yani mnachekesha, badala ya kutumia tukio la Lissu kukusanya damu mapipa kwa mapipa nyie mkakalia akili zenu sasa mnaanza kuwa ombaomba tena.
Nadhani slogan ya changamkia fursa inatuhusu sisi tu.
Naogopa kupelekwa kwenye mashitaka sasa hivi kuchangia damu imekua kama jinai na pesa za kuweka wakili mimi sina
 
Ingekuwa ni amri ya huyo dhalimu angepiga marufuku hata Lissu kuongezewa damu pale hospital Dodoma ili
akitakacho cha Lissu kufa kitimie. Ana roho mbaya sana huyo dhalimu.
Nyoko zake mwenyewe kwanza hapo alipo anapumulia machine,, zikiisha chaji tu hatunaye!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hairuhusiwi kuchangia damu mpaka Lisuu apone au afe,mnatafuta kick eenh?--jeshi letu

Hivi mtu anazaliwa mpumbavu au anajifunza ukubwani?
 
polis na fisiemu wakachangie coz wao ndo wazalendo na wagonjwa wote ni ndugu zao idiots
 
Police, na hasa IGP angejitokeza aombe radhi kisha aruhusu kila kikundi kichangie damu bila kuwekewa masharti yoyote!
Kwa jinsi CDM walivyokuwa wamehamasishana...kila kona/hospital nchini damu ingejaa kabisa!
 
Back
Top Bottom