Muhimbili watoa Rai: Watanzania tuchangie damu

Wakuu nchi hii mtu wa ccm akisema ukweli ndiyo ukweli wa upinzani akisema ukweli unachukuliwa ni uchochezi acha mtafunwe na ukweli
 
Nchi hii imejaa siasa za ujinga sana, Viongozi wa Chadema (Katibu), alitoa wito kwa Wanachama wake wajitokeze kuchangia damu kwani kuna uhaba mkubwa sana wa Damu Mahospitalini, Serikali kwa kuona kuwa ni Chadema ndio watakaokuja kutoa damu inawakamata na kuwatia ndani, kuvaa fulana za Chadema sio kuwa damu yao haifai, kila siku huwa tunaona kila kikundi kinachokwenda kutoa damu huwa wanafaa fulana za Taasisi zao wanazoziwakilisha, iweje iwe shida kwa Chadema?

Siasa zinaangamiza taifa,
Jumuiya ya Ulaya imetoa pesa za kujenga Barabara ya kutoka kituo cha mawasiliano, kupitia Sinza, Tandale mpaka Magomeni, lakini Serikali haitaki hiyo barabara ijengwe kwani Mayor wa Ubungo na Mbunge watapata sifa, kila kukicha Bonface anaangaika sana na hiyo Barabara lakini CCM hawataki
Yaani nchi hii ni aibu huwa napita hiyo barabara nashangaa sana kabla hujamaliza jengo la mawasiliano kuna barabara ya lami imejengwa inaingia kushoto kwenda kwenye majengo ya school of law nadhani. Wanayopita watu wakaiacha makusudi aise
 
wanataka tukaishie jela tukienda kutoa damu.,maana wenyenchi yao hawaitaki hiyo damu
 
Mtoa mada, umeshawasiliana na RPC kwaajili ya kibali cha kuchangia damu?...isijekua ni mtego mwingine maana sikuhizi sheria hazina maana kama Polisi, wanaweza kutumia sababu nyepesi kuzuia masuala ya msingi bila kujali uwepo wa sheria na maslahi mapana ya wananchi. Kwao lililo muhimu ni maagizo wanayopewa na watu wale waoga ama chama chao cha siasa.
Askari wasiwe wanasiasa!....
 
Hivi hawaoni hata kutoa hilo ombi/tangazo wakati watu walitaka kujitolewa kutoa damu wakashughulikiwa!
Mbona waziri wa afya hakutoa utetezi au tamko?Au waziri hakuwa nchini?au ni mmoja wa hao waliostaafu?
Hebu msitutie majaribuni!
Wanataka ya wanachama dola labda na sio yetu sisi 'wanyonge' maana wanahofu inaweza kuwa chafu!
 
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kupitia kitengo cha dharura wametoa rai kwa watanzania kujitolea kwa hiyari kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopokelewa hospitalini hapo.

Akizungumza wakati wa zoezi la uchangiaji damu lililofanyika kwa siku mbili mwishoni mwa wiki katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo,amebainisha kuwa zoezi hilo ni muhimu sana kwani litasaidia kuokoa maisha ya
wagonjwa wenye uhitaji huo wanaopokelewa hospitalini hapo kama vile waliopata ajali, wakina mama wajawazito na watoto.

“Hospitali ya Taifa Muhimbili inahitaji wastani wa chupa za damu 100 lakini tunafanikiwa kupata wastani wa chupa 40 hivyo kuwepo na upungufu wa chupa 60 kila siku. Hali hii inapelekea kuhudumia
wagonjwa wenye uhitaji wa dharura tu huku wengine wakisubiri.” Alisema

“Wataalamu wananiambia kuwa kwa kawaida, damu inaweza kuhifadhiwa kwa muda wa takribani mwezi mzima kabla ya muda wake wa kutumika kwisha, na kutokana na uhifadhi wa damu kwa muda mfupi ndiyo maana tunasisitiza umuhimu wa watu kuchangia mara kwa mara. Kitaalamu mwanamume anaweza kuchangia mara nne kwa mwaka na mwanamke mara tatu kwa mwaka.” Aliongezea

“Katika wakati wa kutoa huduma ya tiba ya dharura, haswa kwa wagonjwa wa ajali, watoto na wamama wajawazito, upatikanaji wa huduma ya Ambulance na damu kwa wakati huongeza nafasi ya
kuishi kwa wahitaji kwa kiasi kikubwa mno na huduma hizi huokoa maisha ya mamilioni ya wagonjwa kila mwaka duniani kote,” alisema na kumalizia,

“Natoa rai kwa wakazi wa Dar es slaaam na Watanzania wote kwa ujumla kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari mara kwa mara ili nchi iwe na akiba ya damu ya kutosha, kwani asilimia moja ya Watanzania wakiamua kuwa wachangiaji damu wa kujirudia Mpango wa Taifa wa Damu Salama utaweza kukidhi mahitaji ya damu nchini.”

Kwa upande wake Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, kampuni inayojishughulisha na uuzaji na usambazaji wa ving’amuzi kwa ajili ya matangazo ya dijitali ambao walidhamini zoezi hilo amesema kuwa hii ni mara ya pili wao kudhamini zoezi hilo kutokana
na umuhimu wake katika kuokoa maisha ya watanzania wote kwa ujumla.

“Hakuna asiyefahamu katika maisha yetu yanayotuzunguka ajali zimekuwa nyingi zinazopelekea watu kupoteza maisha maelefu kubaki mejeruhi wenye uhitaji mkubwa wa damu ili kupata matibabu. Kama
tunafuatilia vyombo vya habari basi tutakuwa tunasikia ni mara ngapi kwa wiki ajali zinatokea barabarani na kuacha majeruhi wengi. Kwa upande wa akina mama wajawazito wanahitaji damu kwa kiasi kikubwa hasa baada ya kujifungua.

Hatuwezi kukaa pembeni na kuwatizama wakikosa msaada wakati uwezo huo tunao.” Aliongezea “Tumejisikia faraja sana kuwa wamojawapo wa wadau walioshiriki kufanikisha zeozi hili na tunaahidi kuendelea kushirikiana na Muhimbili katika kuwahamasisha watanzania wajitokeze zaidi.

Kwa mujibu wa wataalamu tunaweza kujitolea damu mpaka mara nne ndani ya mwaka, nina
uhakika kila mtanzania akifanya hivyo basi benki yetu ya damu itajaa na tutaweza hata kusaidia wengine wan chi za jirani wenye uhitaji.” Alimalizia Makamu wa Rais kutoka kampuni ya StarTimes

My Take
Mods sijakosea Jukwaa,sijakosea kabisa
Polisi wanakaza kujitolea damu hii ime kaaje
 
tutakamatwa
 
Wamejitokeza maelfu ya raia kwa ajili ya kuchangia damu lissu polisi wakapiga marufuku bila aibu leo wanajitokeza wanatangaza kuimba tuchangie damu,sasa wataisoma namba wachangie wao wenyewe,ile damu wananchi walitaka kuchangia ilikuwa ije isaidie wengine wenye shida,sio kweli kuwa damu yote ambayo angechangiwa lissu angewekewa yeye tu,ilikuwa iwasaidie na wengine pia lakini kwa sababu tuna viongozi ambao ni wavivu wa kufikiri leo wanasubutu kusema wanaupungufu wa damu,pumbafu kabisa
 
Back
Top Bottom