Nakuambia tena lete andiko linalosema Mtume Muhammad ana jini linamuongoza kufanya mema na sio ile inayosema kasilimuKama ni hivyo mbona muhammad ana sema yeye anaye jini linamuongoza nikakuuliza ni nani aliye lipa jini amri ya kumuongoza muhammad kwenye kutenda mema ni mungu au la ?tumia akili.kujibu maswali yangu ni logic ...sasa hivi umesema mungu awezi kutuma jini jini aliwezi kuwa kiongozi wa kumwongoza mwanadamu
Umeona sasa nipe andiko usiniitie watu 🤣
Usisahau nalisubiri hili andiko
Hadithi husika:Umeona sasa nipe andiko usiniitie watu 🤣
SawaHadithi husika:
Imepokewa na Abdullah bin Mas'ud (r.a), Mtume alisema:
"Kila mmoja wenu ana jinni mwenzake aliyefungwa pamoja naye."
Maswahaba wakauliza: "Hata wewe Ewe Mtume wa Allah?"
Akasema: "Hata mimi, lakini Allah amenisaidia juu yake na akasilimu (jinni wangu), kwa hivyo haniamrishi ila mema."
➡️ Hadithi hii imepokelewa katika Sahih Muslim (Juzuu ya 4, Hadithi Na. 6757).
Maana yake:
- Kila mtu ana jinni wake (Qareen) anayemsukuma kufanya maovu.
- Lakini kwa Mtume Muhammad (s.a.w), jinni wake alisilimu na hakumwamrisha ila mema.
Hitimisho: Hadithi sahihi kutoka kwa Mtume mwenyewe, likifafanua juu ya uwepo wa jinni kwa kila binadamu na tofauti ya Mtume kuhusu hilo.
Nikete na mengineSawa
Hiyo ni sawa napenda sana mtu anayethibitisha maneno yake kwa maandiko na sio kama hamisi mzuaji asiye na ushahidiHadithi husika:
Imepokewa na Abdullah bin Mas'ud (r.a), Mtume alisema:
"Kila mmoja wenu ana jinni mwenzake aliyefungwa pamoja naye."
Maswahaba wakauliza: "Hata wewe Ewe Mtume wa Allah?"
Akasema: "Hata mimi, lakini Allah amenisaidia juu yake na akasilimu (jinni wangu), kwa hivyo haniamrishi ila mema."
➡️ Hadithi hii imepokelewa katika Sahih Muslim (Juzuu ya 4, Hadithi Na. 6757).
Maana yake:
- Kila mtu ana jinni wake (Qareen) anayemsukuma kufanya maovu.
- Lakini kwa Mtume Muhammad (s.a.w), jinni wake alisilimu na hakumwamrisha ila mema.
Hitimisho: Hadithi sahihi kutoka kwa Mtume mwenyewe, likifafanua juu ya uwepo wa jinni kwa kila binadamu na tofauti ya Mtume kuhusu hilo.
Kivipi?Nikete na mengine
Hapa tunazungumzia WAYAHUDI WOKOVU KUTOKA KWAO,KAHABA = YAHUDI
Yesu anasema makahaba wataingia mbele yenu uzimani ...yaani watapata wokovu aina maana kuwa ukahaba ni mwema bali wakitubia watapata wokovu ...maana yake makahaba watawatangulia kutubia ndivyo ilivyo kuwa kwa Wayahudi na waisrael wakovu ulitoka kwao kwa wao kutubia na kumfuata kristo kwanza kabla ya mataifa
NENO WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI AU WAYAHUDI NDIVYO ILIVYO HAKUNA KOSA IKA NENO SAHIHI HAPO NI WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI (NENO UYAHUDI CHIMBUKO LAKE NI UHASI KWA MUNGU (KIBURI ,MAJIVUNO ,UKAIDI )NK ...hivyo hapo lugha sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI siyo wayahudi kwa sababu uyahudi ni itikadi ya kibaguzi baina ya Waisraeli wao kwa wao ...kumbuka biblia imechezewa sana na waandishi ...Ukitumia Logic na akili utajua hakukuwa na sababu kutumika hii sentence 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAYAHUDI BADALA YA 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAISRAELIHapa tunazungumzia WAYAHUDI WOKOVU KUTOKA KWAO,
Usichanganye mafaili,
Ndio maana nilikwambia uwe unaleta REJEA ,
JE HAKUJUA NI JINA BAYA,OVU LISILO NA THAMANI KAMA UNAVYOPOTOSHA?
ACHA NGONJERA NYINGI ,NENDA KWENYE POINT ,YESU HAKUJUA HILO NENO(JEWS) NI BAYA ?
ILA WEWE NDIO TUKUAMINI
Unachanganya habari mbili tofauti, huoni nimejikita kwenye WAYAHUDI ,
SWALI LIPO PALE PALE
Ulete tu na andiko linalosema kuwa yule aliyemuona Mtume mapangoni alikuwa ni jiniNikete na mengine
Ukitaka kujua dini ya kweli au dini ya uongo usitegemee maandiko tumia akili na logic ndiyo maana dini imeketwa kwa viumbe wenye akili timamu za kupambanua mambo, wanyama kamq ...kuku ..mbuzi nguruwe awana dini kwa sababu ya akili zao aziwezi kupambanua mambo ...MALAIKA AKITUMWA NA MUNGU UJA NA UJUMBE ULIO DHAHILI KABISA NA UUFIKISHA KWA UFASAHA KABISA KUWA UMETOKA KWA MUNGUUlete tu na andiko linalosema kuwa yule aliyemuona Mtume mapangoni alikuwa ni jini
Ukitaka kujua dini ya kweli au dini ya uongo usitegemee maandiko tumia akili na logic ndiyo maana dini imeketwa kwa viumbe wenye akili timamu za kupambanua mambo, wanyama kamq ...kuku ..mbuzi nguruwe awana dini kwa sababu ya akili zao aziwezi kupambanua mambo ...MALAIKA AKITUMWA NA MUNGU UJA NA UJUMBE ULIO DHAHILI KABISA NA UUFIKISHA KWA UFASAHA KABISA KUWA UMETOKA KWA MUNGU
Umeshikwa pabayaNENO WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI AU WAYAHUDI NDIVYO ILIVYO HAKUNA KOSA IKA NENO SAHIHI HAPO NI WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI (NENO UYAHUDI CHIMBUKO LAKE NI UHASI KWA MUNGU (KIBURI ,MAJIVUNO ,UKAIDI )NK ...hivyo hapo lugha sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI siyo wayahudi kwa sababu uyahudi ni itikadi ya kibaguzi baina ya Waisraeli wao kwa wao ...kumbuka biblia imechezewa sana na waandishi ...Ukitumia Logic na akili utajua hakukuwa na sababu kutumika hii sentence 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAYAHUDI BADALA YA 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAISRAELI
Bila kupotosha ukristo haupoWAHY hauji kwangu isipokuwa nimevaa mavazi ya Aisha.
Sahih Bukhari 2442
FACT NA LOGIC NI ZAIDI YA ANDIKO KWA HIYO WENYE AKILI WANATAFUTA FACT SIYO HADITHI HADITHINdilo andiko umeleta hilo?
Nani kanishika pabaya ....UYAHUDI NI ITIKADI KALI ZA KIDINI AMBAZO MSINGI WAKE NI POTOVU ...Siyo Mungu alio uamrisha bali ulianzishwa na UOVU WA KIBURI CHA KIDINI...ndiyo maana wayahudi ndiyo walio mpinga sana Yesu na kumuua na kuipinga INJILIUmeshikwa pabaya
Ulianza vizuri sasa unamaliza vibaya ok kama huna maandiko huwezi kuaminikaUkitaka kujua dini ya kweli au dini ya uongo usitegemee maandiko tumia akili na logic ndiyo maana dini imeketwa kwa viumbe wenye akili timamu za kupambanua mambo, wanyama kamq ...kuku ..mbuzi nguruwe awana dini kwa sababu ya akili zao aziwezi kupambanua mambo ...MALAIKA AKITUMWA NA MUNGU UJA NA UJUMBE ULIO DHAHILI KABISA NA UUFIKISHA KWA UFASAHA KABISA KUWA UMETOKA KWA MUNGU