Kwanini wayahudi siyo waisrael nijibu ...nijibu chimbuko la neno wayahudi ni Mungu au wao wenyewe kumbuka biblia imeandikwa na kutiwa mikono neno sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI......Yesu mwenyewe aliwaonya watu na mafarisayo na wayahudi akisema wamesimama katika fundisho la Musa hivyo wasikieni ila msitende kama watendavyo wao ....Yesu siku zote alitoa mafundisho yenye kuwashusha wayahudi kwa sababu walijitukuza kidini...na ndiyo maana hata hekima ya Mungu ili wayahudi wasome shitaka la Yesu iliandikwa MFALME WA WAYAHUDI na wayahudi walichukia sana ilo shitaka wakamata herode wakamwambia usiandike hivyo ...unajua nini ? Sababu sababu no wayahudi ndiyo walimchukia yesu kuliko waisrael wasio wayahudi ....Pia nimekuambia siyo shida yesu hata angesema wokovu unatoka wa wayahudi akuwa na maana kuwa uyahudi ni jambo jema bali wokovu...ni sawa na Mungu aseme Mtume atazaliwa na kahaba aitakasi ukahaba au waarabu wanamuita muhamadi ni nuru nao wanasema nuru ilitoka kwa waarabu aina maana waarabu walikuwa wapo sahihi kwenye mambo ya dini .....SASA WEWE NI JIBU HUO WOKOVU UNAOTOKA KWA WAYAHUDI NI KITU GANI ?ili tujue logic ni nini ?