hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,560
Unajibu ambacho sijakuuliza kabisa ,unaleta story nyingine kabisa 😂Jibu ...injili uijui ....Yesu alikuwa ameketi na walevi na watoza ushuru je jibu lake lilikuwaje ? Wokovu unatoka kwa wayahudi waliopotea kwanza kisha kwa mataifa yaliyo potea ....Yesu akuja kuleta wokovu kwa kisicho potea bali kilicho potea ...Wayahudi walipotea kwa kijit7kuza na kujikuza ....
HILI SWALI HUTAKI KUJIBU
Je, Yesu Kristo angekiri wokovu utatoka kwa Wayahudi kama alivyosema Yohana 4:22, ikiwa jina lingekuwa WAYAHUDI ni ovu?
Kifupi unataka kusema YESU ALISEMA WOKOVU UTATOKA KWA WAOVU ?
TENA YESU KATUMIA KABISA NENO "WAYAHUDI" au hakujua kuwa ni jina OVU😂