hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Mimi nakupa reference unasema nabishana , wewe usiyeweka reference yoyote unasema upo sahihi 😂😂😂Tatizo lako wewe unabishana badala ya kutafuta elimu ninachokuambia mimi uwezi kukipata kanisa lolote ....sasa rudi hatua chache nimemuelewezmsha mtu mchanfanuo wake UYAHUDI NI KAMA UGAIDI WA KIDINI
Hapa Ezra anawaita wote Wayahudi, hata kama walikuwa wa makabila tofauti, kwa sababu waliokuwa wakirudi walihesabiwa kama taifa moja.
Ezra 5:1
"Ndipo manabii Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakatabiri kwa Wayahudi waliokuwako katika Yuda na Yerusalemu, kwa jina la Mungu wa Israeli aliyekuwa juu yao."
Unaona ninavyofanya mjadala kwa ushahidi wa maandiko ?
Wewe unaleta maneno matupu na unataka uaminiwe😂😂😂😂