Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Ni kweli wayahudi ni Waisraeli walibuni jina hilo kutokana na kiburi cha dini ili kuwabagua wenzao Waisraeli...hivyo UYAHUDI NI JINA OVU MBELE YA MUNGU
sasa mbona huyo mwenzio anawajumlisha waisrael wote kuwa ni wayahudi?
 
Unabadilisha maswali tu,

Jibu ninachokuuliza ,

Neno Zaburi, Israel ,yana maana gani
Hivi wewe kichwani zimo kweli?
Unajibiwa swali unarudia Hayo hayo .unataka maana gani ambazo unataka wewe?.
Nishakujibu zaburi ni kitabu alichopewa mtume daud,Israel ni Jina la nabii yakubu .
Sasa unataka maana gani zaidi ya hapo.ndo maana mwanzo niliekwambia unanichosha tu akili yangu
 
Wewe.utakuja kuelimika lini?..
Wayahudi huo ni ukoo uliotokana na yuda .
Kama wewe haujatokana na huo ukoo wewe sio myahudi
Ndio maana wana KOO 12.
KAMA WENGINE HAWAJATOKANA NA YUDA UNAWAJUMLISHS VIPI KWENYE UYAHUDI?
Unajizungusha ili usijibu swali ninayokuuliza ,NENO ZABURI,NA ISRAEL huko kwenye uislamu yana maana gani au mmeiba kitu msichojua maana yake

Halafu Mimi nakupa maandiko, makabila yote ,awe lawi, Benyamin,Yuda ,waliitwa Wayahudi ,

Nakupa ushahidi ,hapa ni mwaka 538BC baada ya kutoka utumwani Babeli,

Manabii waliwaita wote WAYAHUDI, sasa kama unabisha leta ushahidi

Ushahidi nakupa maandiko

Ezra 4:12
"Na liwe wazi kwa mfalme, ya kwamba Wayahudi waliokwea kwetu, kutoka kwako, wamefika Yerusalemu; wanajenga tena mji huu wa uasi, tena mbaya, na wanakamilisha kuta zake, na kuondoa misingi yake."

Hapa Ezra anawaita wote Wayahudi, hata kama walikuwa wa makabila tofauti, kwa sababu waliokuwa wakirudi walihesabiwa kama taifa moja.

Ezra 5:1
"Ndipo manabii Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakatabiri kwa Wayahudi waliokuwako katika Yuda na Yerusalemu, kwa jina la Mungu wa Israeli aliyekuwa juu yao."
 
unajua kwanini wayahudi wanalikataa agano la kale na yesu japo ni ndugu yao?
Wayahudi awakatai agano lq kale wanakataa injili ....mfano waislamu wote ni waislamu ila kuna waislamu wenye kujitukuza zaidi ya wenzao na kujipa daraja ya WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI (leo uitwa magaidi) ndivyo ilivyo kwa jina MYAHUDI (awani watu wenye msimamo mkali wa torati zamani zile walibagua hadi Waisraeli wenzao wasio wayahudi ...hivyo uyahudi ni itikadi kali na potovu za TORATI
 
Hivi wewe kichwani zimo kweli?
Unajibiwa swali unarudia Hayo hayo .unataka maana gani ambazo unataka wewe?.
Nishakujibu zaburi ni kitabu alichopewa mtume daud,Israel ni Jina la nabii yakubu .
Sasa unataka maana gani zaidi ya hapo.ndo maana mwanzo niliekwambia unanichosha tu akili yangu
Umebadili gia angani😂😂

Israel ni jina ,je Lina maana gani

Zaburi hilo ni neno Lina maana. Gani ,

Sasa zile ulisema maana ya Israel ni Aliyepigana na Mungu akashinda

Ulipona umejipiga kamba ,sasa hivi umebadili gia unasema ni Jina tu, Kuna Jina halina maana ?😂😂😂
 
sasa mbona huyo mwenzio anawajumlisha waisrael wote kuwa ni wayahudi?
Sio Mimi ninayewajimlisha ni manabii

Ushahidi nakupa maandiko

Ezra 4:12
"Na liwe wazi kwa mfalme, ya kwamba Wayahudi waliokwea kwetu, kutoka kwako, wamefika Yerusalemu; wanajenga tena mji huu wa uasi, tena mbaya, na wanakamilisha kuta zake, na kuondoa misingi yake."

Hapa Ezra anawaita wote Wayahudi, hata kama walikuwa wa makabila tofauti, kwa sababu waliokuwa wakirudi walihesabiwa kama taifa moja.

Ezra 5:1
"Ndipo manabii Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakatabiri kwa Wayahudi waliokuwako katika Yuda na Yerusalemu, kwa jina la Mungu wa Israeli aliyekuwa juu yao."
 
Unajizungusha ili usijibu swali ninayokuuliza ,NENO ZABURI,NA ISRAEL huko kwenye uislamu yana maana gani au mmeiba kitu msichojua maana yake

Halafu Mimi nakupa maandiko, makabila yote ,awe lawi, Benyamin,Yuda ,waliitwa Wayahudi ,

Nakupa ushahidi ,hapa ni mwaka 538BC baada ya kutoka utumwani Babeli,

Manabii waliwaita wote WAYAHUDI, sasa kama unabisha leta ushahidi

Ushahidi nakupa maandiko

Ezra 4:12
"Na liwe wazi kwa mfalme, ya kwamba Wayahudi waliokwea kwetu, kutoka kwako, wamefika Yerusalemu; wanajenga tena mji huu wa uasi, tena mbaya, na wanakamilisha kuta zake, na kuondoa misingi yake."

Hapa Ezra anawaita wote Wayahudi, hata kama walikuwa wa makabila tofauti, kwa sababu waliokuwa wakirudi walihesabiwa kama taifa moja.

Ezra 5:1
"Ndipo manabii Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakatabiri kwa Wayahudi waliokuwako katika Yuda na Yerusalemu, kwa jina la Mungu wa Israeli aliyekuwa juu yao."
Nani amekwambia hapo wamejumuishwa waisrael wote?
 
Umebadili gia angani😂😂

Israel ni jina ,je Lina maana gani

Zaburi hilo ni neno Lina maana. Gani ,

Sasa zile ulisema maana ya Israel ni Aliyepigana na Mungu akashinda

Ulipona umejipiga kamba ,sasa hivi umebadili gia unasema ni Jina tu, Kuna Jina halina maana ?😂😂😂
nilikujibu vile uone uongo wa biblia.
Binadamu anapiganaje na Mungu?
 
Anajua ila anajizima data ,makabila yote ya Wana wa Yakobo wanaitwa pia wayahudi ,baada ya kurudi utumwani babel wote waliitwa hivo

Huyu anakwepa swali maana nimemuuliza ,Neno Israel kwenye uislamu wanajua maana yake au Huwa wanaropoka tu

Neno ZABURI wanajua maana yake au wanaropoka tu
Siyo makabila yote zaidi ni YUDA LAWI NA BENJAMINI .....UYAHUDI NI UOVU MBELE YA INJILI
 
nilikujibu vile uone uongo wa biblia.
Binadamu anapiganaje na Mungu?
Haya nijibu kwa maana ya Quran iliyokamilika ,maana ulisema umetoka Google 😂😂mara kwa biblia

Mbona unajizungusha ,nijibu kwa Quran yenu na Hadith ,Neno Israel ,Zaburi ,Injili yana maana gani ,

NIKISEMA Uislamu ni dini ya mchongo iliyoiba huku na kule ,kwa wayahudi, wakristo, wasabai na wapagani nitakuwa NAKOSEA?
 
Siyo makabila yote zaidi ni YUDA LAWI NA BENJAMINI .....UYAHUDI NI UOVU MBELE YA INJILI
Uwe unaleta reference Mzee,

Mungu hakuliita jina Uyahudi kuwa ovu kwa asili yake; bali alikemea matendo ya kiburi, unafiki na ubaguzi.

Paulo anasema: “Si Myahudi aliye hivyo kwa nje tu, bali Myahudi ni yeye aliye hivyo kwa ndani, na tohara ni ya moyo” (Warumi 2:28–29).

Hii inamaanisha Mungu huangalia hali ya moyo, si jina la dini.
 
Ajui ..wayahudi ni Waisraeli ila siyo kila muisrael ni myahudi
Ni kweli: Wayahudi ni Waisraeli, lakini si kila Mwisraeli ni Myahudi.

Mfano: Musa alikuwa Mwisraeli wa kabila la Lawii, lakini kihistoria asingeitwa Myahudi.

Hata hivyo, baada ya uhamisho, jina Wayahudi lilianza kujumlisha wote → ndipo jina likawa la jumla.
 
Uwe unaleta reference Mzee,

Mungu hakuliita jina Uyahudi kuwa ovu kwa asili yake; bali alikemea matendo ya kiburi, unafiki na ubaguzi.

Paulo anasema: “Si Myahudi aliye hivyo kwa nje tu, bali Myahudi ni yeye aliye hivyo kwa ndani, na tohara ni ya moyo” (Warumi 2:28–29).

Hii inamaanisha Mungu huangalia hali ya moyo, si jina la dini.
Tatizo lako wewe unabishana badala ya kutafuta elimu ninachokuambia mimi uwezi kukipata kanisa lolote ....sasa rudi hatua chache nimemuelewezmsha mtu mchanfanuo wake UYAHUDI NI KAMA UGAIDI WA KIDINI
 
Siyo makabila yote zaidi ni YUDA LAWI NA BENJAMINI .....UYAHUDI NI UOVU MBELE YA INJILI
Ni kweli awali si makabila yote yaliitwa Wayahudi, bali Yuda, Benyamini na Lawii.

Lakini baada ya uhamisho, jina Wayahudi liliwajumuisha wote waliobaki watiifu Yerusalemu.

Mbele ya Injili, jina Uyahudi likawa bure ikiwa halina imani ya Kristo
 
Haya nijibu kwa maana ya Quran iliyokamilika ,maana ulisema umetoka Google 😂😂mara kwa biblia

Mbona unajizungusha ,nijibu kwa Quran yenu na Hadith ,Neno Israel ,Zaburi ,Injili yana maana gani ,

NIKISEMA Uislamu ni dini ya mchongo iliyoiba huku na kule ,kwa wayahudi, wakristo, wasabai na wapagani nitakuwa NAKOSEA?
Nilichokujibu ni kwamba hauelewi au nini?
Hii nakujibu Kwa mara ya mwisho ukishindwa kuelewa basi.
Israel ni Jina la nabii yakubu
Zaburi ni kitabu alichopewa mtume daud
Injili ni kitabu alichopewa mtume ISSA.
zaidi ya hapo weka wewe hizo maana unazotaka
 
Ni kweli: Wayahudi ni Waisraeli, lakini si kila Mwisraeli ni Myahudi.

Mfano: Musa alikuwa Mwisraeli wa kabila la Lawii, lakini kihistoria asingeitwa Myahudi.

Hata hivyo, baada ya uhamisho, jina Wayahudi lilianza kujumlisha wote → ndipo jina likawa la jumla.
UYAHUDI NI KAMA UGAIDI WA KIDINI ....NI KIBURI CHA DINI NA ITIKADI KALI ZA DINI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom