hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Kwanza inaonesha hujui, Jews limetokana na kabila la Yuda na Benjamini baada ya makabila 10 kupoteaNajua haujui . uyahudi ni Jina liliotokana na mtoto wa 4 wa nabii yakobo aliyeitwa YUDA AU YEHUDA.sasa kile kizazi chake ndo kikaja kujiita wayahudi. Yaani watoto wa yuda wakaanzisha na dini yao wakaiita judaism.ndo maana mtume musa hakuwa MYAHUDI.una swali?
Halafu Musa ni myahudi kama hujui wa kabila la Lawi
Kama unabisha njoo hapa nipe nasaba ya Musa