Mufti Simba una hoja ya kuwajibu Watanzania

Lakini mbona wakati ccm ilipohaidi mahakama ya kadhi na baadaye kiongozi wa nchi kusema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali ,,,Hatukusikia hao viongozi wa dini waseme kuwa waislamu wamedhalilishwa na wasipigie kura ccm
 
Sio Msimamo wa Waislam wote labda wewe na wapenda pilau la Magamba, Mimi kwanza siitambui Bakwata nikiwa kama Musilam. Bakwata inaendeshwa kama vile ni Tawi dogo la Magamba. Kwa hiyo sinaimani nao hao Mashekhe Pilau wanaoweka Njaa zao mbele kuliko Dini.

I never trust Bakwata and i will never Trust Bakwata. Tunataka Baraza letu la Balukta lirudishwe lile ndio liliokuwa linapigania Haki za waislam sio hili Tawi la Magamba Bakwata my us NOT Asssssssssssss
.

Hao wakina Muft Simba wakishwa lishwa Pilau na CCM wanasahau mpaka dini, wanalishwa na kuja kuropoka na kutudharaulisha waislam wote nchi kwa Njaa zao

Mkuu nimeipenda comment yako wewe ni miongoni mwa waislam wachache wanaolitambua hili kama wote wangekuwa kama wewe tusingefika hmkuu nimeipeapa, ukweli ni kuwa wapo hata viongozi wa kikristo wachumia tumbo tunatakiwa tuunganishwe na u Tanganyika wetu bila kujali dini zetu kuwapinga viongozi wa namna hii PAMOJA TUTASHINDA
 
Mufti Simba alikuwa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Geita hadi anakuwa Mufti so ana u CCM ndani yake hawezi kutoa kauli za kuishambulia CCM hata suala la mahakama ya kadhi hujamsikia akitoa nkauli ya kulaumu
 
Kwanza kamwite Askofu wenu Laizer na Askofu mkuu wa katoliki watueleze kwanini walikuwa wanatuambia tuwachague Chadema mwaka jana?

Acha kutuletea hoja za kimasaburi hapa. Nchi nzima imepoteza dira. Huyo DC ni muislamu as long as akiwa hajabadili dini yake kwa kuritadi (kutamka amejitoa katika uislamu). Hivyo basi inamlazimu avae hijabu au mtandio kusitiri nywele zake. Kaulize wajuzi wote wa dini watakuambia. Ama kuhusu kuolewa na mkristo hilo swala jengine ila kiislamu hapo hakuna ndoa bali wanazini ila yule mwanamke ataendelea kuwa muislamu kama kawa!!!! Acheni udini wenu nyie watu mnaipeleka nchi pabaya na ubaguzi wenu wa kijinga. Tuliachie jambo lijadiliwe mahakamani kwanza ndio tuseme lolote.

Self serious contratiction on Islam. !!!???
 
Time is very near waislamu wote mtakapoikana CCM!!!! By now si kwamba mnaipenda CCM bali JK wenu (muislamu mwenzenu). Siamini kwamba siku rais wa nchi akiwa Mkristo obsession yenu kwa CCM itabaki kama ilivyo leo. Kuna kazi kubwa sana katika taifa hili coz katika zama hizi it's shamefull kwa viongozi wa kiislamu kugeuzwa na CCM kuwa CHIEF MANGUNGO (NGAZI YA KUIFISIDI NCHI)!!!
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.
 
Watumishi wa Mungu wasipotulia kwenye maeneo yao,watatumika kuvuruga amani ya nchi hii, mimi nitasema daima, sera ya udini ni mfu tanzania, naamini mufti amejifunza kitu japo hatasema hadharani na dhamiri za wote waliodandia mtego wa udini igunga zinawasuta,wanatakiwa kutubu dhambi hiyo.Chonde viongozi wa dini tumieni mda mwingi kumtafuta Mungu ili mpatae cha kuwahubiria wafuasi wenu, siasa waachieni wanasiasa. Kuna mmoja aliwahi hata kumpigia kampeni mwanasiasa na kumtangaza mshindi, alipogundua dhambi yake alitubu na hajathubutu tena kukubali kutumiwa na wanasiasa.
Dini iko kiimani zaidi,siasa ni mchezo wa maneno,mizenge na fitna za kila namna.
Viongozi wetu wa dini simamieni maadili ya imani. la Igunga linatosha kuwa Funzo.
 
CCM wakakimbilia kwenye madhehebu ya dini ila kujali kuihatarisha amani ya nchi na kuomba wasaidiwe kuilaani chadema....

Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC fatma kimario (mkristo safi) kwani ameolewa na mkristo. alivaa ushungi wala si hijabu. hata mimi hua na vaa kanzu lakini si muislam.

Halafu yakaibuka makundi mengine ndani ya uislam ikiwemo BAKWATA WOTE KWA PAMOJA WAKASEMA WAISLAMU WASIPIGIE KURA CHADEMA IGUNGA IMEDHALILISHA UISLAM. JE HUU MSIMAMO NI WAISLAM WOTE AU NI WALE WAFUASI WA CCM PEKEE.
Tunasubiri kusikia mufti simba atuambie kama huu ulikuwa msimamo wa waislamu.

WAISLAMU mimi mbona nimechanganyikiwa? Mara tuambiwe kuwa CHADEMA hawawapendi Waislamu! Halafu hapo hapo Katibu wa CCM tena anaitwa WILLSON Mkama anasema CHADEMA imeleta makomandoo 'magaidi' toka nchi za Kiislamu, Afghanstan, Pakistan na Libya Palestina! Du!

Siwezi kugombana na rafiki zangu Waislamu kwa sababu za wachumia tumbo wachache wanaoutumia Uislamu kama daraja la dharura! Tena hao CCM wanajifanya kutetea suala la mkuu wa Wilaya wengi wao ni Wakristo! kweli wanawaonea huruma Waislam au njaa zinawasumbua?

Cha kustaajabisha huyo DC sio muislamu safi kwani ameolewa na mkristo na wanatarajia kufunga ndoa kanisani na watoto wanao. Pia hakuvaa hijabu ni mtandio tu.

Kuruani inasema mwanamke wakiislam ni yule aliyeolewa na muislam na anafuata maadili ya kislam. Ndugu zangu waislamu kwanini mnakubali kueendeshwa kama gari bovu, au na nyie mmepoteza dira kama chama fulani.

Haya tumeyasikia , sasa ongelea na upande mwingine wa shillingi wa CHADEMA KUTUMIWA NA KANISA
 
Itakuwa vizuri kama kiongozi wa Waislamu anaweza kujitokeza ktk chombo cha umma kinachosikika nchi nzima na kutoa mwongozo kuhusiana na matamshi yaliyotolewa na viongizi waliojitabulisha chini ya mwavuli wa Bakwata kuilaani CDM na kuwataka waislamu wasiipigie kura CDM. Kitakuwa ni kitendo cha busara na uungwana maana siasa hazipaswi kutugawa kijamii. Mimi nina marafiki wengi wa kiislamu huku mitaani siku zote tunatofautiani kimisimamo lakini imani zetu hazijawahi kuwa tatizo.Tunaombana chumvi, maji ya kunywa na kushiriki kwenye majumuiko ya sherehe na misiba. Lakini hili la kumtumia DC kuwataka waislamu waitenge CDM na hali CDM ni chama cha Watanzania wote si zuri hata kidogo. Ni hapo ndipo kila mpenda nchi hii anamwomba Mufti atoe tamko lenye kuondoa utata huu na ambalo linalenga kuwatenga waislamu na hitikadi za chama chochote japo wiaslamu bado wana uhuru wa kufata chama chochote.

Najua inahitaji ujasiri maana CCM hupenda kutumia udhaifu fulani kama mtaji wao. Udhaifu huu wameutumia vizuri na ni bahati mbaya waislamu kwa sasa ni walengwa wakubwa. 2005 waliwatumia maaskofu na Askofu mmoja kipenzi cha watu akasema JK ni chaguo la Mungu. Imemgharimu na sina hakika kama atakuja tena kurudisha imani ambayo wakristu walikuwa nayo kwake. Wakati wa kutubu upo anaeza kutumia jukwaa lile lile akatubu kwa umma. Sasa walengwa hivi ni ndugu zetu waislamu, maskini walioko vijijini na sasa wanaandaa wahitimi wa shule za kata na zile za msingi kama ya Mvomero kama mtaji wao ili wawatumie waendelee kutawala.
 
you are too biased and non objective in shallow presentation. Huwezi kutoa references zisizoonyesha mwaka wa chapio unalotaka watu wasome. Na ukitaka hoja yako ikubalike na isiwe na chembe ya shaka ya ubaguzi au upendeleo jaribu kutoa authors ambao ni neutral. Wa kwako wote wanegemea upande mmoja wamani ambayo kwa vyovyote vile kuna upendeleo. Halafu haijawahitokea madhehebu hayo yakawa kitu kimoja kwa kwani sababu zilizoyatenganisha bado ni mbichi kama jana na leo
 
DUH, hii kweli kali, kwamba maaskofu waliwaambia wakristu wachague CHADEMA!Hii kwangu ni ngeni kabisa, ila ninachokumbuka mimi kwamba kuna askofu alitangaza kwamba Kikwete ni chaguo la MUNGU hivyo anapaswa kuchaguliwa.@Mdondoaji, acha kupotosha watu wewe.
 
Waislam walitakiwa watoe tamko kumlaani W mkama kwa kuhusisha ugaidi na uiislam vs nchi za kiislam tajwa.
Adadi rajab alikanusha kutokuwepo magaidi kupitia TBC1, na kudai huo ulikua uzushi.
 
Sisi waislam hatuitambui bakwata mana ni part and parcel ya CCM,viongozi wa BAKWATA huchaguliwa na CCM ambao wengi wao ndani ya CCM ni wakristo,bakwata ipo kwa ajiri ya kugandamiza uislam,wanapewa pilau na CCM ili kuukandamiza uislam,adui namba moja ya uislam ni CCM na wake zao Bakwata.
 
Nilishasema na ninarudia tena kuwa BAKWATA ni kitengo cha propaganda cha CCM. Ni kosa kubwa kuwaunganisha Waislamu wote na huu ujinga wa CCM. Tamko alilotoa Mufti Simba ni tamko la CCM na yeye kama mkuu wa kitengo cha propaganda ilikuwa ni kutimiza wajibu wake wa kazi kama alivyoagizwa na CC ya CCM.
 
CCM wakakimbilia kwenye madhehebu ya dini ila kujali kuihatarisha amani ya nchi na kuomba wasaidiwe kuilaani chadema....

Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC fatma kimario (mkristo safi) kwani ameolewa na mkristo. alivaa ushungi wala si hijabu. hata mimi hua na vaa kanzu lakini si muislam.

Halafu yakaibuka makundi mengine ndani ya uislam ikiwemo BAKWATA WOTE KWA PAMOJA WAKASEMA WAISLAMU WASIPIGIE KURA CHADEMA IGUNGA IMEDHALILISHA UISLAM. JE HUU MSIMAMO NI WAISLAM WOTE AU NI WALE WAFUASI WA CCM PEKEE.
Tunasubiri kusikia mufti simba atuambie kama huu ulikuwa msimamo wa waislamu.

WAISLAMU mimi mbona nimechanganyikiwa? Mara tuambiwe kuwa CHADEMA hawawapendi Waislamu! Halafu hapo hapo Katibu wa CCM tena anaitwa WILLSON Mkama anasema CHADEMA imeleta makomandoo 'magaidi' toka nchi za Kiislamu, Afghanstan, Pakistan na Libya Palestina! Du!

Siwezi kugombana na rafiki zangu Waislamu kwa sababu za wachumia tumbo wachache wanaoutumia Uislamu kama daraja la dharura! Tena hao CCM wanajifanya kutetea suala la mkuu wa Wilaya wengi wao ni Wakristo! kweli wanawaonea huruma Waislam au njaa zinawasumbua?

Cha kustaajabisha huyo DC sio muislamu safi kwani ameolewa na mkristo na wanatarajia kufunga ndoa kanisani na watoto wanao. Pia hakuvaa hijabu ni mtandio tu.

Kuruani inasema mwanamke wakiislam ni yule aliyeolewa na muislam na anafuata maadili ya kislam. Ndugu zangu waislamu kwanini mnakubali kueendeshwa kama gari bovu, au na nyie mmepoteza dira kama chama fulani.

hivi waislam mna urafiki na mafremason...this guy ni follower wa freemason anagalia avatar yake
 
punguani ni wewe na familia yako huwezi kujumuisha waislamu wote bloodyfoooool!!!!!!

Ha ha ha ha ah ah ah....mkuu hiyo ni noumaa!! Ahsante kaka..hapo ndipo naamini ujumbe umefika....Nasisitiza,waislamu mapunguani ndio walisapoti na watasapoti uharo huu.......
 
Haya tumeyasikia , sasa ongelea na upande mwingine wa shillingi wa CHADEMA KUTUMIWA NA KANISA

Una ushahidi kuwa CHADEMA inatumiwa na Kanisa? Leta mifano halisi hapa JF sio unakurupuka bila hata kupiga mswaki,na kuleata mawazo yako majitaka hapa...
 
Back
Top Bottom