Nafikiri kamma chadema wako smart ni watu pekee kuitumia mada hii kuonesha jinsi CCM ilivyowabagaua Waislamu wa TAnganyika na hata kuwakatalia kuwa na KADHI kama Chadema ni smart na wanataka kuungwa mkono na Waislamu waende deep kwenye Historia na wampe reserach Mzeee wenu akamwage jukwaani na awaeleze Waislamu nini atawafanyia Waislamu wa Tangayika na wao wajione kuwa ni Watanzania kuan mengi mukitaka wanachadema nitawasaidia kweney research zangu mimi Sio mwana Chadema wala mwana CCM ila nayajua madhambi waliofanyia Waislamu baada ya kupatikana uhuru kina Bibi Titi kufungwa na kutolewa kwenye nafasi muhimu kwenye serikali nendeni kwenye reserch za Mohammed said mutaona unyama wa CCM walivyowakndamiza Waislamu ingawa leo wanawatumia hao hao Waislamu kubaki Madarakani.
Wapinzani kaeni mujipange pamoja sio kupiagna wenyewe kwa wenyewe CCM itatawala kwa uzembe wa Upinzani huu ndio ukweli.
Wapinzani kaeni mujipange pamoja sio kupiagna wenyewe kwa wenyewe CCM itatawala kwa uzembe wa Upinzani huu ndio ukweli.