Mufti Simba una hoja ya kuwajibu Watanzania

Acha uhuni katika kuwaza, unawaza kama ***** bana. Kwa hiyo Zanzibar CUF haikushinda kwa kuwa haikuwa na demographic ya Zanzibar. Yaani haikuwa na Waislam katika uongozi wa juu.

Anyway sijui unawaza kwa kutumia nini, ungekuwa magamba ninge conclude unawaza kwa kutumia masaburi. Lakini kwa kuwa wewe ni CAFU sijui.... Hebu niambie hiyo demographic ya CAFU kujaza waislam wote katika uongozi wa juu ndo iliyowapatia hiyo asilimia 4? Acha ku associate kila kitu na udini udini. Hii nchi na hata hivyo vyama vinaongozwa na Watanzania wawe Wakristo, Waislam au wasio na dini --- yote sawa.

Mbona mnaleta ubaguzi wa kidini dini tu hamuleti ubaguzi wa kikabila? mmeona kuna nini hasa kwenye hiyo dini (uislam) mnayopenda kukimbilia?

Acha Ubwege
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.

Toa takwimu, au hoja yako ni ya mtu wa mtindio wa ubongo, kwa sababu hao 23,000 ni pamoja na waislamu. Nakukumbusha hakuna maendeleo ya kiislamu au ya kikiristo bali maendeleo ya watu. Wapiga kura 23,000 wamewaelewa CDM, zaidi ya 10,000 walioipigia kura CCM miezi 9 tu iliyopita hawakuipigia CCM na waislamu wapo, Wapiga kura 9,000 hawakuipigia kura CUF baada ya miezi 9 na waislamu ni baadhi yao. Nakushauri tafuta tiba ya ugonjwa wa udini unaokusumbua.
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.

Mkuu,

Nikuulize swali je kama muislamu ni fisadi utamchagua kwasababu ya uislamu wake? Chadema wanatakiwa kuwaheshimu na kuwathamini waislamu lakini sio kuchagua viongozi wa kiislamu kwasababu ya dini yao hata kama hafai hilo ni tatizo jengine. Kama tunavyopinga kuteuliwa wanawake kiubunge, na kiuongozi basi pia tuchague viongozi sio kwasababu ya dini yao bali kwa sifa zao za uongozi na uadilifu. Na sio dini yao !!!
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.

Tukisema baadhi yenu hamnaga akili kabisa mnasema tunakosea,sasa hapa ndio umeandika kitu gani mdini mkubwa wewe!!!!???
 
Watanzania wa imani ya islam wametupa kura nyingi tu na tunawashukuru sana. Pia tumeziona zile kura 2000+ za viongozi wa BAKWATA-CCM na kamwe hazitatusumbua Mr Right who is always wrong.
 
Ndugu zangu waislam naomba niulize swali na nisaidiwe kufahamu kwa nia njema kabisa

Je huu ndio Uislam au ni mtu tu (Mwislam) anaeongea kama Mwislam lakini anachoongea sio Uislam????....Just curious to know nisije fanya conclusion isiyo sahihi

Na nauliza kwa sababu hata kwa Ukrsito kuna watu wanaongea kama Wakristo lakini hawawakilishi Ukristo....Just some help
 
Sina hakika kama wewe ni muislamu, ningesema kitu lakini sitakikugeneralize kwamba waislamu ni wabaya ila kuna MiCCM ambao ni waislamu wanatumia uislamu kufanikisha miradi yao.
 
Ningekuwa na uwezo ningeifuta thread hii.
Hakuna chama cha siasa nchini kitachoshinda bila ya dini zote kushiriki.
Nikisikia mtu anaongelea udini ktk siasa, namuusisha na magamba, sababu yameshindwa sera yakaamua kuvuana magamba, yameshindwa kuvuana magammba sababu hata chama chenyewe ni gamba yameanza kugawa wananchi kwa misingi ya DINI.
Pole unayesupport magamba!
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.

Wewe acha kutudhalilisha waislam,!nani alikwambia waislam ni watu wa kuyumbishwa ki hivyo?Nguvu ya waislam ya wapi?Bila kura za waislam cdm unadhani ingefikia hapo?kwa taarifa waislam wakweli tunajua kwamba ni propaganda tu za mafisadi,,kwanza ALLAH alishaonya kuhusu mafisadi"na wakitawala watu hao huenda katika ardhi na kufanya ufisadi",,,,katafute usome hiyo aya!waislam wakweli tutaendelea kuunga mkono haki na kupinga batili daima!VIVA CDM.
 
Eti mtu mwenye akili timamu anaweza kuandika hivi? au haya ndio matunda ya udini yanayopandwa na ccm
 
Binafsi nimeiona nguvu ya waislamu...

kwanza wamemchagua mkristu
pili wamekubali "kama kawaida" kwamba lazima watumike hata kwa ubwabwa
tatu wameonyesha nguvu halisi ya kutumika kisiasa kirahisi sana kama kwenye issue ya mtandio
nne nguvu yao kubwa ya kusapoti vibastola na pombe za usiku kucha bila kutoa matamko
tano wameonyesha nguvu kubwa sana kwenye kusapoti kura za jumla yaani wholesale
sita - nguvu yao kubwa zaidi imeonekana pale waliposapoti mzinzi tena aliyefumaniwa na mke wa ustaadh wao na kukomalia mtandio wa mkatoliki

kwa hili, nawapa big up sana na mods naomba msiitoe kwani uzito wa jibu unaendana na mleta hoja na kama hamkutaka huu ushenzi, basi msingeruhusu hii itoke kis**** hivi
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.
Samahani kaka, sio waislam wote waliikata chadema...
 
sijajua hata unatakiwa uwe kundi gani. Anyway kwa kuwa naishi na waislam wengi tu hivyo najua tu ni maoni ya mateka wa kisiasa. Mungu akusaidie utumie akili aliyokuzawadia kufikiri.
Pole sana!
 
Mkuu,

Unajua kila jamii ina kiongozi wake na muongozo wake na ndio maana wenzetu wakristo wana maaskofu na sisi waislamu tuna masheikh. Mufti alichokosea kujiingiza katika siasa ila kuhusu kuvuliwa mwanamke staha yake ni jukumu lake lazima alikemee kwani asipolikemea kiti chake kitakuwa cha moto. Kosa alilolifanya Mufti ni kusema wasipigiwe chama fulani kura kwani pengine amewagusa wapenzi wa chama fulani ila kulikemea na kulitoea fatwa suala la kumvua mwanamke wa kiislamu hijabu ni sehemu ya kazi yake. Hata wewe ungelikuwa Mufti hilo jambo linakulazimu ulitolee muongozo.

Kwa ufupi niliwahi kusema huko zamani kwa maaskofu wetu na masheikh wetu wakitaka kuingia katika siasa wavue majoho yao waingie katika siasa ama sivyo wakae mbali nayo. Mufti ni kiongozi wa waislamu hivyo lazima akitoa tamko lina uzito wake hata kama baadhi hatukubaliani na taasisi anayoisimamia ya Bakwata ni wajibu wa kila muislamu. Ndio maana Sheikh Hassan bin Ameir (R.A) aliogopewa na Nyerere akamuhamisha kwenda zanzibar amtoe katika kiti chake kwani angelitoa tamko lolote kipindi kile Tanzania ingelichafuka.
Umesema mwenyewe kila Jamii ina viongozi wake. Huyu Mufti sii kiongozi wa DC wala jamii inayomhusu Bi. Fatma isipokuwa serikali ndiyo yenye mamlaka ya juu ktk swala zima. Na sheria ilichukua mkondo wake, washtakiwa walifikishwa ktk vyombo vya sheria na mashtaka yapo mahakamani. Wee sheikh unatafuta nini zaidi ktk kesi usiyoifahamu wala huna ushahidi wa kutosha. Na ni makosa makubwa kutoa Fatwa ktk swala ambalo huna ushahidi wake kwa sababu zipo kanuni na taratibu za kiislaam hupitiwa kabla ya kutoa fatwa.. Na unapokiuka kanuni hizi unaondoka ktk Uislaam na ndicho alichokifanya Mufti yaani katoka ktk Uislaam na kuingia ktk siasa.

Halafu, hatushindani baina ya waislaam na Wakristu isipokuwa tunapinga unyanyaswaji wa kijamii hivyo kama kweli huyu Mufti ni kiongozi anatakiwa kusimama ktk kila jambo linalowagusa wananchi wake. Na anatakiwa leo hii azungumze mabaya tyote ya Utawala wa CCVM ambao uko madarakani na sii kuzungumzia Upinzani hali Waioslaam hali yao ya maisha inazidi kuwa mbaya. Ni afadhali hao Maaskofu wanaozungumzia Ubaya wa utawala huu ingawa binafsi siafiki viongozi wa dini kuingilia mambo ya siasa. Na wewe wamekukwaza kwa sababu ya Udini kuwa walozungumza ni Maaskofu ingawa kuna ukweli kuwataka wananchi wasikichague chama cha CCM ambacho kuna ukweli mkubwa kwamba kimewadhalilisha pia waislaam miaka mingi.

Kuhusu Sheikh Hassan wewe hujui mengi zaidi yaliyofichika kwa sababu huyu pia alikuwa mwanasiasa, na alikuwa na chama pinzani na uongozi wa Nyerere na walifanya mpango wa kupindua serikali, hivyo Sheikh anapoingilia mambo ya siasa adhabu zake hatuwezi kuzitazama kidini tena isipokuwa kisiasa. Lakini maajabu ya Firaun sijasikia Muislaam akimtaka sheikh Hassan angevua joho la Usheikh kwanza bali anasifiwa.
 
Binafsi nimeiona nguvu ya waislamu...

kwanza wamemchagua mkristu
pili wamekubali "kama kawaida" kwamba lazima watumike hata kwa ubwabwa
tatu wameonyesha nguvu halisi ya kutumika kisiasa kirahisi sana kama kwenye issue ya mtandio
nne nguvu yao kubwa ya kusapoti vibastola na pombe za usiku kucha bila kutoa matamko
tano wameonyesha nguvu kubwa sana kwenye kusapoti kura za jumla yaani wholesale
sita - nguvu yao kubwa zaidi imeonekana pale waliposapoti mzinzi tena aliyefumaniwa na mke wa ustaadh wao na kukomalia mtandio wa mkatoliki

kwa hili, nawapa big up sana na mods naomba msiitoe kwani uzito wa jibu unaendana na mleta hoja na kama hamkutaka huu ushenzi, basi msingeruhusu hii itoke kis**** hivi

maneno yote haya na aliyeyaanzisha amefanya hivi kwa maslahi ya nani? lini chadema ikawa mshindani wa uislamu je katika kampeni zao ni mkutano upi walizungumzia msikiti na kanisa wakaacha sera? mada chonganishi nadhani jf sio mwake mkumbuke watumiaji ni waumini wa dini mbalimbali tukiingiza dini tutapoteana wapo wataalamu wa kubadilisha maneno yaonekane yametoka kichwani mwa chadema, mbinu chafu inayotumiwa na ccm ni kufitinisha vyama pinzani na jamii cha kwanza watatumia udini, halafu usalama wa nchi , watamalizia kwa kudai vitasababisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe vijijini wanazoa kura kwa uzandiki na aliyeanzisha mada hii nadhani ni miongoni mwao siamini kama ni muislamu anakerwa kuwaona waislamu na wakristo kuwa wamoja kuelekea kuingoa ccm 2015 walifanikiwa kuipakazia cuf na udini hawatafanikiwa chadema baada ya kuisambaratisha nccr mageuzi watanzania bara tumepata chama mbadara tusianze kuingia kwenye mtego wa kukinyonga wenyewe chama chetu.
 
kuna waislamu wengi sana wanaipenda na kuisupport CHADEMA kama ambavyo kuna wakristu wengi sana wanaipenda na kusupport CUF.
Nawashauri wapambanaji tuachane na propaganda za CCM, kutugawa katika misingi ya DINI ili waendelee kutunyonya na kutunyanyasa. Tupiganie Uhuru wetu

Kumbukeni moja ya Silaha ya CCM kuidhoofisha CUF huko nyuma ilikuwa ni UDINI huo huo. Tuliwasikia wakisema: ni chama cha waislam, ni chama cha Zanzibar, kama leo wanavyosema: Ni chama cha wakristo, ni chama cha wachaga. Tusipoangalia ndugu zangu CCM itatugawa na kusababisha vita mbaya sana.

Kama wewe unatamani sana uhuru na ukombozi wa nchi hii dhidi ya magamba a.k.a mafisadi, support chama chako, achana na hoja ya Udini, hiyo ni CCM baada ya kupoteza vuto na kuwa na sera zisizotekelezeka.

Kuhusu Mufti aje kujibu siafiki ila waislam wanaoelewa janja ya CCM wanapaswa kumshauri Mufti asiifanye BAKWATA kuwa tawi la CCM. Asikubali chombo muhimu kwa kuwaunganisha waislamu kutumika kwa interest za MAGAMBA.

Poleni magamba kwani mpango wenu wa kuwagawa WaTZ umegundulika, na hautafanya kazi hapa. HATUDANANYIKI
 
Wakulaumiwa ni Mkw3re Kasababisha haya yote na Hili Halina Ubishi
 
Back
Top Bottom