dada zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ugonjwa wa dada zetu

    Dada zetu huwaambii kitu kuhusu wanaume wenye miili hii ya kujengeka. Au nakosea dada zangu?
  2. A

    DOKEZO Tuwe makini na Mawakala wanaouza dada zetu wakidai wanawapeleka Uarabuni, Serikali iangalie

    Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa jumla juu ya kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini. Dada yangu ni binamu hapa tumpe jina la “Bi Dada”...
  3. ChoiceVariable

    Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  4. sky soldier

    Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

    Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani. Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake...
  5. DR HAYA LAND

    Kwa Jinsi maisha yalivyo ni bora dada zetu wakapewa hii siri Mapema

    Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani. Katika Dunia ya leo...
  6. W

    Muda si mrefu dada zetu watahitaji mume zaidi ya mmoja ili angalau kukidhi haja ya tendo!!

    1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi...
  7. Pascal Ndege

    Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na kupata mikopo. Sasa nilifika kwenye party Ile nikakuta waume wanne na wasichana umri wa Kati kama 50...
  8. Majighu2015

    Hata kama ni njaa ila hili ni balaa sasa. Dada zetu hivi mnatuchukuliaje?

    Yani mtu mmeanza kuchati tu ghafla umeshaitwa "My" na invoice juu. Hivi hawa viumbe wanatuchukuliaje? Nilichokifanya nimempa block tu, sitaki ujinga.
  9. DR HAYA LAND

    Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

    Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake. Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
  10. Manyanza

    Pesa inavyodhalilisha utu wa Dada zetu

    Nimekumbuka kisa kilichotokea mwaka 2018 maeneo ya Kinondoni kwenye Bar ya Uhuru Peak. Ilikuwa hivi siku hiyo nilikuwa na jamaa yangu maeneo yale tunapata kitu roho inapenda ilikuwa mida ya saa 8 na dk zake usiku. Ghafla upande wa pili tukamuona Dada Poa akiburutwa na jamaa huku akitukanwa...
  11. GENTAMYCINE

    Nini hasa kinasababisha baadhi ya Makalio ya Dada zetu 'Kudundadunda' sana Kama 'Kitenesi' wakiwa Wanatembea?

    Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia nimejikura nimeghairi kwenda huko Mbagala Rangi Tatu na sasa nimepanda Basi alilopanda Yete la Mbweni ili tu...
  12. GENTAMYCINE

    Je, huu ni Ugonjwa mpya kwa Dada zetu au ni Jambo la Kawaida tu?

    Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama / kuyakodolea utayaona yamelegea sana na muda wowote yatakatika vipande vipande na Kuanguka. GENTAMYCINE...
  13. GENTAMYCINE

    Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
  14. GENTAMYCINE

    Wanawake acheni Kupiga Kikatili Watoto wenu kwani hamkulazimishwa Kuwazaa

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda kama Watoto na Kucheza nao (japo ni Muoga wa Kuzaa) hivyo nikiona Wanaonewa au Wanateswa huwa Ninaumia mno na hata Mood ya Siku nzima Kuharibika. Nimekutana na Mama Mmoja akimpiga mwanae wa Kumzaa Kofi ambalo hata Mtu mzima akipigwa lazima Vita Vitaanza kwa...
  15. The Eric

    Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

    Haloo wakuu kina Chakorii, Hornet, To yeye, Kelsea, Depal, Joanah, Witnesj7, miss minah, stacia, Kalpana, Kasie, na wengineo wote hao kwa pamoja ni dada zetu. Itifaki imezingatiwa..... Kimasihara haiwahusu sisi tunacheza na universal set walio nje ya JF......😁 Wakulungwa si tupo pamoja!!!!
  16. Binadamu Mtakatifu

    Akili za dada zetu

    Hapa ni mekaaa nikakumbuka baadhi ya mambo mimi nimedate na walionizidi umri na niliowazidi Ila baada ya pilikapilika za hapa na pale nimegundua kuwa wanawake akili zao ni kama Game haliwezi kujicheza kamweee Mfano mzuri ni unavyoongea nae kwanza wanashawishika kwa vitu ambavyo unajua kabisa...
  17. W

    Kuna kitu sijakielewa kwa dada zetu hapa Tanzania

    Yaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote! Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo...
  18. Mukulu wa Bakulu

    Taratibu taratibu mama zetu na dada zetu wanaanza kuelewa thamani ya ngozi zao

    Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao. Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi...
  19. Frumence M Kyauke

    Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

    Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya. Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa. Ngoja ni wambie kitu...
  20. Surya

    Ifike sehemu jamii Itafute mbinu mbadala ya Kuwafunda dada zetu

    Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja. Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya...
Back
Top Bottom