Mubarak's out

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810

attachment.php

mubarak-out.jpg
 
kama kawaida yao kimbilio ni Saudia...hili dege litatua lini hapa linasubiriwa kwa hamu!!
 
He who can no longer pause to wonder and stand rapt in awe, is as good as dead; his eyes are closed. Mubarak is trying to cling but with an option to follow Ben Ali's suit.
 
Viongozi wa Africa amkeni na kutetea maslahi ya wananchi wenu, angalia sasa yaliyomkuta Hosni Mubarak ni aibu tupu, wachana na nguvu ya uma bwana!
 
dah
ivi kwanini wanapenda kukimblia saudia?kunan?
ben ali alikataliwa kutua paris sjui akaenda wap tena sasa uyu nae uko uko KUNAN?
 
Tusubiri siasa za kidini kutawala Misri na kujilipua kwa sana tu.
Hawa fundamentalist walikuwa wanatafuta mahali pa kupumzikia baada ya kutimuliwa Afghanistan. Sasa wamepata Misri.
 
Tusubiri siasa za kidini kutawala Misri na kujilipua kwa sana tu.
Hawa fundamentalist walikuwa wanatafuta mahali pa kupumzikia baada ya kutimuliwa Afghanistan. Sasa wamepata Misri.
Naona udini unakusumbua mpaka umekuwa kipovu wa akili.
 
Yesterday I was checking parties backing up both Tunisia and Masr uprising, they both have aims of making sharia de facto standard in those countries: check for yourself the Hiz but xxx (I don't remember that hard name) and Muslim brotherhood! Very skeptical of this kind of 'people's power'. If I'm right then they are selling even little frredom they used to have!
 
Pamoja na yote, viongozi wa afrika ni wa kulaumiwa kwani walikuwa na muda wa kubadilika na kuwatumikia wananchi. Ila issue ya Misri ni tete, kwani vikundi vya magaidi vinaweza kuitumbukiza kwenye machafuko na kuifanya kama iraq. so tusishangilie sana haya mabadiliko hatujui kitatokea nini.
 
Tusubiri siasa za kidini kutawala Misri na kujilipua kwa sana tu.
Hawa fundamentalist walikuwa wanatafuta mahali pa kupumzikia baada ya kutimuliwa Afghanistan. Sasa wamepata Misri.
Kuna hatari kubwa endapo Misri kuangukia mikononi mwa Muslim Brotherhood. Chama ambacho kitailetea maafa Misri kuliko maendeleo.
Maana hawa Muslim Brotherhood hawana tofauti na Hamas au Al-Qaeda, wanachojua ni kujilipua tu na kuwa na ''illusion'' kuwa ipo siku wataipiga Israeli na kuiangamiza.
 
Mubarak_cartoon.jpg
 
Back
Top Bottom