Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Mwalimu Nyerere in Shivji (2000), “Critical Elements of a New Democratic Consensus in Africa (pp 25-38):

[“It is not that peace has come by itself. The source of peace in Tanzania is not that the Arusha Declaration has done away with poverty even a little bit. Isn’t there this poverty we are still living with? This poverty is right here with us. It is not the same economy we are grappling with? The fact is not that the Arusha Declaration has banished poverty even by an iota – nor did it promise to do so. The Arusha Declaration offered hope. A promise of Justice, hopes to the many, indeed the majority of Tanzanians continue to live this hope. So long as there is this hope, you will continue to have peace. Here in Tanzania we have poverty but no ‘social cancer’. It is possible it has just begun. But otherwise we don’t have a social cancer. There isn’t a Volcano in the making, that one day it is bound to erupt. We have not yet reached that stage because the people still have hopes based on the stand taken by the Arusha Declaration. It did not do away with poverty but it has given you all in this hall, capitalists and socialists alike, an opportunity to build a country which holds out a future of hopes to the many.

To be sure, you few Waswahili, do you really expect to rule Tanzanians through coercion, When there is no hope, and then expect that they will sit quiet in peace? Peace is born of hope, when hope is gone, there will be social upheavals. I’d be surprised if these Tanzanians refuse to Rebel, why?

When the majority don’t have any hope you are building a volcano. It is bound to erupt one day. Unless these people are fools. Many in these countries are fools, to accept being ruled just like that. To be oppressed just like that when they have the force in numbers, they are fools. So Tanzanians would be fools, ******, if they continued to accept to be oppressed by minority in their own country. Why?"]

May God Rest Him In Peace



Nyerere aliona mbali sana... Ndo kinacho tokea sasa....
 
Naishauri Serikali, iagize mustard Gas kama bado hawana na kuliagiza JWTZ wawanyunyizie hao takataka, wabinafsi wakubwa wanaojiita wa kusini wote na kuwaangamiza na kuwatokomeza kabisa ktk uso wa Tanzania, kwanza hawana mchango wowote ktk nchi yetu zaidi ya kutuharibia takwimu tu na ugoigoi wao!
 
Wasukuma bana, wameikimbia dhahabu wamekwenda kilombero kufuga na kulima mpunga.
ni kwa kutokuelimishwa lakini nakuhakikishia wasukuma leo hii ikipata mtu wakuwazaja hasira kama LEMA CCM watawindwa maana watawaona kumbe CCM ni wabaya kuliko wachawi wanao wakata mapanga walipaswa wawakate CCM...
 
Tangia wana-Mtwara waanzishe madai yao hakuna hata kiongozi mmoja wajuu wa serikali aliekwenda kuonana nao au kuongea nao ana kwa ana kuhusu madai yao wala kuwafahamisha sababu zao. Wao ni media tu wanadhani ndio chombo tosha sio kutumia muda wa kutoa elimu huko mtwara.

Ni dhahiri serikali inamadharau na imejaza watu wenye viburi kiasi kwamba suala ambalo linaloweza leta hisia zingine katika sehemu zingine za jamii kutopewa kipa umbele, hawa jamaa wapo very poor with their communicating methods, raisi mwenyewe huyo ufaransa as if it is nothing. Unaanza kuelewa sasa kauli yake ya upepo tu.....
 
Crashwise, mbona kuna watu wamezaliwa Dar wanazeekea Dar na hawajawahi kufaidi mapato ya Bandari? nao waandamane?
Hawajawahi kufaidika kivipi? unaweza kuniambia faida za bandari kwa watu wa dar?...Hivi kwa mfano viwanda kama vingefunguliwa pale Mtwara huoni wananchi wangefaida lakini unapoitoa wananchi unawanyia furusa na kama unawanyiama kufaidia moja kwamoja basi uwaambie kwenye mapato ya gesi 7% ya pato lote litokanalo na gesi litarudi kwenye mkoa na litaendelea kugawanywa mpaka kufika kwenye kata/wilaya inakopatikana gesi..hivyo hivyo kwa mikoa kama shy,mwanza,mara,Arusha,Dar..siyo wahuni wanawaachia machimo unazidi kuneemesha akaunti za kina Riz1,lowasa na wahuni wengine...
 
Mkuu Mchambuzi
Haya maneno kwenye paragraph ya mwisho yana ujumbe tosha!

"When the majority don’t have any hope you are building a volcano. It is bound to erupt one day. Unless these people are fools. Many in these countries are fools, to accept being ruled just like that. To be oppressed just like that when they have the force in numbers, they are fools. So Tanzanians would be fools, ******, if they continued to accept to be oppressed by minority in their own country. Why?"
 
Naishauri Serikali, iagize mustard Gas kama bado hawana na kuliagiza JWTZ wawanyunyizie hao takataka, wabinafsi wakubwa wanaojiita wa kusini wote na kuwaangamiza na kuwatokomeza kabisa ktk uso wa Tanzania, kwanza hawana mchango wowote ktk nchi yetu zaidi ya kutuharibia takwimu tu na ugoigoi wao!
Aisee haya maneno yanasemwa na mtanzania kweli
 
... mmoja inaelezwa hali yake si nzuri anatakiwa kupelekwa muhimbili kwa matibabu zaidi, ...
Gesi ibaki Mtwara, matibabu yafuatwe Dar es Salaam! Kwa nini asitibiwe huko huko?
 
2s14rbm.jpg
33x8mtc.jpg
 
Nimevizia taarifa ya habari ya ITV lakini sijaona hii habari.
Sijui tatizo ni nini?
 
Crashwise, mbona kuna watu wamezaliwa Dar wanazeekea Dar na hawajawahi kufaidi mapato ya Bandari? nao waandamane?

Unasema uongo wa mchana kabisa. fAida ya bandari dar ni kubwa kwa wanaDAr. Ajira na hata kama mwajiriwa ametoka Mtwara akaja Dar but mapato yake ya mwezi yananufaisha DAr. PAye inakuwa DAr. Mambo mengi tu ikiwamo watoto wake kusoma Dar na kulipia fees ambayo hiyo hiyo fee ni faida kwa JIJI. Lakini pia watoto wake kusoma Dar amesababisha ajira kwa walimu. tatizo Maccm vipofu.
 
Naishauri Serikali, iagize mustard Gas kama bado hawana na kuliagiza JWTZ wawanyunyizie hao takataka, wabinafsi wakubwa wanaojiita wa kusini wote na kuwaangamiza na kuwatokomeza kabisa ktk uso wa Tanzania, kwanza hawana mchango wowote ktk nchi yetu zaidi ya kutuharibia takwimu tu na ugoigoi wao!

Zao la Korosho(toka Mtwara na Lindi) kwa mwaka 2011 lilikuwa ni la pili kuliingizia taifa fedha nyingi za kigeni, la kwanza ni kahawa!! No Data, No right to write!!
 
Transition period from Ujamaa to Ubepari unatugharimu sana kama Taifa...Hivi Lameck, Nape na Chichidodo Mnaweza kutufafanulia itikadi ya CCM kwa sasa? au ndo Ukuwadi wa Rasilimali zetu plus Ujangili?...Wananchi tukatae kwa vitendo mikataba na wawekezaji kwa vitendo kuanzia sasa mpaka sera madhubuti za kulinda na kutumia rasilimali zetu kwa manufaa yetu itakapo kuwa tayari...
 
Back
Top Bottom