Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Nenda kaulize mfindi au mafinga kama yale majani(chai) tunatumia sisi watanzania. Nimefanya kazi pale majani(chai) ambayo tunatumia sisi ni yale ya daraja la 3,4 . Daraja la 1,2 yote yana shafirishwa kwenda nje. Kwa hiyo sisi tunabaki na mabaki ya chai

Walipoambiwa huko Mwanza wananchi wanaambulia MAPANKI wakati MINOFU inasafirishwa kwenda Ulaya MKUU WA NCHI alikuwa wa kwanza kukanusha na kuwa mkali kama nyati aliyekoswa risasi ilhal ulikuwa ni ukweli mtupu. Viongozi dhalimu hupenda sana kunyenyekewa na kusifiwa lakini hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, hiyo ndiyo TANZANIA yetu ya sasa.
 
Ni afadhali ukafa ukijua ulikuwa unatetea maslahi ya umma kuliko ukaishi katika lindi la umaskin huku watu wachache wakifaidi matunda ya nchi.Wana mtwara msikubali kuchangia bati jiran wakat nyie mnaishi kwenye nyumba za nyasi.Mtwara kwanza!!!!
 
huu ni mchango niliotoa kwenye sredi ya mwekezaji kwenye mbuga kule serengeti...

"dah hii issue ya huyu mwekezaji inaboa sana, ila inabidi ajue wazi kwamba mikataba yote ya kifisadi kama huu ni lazima tutakuja kuifumua upya muda ukifika. its only a matter of time.. only a matter of time! do you think leo hii mkulu anaweza kuibinafsisha beach yote ya Bagamoyo town na wakwere wasiruhusiwe kuvua wala kupunga upepo katika eneo la ekari 350,000 la beach!!!???

ndo maana nikiangalia jinsi mambo yanavyokwenda nchi hii naona kama ni kukomoana tu. kiongozi asipokuwa na uhusiano wa damu na wananchi kwenye eneo fulani basi anaweza kuingia mkataba wowote wa kuwaumiza hao wananchi bila ya kujali kesho atawajibika kwao. imagine kama alieingia hii mikataba ya kuuza ardhi ya mugumu angekuwa anarudi mugumu kuomba kura ya ubunge ingekuaje!? \

ukiangalia kwa undani kabisa ni kwamba kama eneo lina utajiri wa rasrimali za asili na halina viongozi wazalendo na wanaoipenda jamii yao basi hiyo itageuka kuwa laana badala neema kwa wanajamii husika, kwani watafurumushwa toka hayo maeneo waliyoishi vizazi na vizazi na kuishia kuwa watumwa kwa wawekezaji!!

ukitafakari kwa undani utagundua utawala wa majimbo ndio unaweza kulinda vyema hizi rasrimali tulizojaaliwa na mwenyezi mungu. kama katiba ya majimbo ikiandikwa vizuri ninaamini itaweza kulinda hizi rasrimali zetu na kunufaisha wanajamii husika huku serikali kuu ikiendelea kunufaika na sehemu ya kodi bila ya kuvunja umoja wa kitaifa"
 
Ndugu wana JF heshima kwenu !!

Ukweli unabaki pale pale sababu ya msingi ya kushinikiza ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam ni kuwawezesha mafisadi na viongozi wa chama TWAWALA (CCM) waweze kufisidi ki-ulaini kupitia mradi wa ujenzi. Habari ndo' hiyo, Tafakari !!!!!!!!!!
 
Hizi ni salamu tosha kabisa kwa Serikali ya CCM kuwa wananchi sasa wanajua kujitetea hata kama SERIKALI imeshindwa kuwatetea, wananchi sasa wanajua chema na kibaya na wanajua nini wanataka.........chukulia hali hii na 2015 wakati CCM watakapoiba kura nini kitatokea.

Ukweli watajaribu kufanya as they have been doing and I can sense kind of fire if they will re- try
 
Hizi ni salamu tosha kabisa kwa Serikali ya CCM kuwa wananchi sasa wanajua kujitetea hata kama SERIKALI imeshindwa kuwatetea, wananchi sasa wanajua chema na kibaya na wanajua nini wanataka.........chukulia hali hii na 2015 wakati CCM watakapoiba kura nini kitatokea.

Ukweli watajaribu kufanya as they have been doing and I can sense kind of fire if they will re- try to do so
 
Dingswayo, Unafuraaaaahi,kama vila unangojea picha za Van Dame na Rambo sio? Hizo ni picha za watanzania wakijeruhiwa na pengine nao kujeruhi au kuua na kuuana sio sinema! huo ushabiki wenu unaponza wananchi. Na usifikiri wanaokaa kusini wote ni wamakonde usisahau hilo watakapowaona watu wasio wa Kusini ni kikwazo watawashambulia nini kitafuatia?

Dr Ulimboka,Mwangosi hawa sio Watanzania enhee!acha ushabiki usio na maana.
 
unadhani vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianzia wap?? chukulia mfano nigeria, angola walianzia scenario kama za mtwara
 
Tanzania yahitaji chama pinzani kwa muda kiukweli!
 
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?

Kama unashabikia ni wewe, nani umemuona mwingine anashabikia? Acha generalization, we unafikiri akili zako ndio akili za wengine wote? Kuunga mkono watu kudai haki zao ni kushabikia? Kama wewe unaona gesi ikisafirishwa kwenda dar utanufaika, toa maoni yako na siyo kusema wengine ni washabiki. GAMBA GUMU WEEE!!!
 
unadhani vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianzia wap?? chukulia mfano nigeria, angola walianzia scenario kama za mtwara

Unaogopa vita as if utaishi milele, heri kufa kishujaa ukidai haki yako kuliko kufa kwa malaria. kuna maana gani ya kuishi kama jehanamu hapa duniani ilihali wengine wanaishi kama peponi? Acha UOGA WA KIKE WEWEE!!!
 
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?

Kama unashabikia ni wewe, nani umemuona mwingine anashabikia? Acha generalization, we unafikiri akili zako ndio akili za wengine wote? Kuunga mkono watu kudai haki zao ni kushabikia? Kama wewe unaona gesi ikisafirishwa kwenda dar utanufaika, toa maoni yako na siyo kusema wengine ni washabiki. GAMBA GUMU WEEE!!!
 
Tanesco mnafata? nini ina maana nyie nimaskini hamna hata generator? mpigwe ili mpate akili ya kufanya vitu vya maana

stiff naked fool! Kwa akili yako finyu tanesco ni mali ya nani??
 
Crashwise, mbona kuna watu wamezaliwa Dar wanazeekea Dar na hawajawahi kufaidi mapato ya Bandari? nao waandamane?
Kwani Dar kuna Mzaliwa wa Asili Mjanja? Si ndio maana Nyerere alikuja na Kaptula kutoka Mara na kuwa Rais wao! Na pamoja na hayo,Kuzaliwa Dar,na Kuzeekea bila kufaidi Mapato ya Bandari ni Ujinga wao..Mikoa yote tunakusanya pesa na kuzileta Dar,,,! kwa kuwa ndiko Mafisadi walikoweka Ofisi KUU zote za Serikali! Kwa maana hiyo basi,Hatuendi kulipia Pesa zinazohusiana moja kwa moja na mambo ya Bandari,Mtwara au Lindi..! bali tunalipia hapohapo Dar...! "Wanakusini" nao wanadai kwamba kwa vile GESI inapatikana kwao,basi Uzalishaji wote Ufanyike ilipo Gesi, na Malipo ya Ununuzi yafanyikie hukohuko na sio Dar.na Mapato yanayopatikana ktk mauzo,ndio yaingizwe kwenye Hazina Kuu! na kugawanya kwa nchi nzima! So point yako ya kudai kuna mtu kazaliwa na kuzeekea,Dar bila kufaidi mapato ya Bandari,hayana Mshiko.ni Negative Idea:!!!
 
Last edited by a moderator:
gas kwanza sisem baadae .waliokwisha kula ten pac ya gas imekula kwao
 
tunakujaaa ccm tunataka mjue tunakuja hilo ni wingu2 na ngurumo za radi mvua ya mawe na mafuriko juu ya ukombozi wa mtanzania
 
Back
Top Bottom