Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

Eti na yule kijana wa kwetu naye anashangaa,
mara hii amesahau kuwa waliishi huko magogoni;
 
AFCON hawachagui nchi kutumbuiza ufunguzi. Kwa hiyo NASIB amechaguliwa yeye kama yeye ila kwa kuwa Taifa halina timu inayoshiriki ikabidi wadandie hapo. Hakuna jinsi!
Hata kama Amechaguliwa kama Yeye ni Mtanzania au sio Mtanzania. Je ataitangaza Tanzania au hataitangaza. Wake up. Achenui mambo ya kukarirri zama hizi Ubunifu ndio unatakiwaq. Hapo TANAPA wangejkuwa Sharop nao wangemtumia Huyohuyo Diamonda kujitangaza. Lakini wakifikiria mam=]neno km yenu haya wanarudi nyuma.
 
Mkuu naunga mkono hoja kupewe bendera c tatizo bali 4 what kwan je amekwenda kwa state interest au personal one tuanzie hapo kujenga hoja
 
Bora huku sisi imeenda Uganda Cranes na best African Footballer of the Year ...Denis Onyango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…