unahisi akipewa hiyo bendera kwasababu amepata hiyo nafasi adhimu inamaanisha hawapendi wengine?Waziri wa michezo na wasanii anapaswa kuwapenda wote na kuwa na mikakati endelevu kwa wote.
this is non sense! kutuwakilisha kwa kazi.aliyolipwa aifanye? au anaenda kushindana? kama huna hoja sio lazima uchangie.hakuna anayebeza uwezo wa Nasib kwenye music industry lakini tukio lile ni la fainali za mpira ambao hatuna ushiriki na hatuoni juhudi za waziri ili next years tuweze kushiriki.unataka wote tulizike na hali ya kupewa bendera asiyehusika katika tukio?Bendera anastahili kupewa mtanzania yoyote anafanya vzur kweny tasnia yoyote endapo atapata nafas ya kutuwakilisha. Mtu makin angetoa kwanza sifa za mtu anaestahil kupewa bendera ndipo aanze kukosoa. Kijana anafanya vizuri na ni mtanzania
Aisee sina muda wa kujibishana na watu kama weweili ujue mtu katoa point lazima wewe binafsi uwe na point na ujue maudhui ya mada. RICKY MARTIN MFARANSA Ali perform kwenye fainali za kombe la Dunia na kuachia kibao kinachopendwa mpaka kesho la copa de la vida.lakini hakubeba bendera ya Ufaransa.HAPA KAZI TU. Leta data usiongee tu pumba.
Loading......Nchi ya viwanda!
Nchi ya viwanda!
mkuu siwezi kujibu swali la hisia zako ila ufafanuzi nimetoa kuwa waziri mpaka sasa hatujaona juhudi.za kutufanya tupate uwakilishi wa kimpira AFCON. Hajatafuta mikakati ya kupata kocha au Academy za mpira.mbona afrika.magharibi/Mzee kipingu wanafanya hayo? binafsi sina tatizo na nasibu kwenye music industry by the wayunahisi akipewa hiyo bendera kwasababu amepata hiyo nafasi adhimu inamaanisha hawapendi wengine?
je, diamond kupewa hiyo bendera kunazuia vipi hiyo mikakati endelevu?
Huna akili ww ulitaka atengewe bajet na wizara ndo useme anawakilisha tz? Na hao wanamichezo mingine kwa hoja yako unamaanisha hawalipwi? Mtanzania yoyote anafanya jambo jema anapaswa kupewa benderathis is non sense! kutuwakilisha kwa kazi.aliyolipwa aifanye? au anaenda kushindana? kama huna hoja sio lazima uchangie.hakuna anayebeza uwezo wa Nasib kwenye music industry lakini tukio lile ni la fainali za mpira ambao hatuna ushiriki na hatuoni juhudi za waziri ili next years tuweze kushiriki.unataka wote tulizike na hali ya kupewa bendera asiyehusika katika tukio?
Awamu hii mkuu katiba sio muhimu.tunaenda free style ni mwendo wa MATAMKO.mimi nimetoa changamoto kwa waziri.sina mawazo finyu ya kumushusha hadhi MONDIkwani sheria/katiba imemtaja nani anastaili kupewa bendera ya Taifa na kwa tukio lipi analoenda kushiriki?hacheni majungu
Naona upeo wako wa akili umefikia hapo kwenye povu la hoja za kichovu! poleHuna akili ww ulitaka atengewe bajet na wizara ndo useme anawakilisha tz? Na hao wanamichezo mingine kwa hoja yako unamaanisha hawalipwi? Mtanzania yoyote anafanya jambo jema anapaswa kupewa bendera
Kwani dimond hayupo chini ya wizara ya Nape? Je si mafanikio kwenda nje au kuiwakilisha nchi? Kwann ss ndo tuige wengine wafanyavyo na si wao watuige sisi? Big up Nape.... si lazima football,,,, sanaa pana sana, na ya muziki inatumia akili zaidi. Na mimi ni mtazamo tu.Nawasalimu wakuu,
Katika pitapita yangu leo nimeona picha Waziri NAPE akikabidhi bendela kwa ndugu yetu Diamond ambaye amepata kandarasi ya kutumbuiza kwenye Uzinduzi wa mashindano ya mpira ya AFCON.
Hivi uwakilishi tunaoutaka kama taifa ni wa Mwenzetu mmoja kutumbuiza kwa mda wa saa moja au tunahitaji timu bora itakayoshiriki kwenye medani hizo?
Waziri amefanya jitihada zipi kwamba tunapata uwakilishi wa kushiriki soka huko toka akalie kiti? pia nchi zingine zinafanya kama alichokifanya NAPE?
Ni mtizamo wangu kwamba we should aim higher, i stand to be corrected please.
nimewapa mfano Ricky Martin mfaransa aliimba la copa dela vida hakuwa na bendera kombe la Dunia.tunaonda matukio ya ngumi.wanaotumbuiza hawana bendera za nchi zao.sisi tunapenda kuunga ungaLakini mbona wasanii wakubwa wa mataifa kama Marekani n.k huwa hawapewi bendera za mataifa yao yaani kuwakilisha mataifa yao hata kwenye big event au hapa tanzania bendera ya taifa tunaitafisiri vipi???
Sawa Kabisa. Na itamvulike kuwa Diamond anaitangaza nchi kuoitia kaxi yake.kwani kampa akacheze mpira?
bendera ni bendera tu!
iwe ya michezo au burudani.
ndio mjifunze kuwa diamond ndio icon ya Taifa
kakabidhiwa bendera iwe fundisho kwa Taifa stars, kuwa wajitambue
maana bendera ya michezo wamepewa burudani ,kumanisha Taifa stars ni sikio LA Kufa.... ujumbe wao nadhani wameupata kiutu uzima.
poa kupitia comments zako nimejifunza kitu!mkuu siwezi kujibu swali la hisia zako ila ufafanuzi nimetoa kuwa waziri mpaka sasa hatujaona juhudi.za kutufanya tupate uwakilishi wa kimpira AFCON. Hajatafuta mikakati ya kupata kocha au Academy za mpira.mbona afrika.magharibi/Mzee kipingu wanafanya hayo? binafsi sina tatizo na nasibu kwenye music industry by the way