Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Mimi cjui english ebu andika correctly tukucheck kama unasema kiingereza chenyewe maake hata Beckham aliandika On behalf of myself....
 
Magufuli yuko sahihi kabisa sababu kaandika Tanzanian English...siyo lazima english ya tz iwe kama ya america au england,mbona nigeria wana english yao hata uganda pia..
Hiyo ndio inasikia kwako
 
akiri ndogo inahangaika na watu na akiri kubwa inahangaika na vitu
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
 
Kama kuandika broken English katika mitandao ya jamiini aibu basi pia kuandika broken lugha yoyote ile ni aibu. Kama kuongea broken kiingeeza ni aibu basi kuongea broken lugha nyingine yoyote ni aibu pia. Masikikini watanzania, tumefika hapa tulipo kwa tabia hii hii ya kuchekana kwenye matumizi ya lugha. Kwingine kote ulimwenguni mtu anayekosea anapotumia lugha ngeni hachekwi wala kukashifiwa. Marais wangapi wameongea Kiswahili kibovu na hawajachekwa huko makwao? Mbona hatumcheki Uhuru Kenyatta akikosea kuongea Kiswahili. Inferiority complex ndicho kitu tumilikacho ndani ya nafsi zetu. Hivi wangapi humu tunaandika watu kadhaa wameweza kuumia katika ajali? Watu wangapi humu tunasema vizuri Zaidi, watu wangapi humu tunaandika hilikuwa, himetokea, asari, marazi wakati tu waswahili? Tukifikiri lugha ndio utendaji basi ndio maan tutaendelea kuogopa kuchangamkia fursa na tutaendelea kuwaogopa wakenya na waganda. English is not one but many, you can craft your own english if you wish, the crucial thing is communication, and that, is what a language for.
 
Usichukie nachosema kama hujui namaanisha nini
 
me nnahamini haya yote ni matunda ya uongozi wa awam ya 4 kwani urais uligeuzwa km ujumbe wa nyumba 10 ndio maana leo watu mnadiliki kumkejeli rais ila wewe uliyepost jua vitu vichache,,ukitoa kuwa rais wako bal pia na mzazi wako,,je babaako hakosei na akikosea unamkosoa mbele za watu?kuwa na heshima kwa viongozi na wakubwa,,hata ajue kiingereza au hasijue,,tulimchagua na tutamchagua kwani anatoa suluhu ya matatizo yetu tena kwa wkt,,,huyo mtu wenu anayejua kiingereza yupo wapi???hacheni watu wafanye kazi!!!
Waambie wanadhani kwa kumkosoa sana presdaa wanadhani 2020 watapet. Kwa taarifa yao hatudanganyiki. NI JPM
 
Hawajakataa mkuu. Ila huoni kama ni bora akitumia lugha anayoielewa zaidi kama sio lazima kutumia kiingereza?
Aandike tu kwa kiswahili watatafsiri wenyewe kwa kutumia google

Katika kujifunza kukosea hakuepukiki, nani aliyesema alie IKULU asikosee. Kwa nini atumie Kiswahili nayeye anajifunza kiingereza, kujifunza kwani kunakwisha lini? Wangapi mnatumia Kiswahili chenu lakini bado mnaandika 'broken'
 
soma signature yngu
 
Sengelema + 4/1= utumwa. Fidel Castro alikuwa hakishobokei kiingereza unachoonekana kukipenda wewe. hivi unaweza kuamini kuna wamarekani hawajui kutumia kompyuta na hata smartphones?makosa kama hayo kwenye tweets za Magu hayawezi kubadili uhalisia wake...na hapa duniani wataalam wa saikolojia wanaamini kuwa"ni ujinga kulazimisha watu wawe marafiki zako zaidi wao wanatakiwa wautafute urafiki kwako kutokana na sifa njema ulizonazo".swali tweet ya magu na ya trump juu ya kifo cha Castro ipi yenye ukakasi? ..

KM KIINGEREZA NI UTUMWA, BASI MASOMO YOTE KUANZIA FORM 2 - UNIVERSITY UNGETUMIA KISWAHILI.

LUGHA AMBAYO INAWAUNGANISHA WATU ULIMWENGU NI ENGLISH. POPOTE PALE UTAKAPOENDA HATA KM NI WAPI, KIINGEREZA NDIYO MWAROBAINI WAKO

Tweet ya Mukulu ndiyo inaukakasi, Taifa la Marekani na Cuba wanajuana, washekuwa na bifu kwahiyo usishangae Trump alivyojibu. Kingine Trump ni lugha yake, huyu mwingine kaikuta shule tu.
CUBA WENYEWE JAPO WANATUMIA LUGHA YAO LKN KIINGEREZA PIA KINATUMIKA

SWALI KWAKO
KWANI NI LAZIMA A TWEET?
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130

Can you say on behalf of myself?
This question deals with a number of grammar issues. First, although you often see and hear the phrase “on behalf of myself,” it is a grammar error. “Of” is a preposition; it must always be followed by an objective pronoun. This means you can only say “on behalf of me.”
Also there is a rule that you shouldn't mention yourself before "the whole team",
It is good to say on “behalf my country and I” or for that case “on behalf of my country Tanzania and me or I”
Second, it has always been considered poor etiquette to put “me” or “I” before the other person or group. Parents are always telling their children never to say, “Me and Susan went to the store.” The same thing applies here. It should be “on behalf of the group (country) and me.”
Now let’s get down to the thought process surrounding the phrase. “Behalf” comes from “bi-halve” meaning “on the part of.”
If you say, “On behalf of the group and me, I would like to thank you for …” it emphasizes that you are part of the group and that you agree wholeheartedly with the consensus. It is fine to use it this way.
“On behalf of the group, I would like to thank you for ….” It is much cleaner. The underlying assumption is that you are part of the group.
These are examples for the case of condolences:
1. On behalf of all Americans, Michelle and I send our deepest condolences to Professor Maathai’s family and the people of Kenya at this difficult time
2. On behalf of the people of the United Kingdom, Prince Philip and I wish to convey to your family and to the people of the Kingdom of Tonga our deepest sympathy at this sad time.
 
soma signature yngu

Angalau umeishiwa hoja sasa wakimbilia vioja. Jadili ishu, kama kuandika broken ni tatizo zungumzia impact yake kwa Tanzania, kwa watanzania, sio unamjadili mtu. Impact yake ni aibu kwa taifa sio? Mimi nimekujibu ishu, kama una uwezo wa kujadili ishu ijadili, kama huna endelea na majungu yako.
 
Ujuzi kama huu wapi waupate?
 
Back
Top Bottom