Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mkuu haujanielewa. Kiswahili ni kigumu aise, km kiswahili umetoka kapa, je, kiingereza?
Nachozungumzia ni kwamba, atafute watu wanaojua ili kabla yy hajatweet, wanamsahihisha kwanza ndiyo anatweet.

Ngoja na mimi nikueleweshe nilichomaanisha mkuu, nimemaanisha hivi; hao atakaowaajili kwa kazi hiyo hawataweza kumsahihisha kwa sababu za woga, unajua kama jamaa hataki kukosolewa? Na ukimkosoa kosoa jiandae kutumbuliwa.

Kwa hiyo mwisho wa siku unamwacha anatuma kitu ataangalia feedback kwenye mitandao ndo atakaporudi kuuliza angefanyaje.
 
Unafikiri Cuba wanaongea Kiingereza hawataki hata kukisikia CUBA walitawaliwa na Wahispania hivyo wanaongea Spanish na fahamu kuwa umahili katika lugha ya mtawala si kuendelea au kuwa bora bali kuwa na uwezowa kuzalisha ndio njia pekee ya kupata maendeleo yakweli ya Nchi na si kujifunza lugha za walioendelea, kuna kitu tunashindwa kukielewa ni lazima tujue tunataka nini kama taifa na tutakipataje ili tuweze kupata maendeleo ya kweli, kwangu mimi kiingereza sio kitu cha muhimu sana kwa nchi yetu, tunahitaji kuwa na ELIMU itakayo chochea uwezo wa kufikiri na ubunifu wa kutatua changamoto za kijamii na siokujua kiingereza na kuonekana kama mzungu kwa mawazo hayo uliyo nayo ndugu nchi yetu haitapata maendeleo kamwe TUBADILIKE TUJUE TUNAHITAJI NININ HASA.

Siyo utwana mkuu. Km ungekuwa utwana basi masomo yote yangefundishwa kiswahili.
Unapokuwa mtu mkubwa km raisi unatakiwa uwe umekamilika kwenye kila sector inayohusu taifa lako.

KUMBUKA TUPO KWENYE 21st CENTURY sasa km mambo unayapekeka ili mradi tutafika wapi?

HAYA TUKUPELEKE CUBA, UNAFIKIRI UTAZUNGUMZA LUGHA GANI NA WANACUBA? TAZAMA MAMBO KWA JICHO LA 3, ITAKUSAIDIA SANA.
 
Ngoja na mimi nikueleweshe nilichomaanisha mkuu, nimemaanisha hivi; hao atakaowaajili kwa kazi hiyo hawataweza kumsahihisha kwa sababu za woga, unajua kama jamaa hataki kukosolewa? Na ukimkosoa kosoa jiandae kutumbuliwa.

Kwa hiyo mwisho wa siku unamwacha anatuma kitu ataangalia feedback kwenye mitandao ndo atakaporudi kuuliza angefanyaje.
Unajua mukulu wetu ana kale ka uasili wa usukuma wale original. Acha hawa wa dot com

Wasukuma huwa wanatabia ya ubishi , mabavu na hawapendi kukosolewa. Wao wakishaamua mambo ndivyo itakavyokuwa halafu huwa hawaoni tabu kupigana. Na kitu kingine huwa hawaoni tabu kumsema mtu hadharanu hata km yupo na pia huwa hawajali, hata umsemaje yy hajali. Yupo busy na mambo yake
Mukulu inabid akubali tu kuwa hajui na pia awe tayari kujifunza
 
Hahahaaaaaa kumbe mambo yalikuwa hivi?
Nimecheka sana.
 
Unajua mukulu wetu ana kale ka uasili wa usukuma wale original. Acha hawa wa dot com

Wasukuma huwa wanatabia ya ubishi , mabavu na hawapendi kukosolewa. Wao wakishaamua mambo ndivyo itakavyokuwa halafu huwa hawaoni tabu kupigana. Na kitu kingine huwa hawaoni tabu kumsema mtu hadharanu hata km yupo na pia huwa hawajali, hata umsemaje yy hajali. Yupo busy na mambo yake
Mukulu inabid akubali tu kuwa hajui na pia awe tayari kujifunza

Nani atamvalisha paka kengele?

Kwenye hao washauri wake ajitolee kusema mukulu umekosea?
 
Unafikiri Cuba wanaongea Kiingereza hawataki hata kukisikia CUBA walitawaliwa na Wahispania hivyo wanaongea Spanish na fahamu kuwa umahili katika lugha ya mtawala si kuendelea au kuwa bora bali kuwa na uwezowa kuzalisha ndio njia pekee ya kupata maendeleo yakweli ya Nchi na si kujifunza lugha za walioendelea, kuna kitu tunashindwa kukielewa ni lazima tujue tunataka nini kama taifa na tutakipataje ili tuweze kupata maendeleo ya kweli, kwangu mimi kiingereza sio kitu cha muhimu sana kwa nchi yetu, tunahitaji kuwa na ELIMU itakayo chochea uwezo wa kufikiri na ubunifu wa kutatua changamoto za kijamii na siokujua kiingereza na kuonekana kama mzungu kwa mawazo hayo uliyo nayo ndugu nchi yetu haitapata maendeleo kamwe TUBADILIKE TUJUE TUNAHITAJI NININ HASA.
Uliyoyasema ni kweli ila lugha inanafasi yake ktk jamii.
PASIPO LUGHA HAKUNA MAENDELEO ULIMWENGU KOTE.
Kwa nchi km tz bado hatuzalishi bali niwategemezi na km tukifikia hatua ya kuzalisha, lugha ya kiingereza huwezi kuipiga teke.

Kiingereza ina nafasi yake kubwa tu, tz tunapokea wageni wa kila aina sasa unafikiri ni lugha gani itatumika?
Cuba wanatumia kihispania lkn kiingereza nacho kipo nyuma.

NCHI NYING DUNIANI HUWA WANA NATIONAL LANGUAGE NA OFFICIAL LANGUAGE.

Ss hapa national language ni kiswahili na official ni English na zote zina umuhimu wake.
Ushajiuliza kwann Mukulu aku tweet kwa lugha ya kiswahili?

KWA ULIMWENGU WA SASA UZALISHAJI UNAENDA SAMBAMBA NA LUGHA YA KIINGEREZA
 
Tatizo ukawa sana,hio nilugha tu wewe mtoa habari kukosea kupo tu mbona marais wengi hawajui kabisa hio lugha na wananchi wao hawafatilii iweje Ww kutafuta makosa ya mtu,mh.Magufuri pia ni mtu siokwamba yy anajua kila kitu,tumuone kama mtu pia ambae anamadhaifu yake yy sio malaika kama unavyomuangalia akilini kwako,hio lugha tu hata kiswahili kinamichapio kibao ikawe lugha ya kujifunza????
Kuna nchi nyingi maraisi wake hawajui kiingereza lkn wanautaratibu wao. Kunakuwepo na jopo linahusika na masuala ya lugha.
Mfano.
Km ww ndiyo raisi halafu obama kaja au raisi wa china unafikiri utazungumza lugha gani?
Hii ni karne ya 21 kwahiyo ule msemo wa kuwa kiongozi lazima ujue kusoma na kuandika haupo, tunataka uwe unajua angalia lugha moja ya kimataifa kwa ufasaha.
Kwa issue km hii uandike kiswahili nani atasoma?
LUGHA YA KIINGEREZA HAIKWEPEKI TU HATA UFANYE NINI NA SIYO UTUMWA NI MFUMO WA ULIMWENGUNI KOTE.

KUKOSEA SIYO TATIZO ILA YY HAJUI. HII NI SAFARI YA PILI
 
Daaah nimecheka sana, wamwambie kukurupuka tuu ka bro k wa futuhi hahahahaaaa
 
Magufuli hajui Kiingereza na hilo halina ubishi ila nina wasiwasi kama hii akaunti ya Twitter huwa yeye ndiye mwandishi. Hii itakuwa inaandikwa na Msigwa au mtu mwingine sababu simuoni Magufuli akikaa na kuanza kutupia mambo humo kwa sababu ya wingi wa hekaheka za kazi yake.

Lakini vyovyote vile iwavyo ni kweli kuna ushamba mwingi sana
Anajua kingereza vizuri kabisa, kama ww unaelewa kingereza kwa ufasaha huwezi kusema hajui kingereza, mm ninachojua grammar ndo huwa tatizo kwa watu wengi, na anyejua kingereza kwa ufasaha lazima awe kaisoma lugha kwa ufasaha.
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Wote mtakaoamini kama hii ni tweet ya Mh.Rais mnahitaji ukombozi wa fikra na akili.
 
Najihisi aibu mimiii....!kama nimeshusha mimi hiyo mistar yaani daah aibu....
 
Najihisi aibu mimiii....!kama nimeshusha mimi hiyo mistar yaani daah aibu....
 
Back
Top Bottom