EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,112
Webster's 3rd New International Dictionary says behalf is "used with in or on and with a possessive noun or pronoun." That means "behalf" is always the target of a possessive. The object in each case is the object of the preposition in or on, which means you would use the prepositional case for pronouns (you would never say "On behalf of my wife and I"). You would also use "myself" as the target.
If you were talking about your wife ("On behalf of my wife and myself"), you would continue on in the first person plural: "On behalf of my wife and myself, we would like to thank ..."
😀😀! KWANZA KABISA KASOME MAELEZO YANGU [HASHTAG]#281[/HASHTAG] NA [HASHTAG]#289[/HASHTAG] HALAFU ANAGALIA ULICHOLETA WEWE HAPA.
KUANDIKA "ON BEHALF OF MYSELF AND PEOPLE OF TANZANIA..." GRAMMATICALLY SIYO SAWA LAKINI SIJASEMA WATU HAWAAANDIKI HIVYO WAPO WENGI TU KAMA ULIVYOM M-QUOTE DAVID BECKHAM.
ILA ANGESEMA "ON BEHALF OF PEOPLE OF TANZANIA AND MYSELF..." KAMA MAELEZO YAKO HAPO JUU ANGEKUWA SAWA KABISA SABABU NI REFLEXIVE SENTENCE.
AU ANGEANDIKA "ON MY BEHALF AND PEOPLE OF ..." ANGEKUWA SAHIHI SABABU AMETUMIA A POSSESSIVE PRONOUN AS AN ADJECTIVE.
NA HAPA NI MWISHO SITAJIBU TENA HOJA ZAKO SABABU SIONI CHOCHOTE NACH-GAIN KWAKO ZAIDI YA KUPOTEZA MUDA WANGU. SIKUJUI, SIJUI UWEZO WAKO WA KINGEREZA, SIJUI UTAYARI WAKO WA KUJIFUNZA, HIVYO NAWEZA KUWA NAPOTEZA MUDA WANGU TU.
PEACE AND BE BLESSED.