Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Wanaomshauri wamwambie a tweet kwa kiswahili tu' kama ambavyo anahutubia kwa kiswahili wageni wa kimataifa wanapomtembelea.
 
Ninaamini si akaunti yake na ninaamini pia ana uwezo na kuzungu kuliko wewe
 
Kabisa... Na hata channel nyingine huwa anabadilisha mwenyewe.

Sii kweli rais, Magufuli Kiingereza, hakipandi, Kiingereza kinapanda sana, na ushahidi ni hata mechi ya jana ya Taifa Stars, aliangalia kupitia Super Sport, hivyo hoja kuwa Kiingereza hakipandi sio kweli
P
 
Ningekuwa Rais, mngenishangaa kuliko Rais mnaembeza kila anapoandika kitu kwa kizungu.

Kwanza ningefuta mafunzo kwa lugha yyt kiswahili kingekuwa lugha kuu

Ningeweka usalama wa Taifa, wawakamate wanaongea lugha za wenzetu.

Ningekifanya kiswahili lugha yenye thamani kubwa. Mngeshaa nisingeongea lugha yyt. Lazima mlete translator kila nchi nitakapoenda.

Mataifa niliyokwensa Mimi ..Lugha za nchi nyingine hazikuwa na nafasi katika tamaduni zao. Lugha teule zilifundishwa, walah kizungu kingebaki kuwa lugha ya kuongea tu lugha Kama lugha, kisingepata nafasi nchi mwangu

Madhara ya kuthamini lugha za watu
1 utamaduni wetu unakosa stamina
2. Watoto wanakuwa watumwa na kuacha urithi wa kitumwa kwa viizazbna vizaz
3. Viwanda havitakuwa.
4. Tutashindwa kuwa wabunifu
5. Tutadumaza thaman yetu na utalii
Tutakuwa wafuata upepo
6. Magonjwa ya kisasa mengi yao ni kwa sabb ya utamuduni wa watu.

Angalia maeneo yanayokuzwa na lugha
1. Mila na destuli zetu za makabila
2. Vyakula vyetu. Kuja kwetu, Kuna kimboya, kibuu, makoko na baada, vyakula vyote hivi vinathamani na Kinga mwilini

Nawasilisha
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Mi nashauri awe anaandika kwa kiswahili anaetaka kuelewa atatafuta mkalimani wake.
 
Sii kweli rais, Magufuli Kiingereza, hakipandi, Kiingereza kinapanda sana, na ushahidi ni hata mechi ya jana ya Taifa Stars, aliangalia kupitia Super Sport, hivyo hoja kuwa Kiingereza hakipandi sio kweli
P
Kwa iyo kuangalia mechi kupitia supersport ndio kingereza kinapanda????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli hajui Kiingereza na hilo halina ubishi ila nina wasiwasi kama hii akaunti ya Twitter huwa yeye ndiye mwandishi. Hii itakuwa inaandikwa na Msigwa au mtu mwingine sababu simuoni Magufuli akikaa na kuanza kutupia mambo humo kwa sababu ya wingi wa hekaheka za kazi yake.

Lakini vyovyote vile iwavyo ni kweli kuna ushamba mwingi sana
unapokuwa hujui jambo huwezi kuchagua mshauri mbumbu, Msigwa ni mtu mwenye uelewa mdogo sana wa mambo, kuwa mwandishi/msemaji wa rais ni aibu.
Huyu tangu akiwa tbc utaoji wake wa habari ulikuwa chini ya kiwango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona marais wa nchi nyingi duniani tena nchizilizoendelea hawajui iyo lugha. alafu sisi uku mtu asipo ongea iyo lugha anaonekana hamna kitu. Ama kwahakika mleta mada unanishangaza, tena unawezakuta una elimu ya shahada au zaidi. Warusi, Wachina, Wajerumani wafaransa wakuuwao hawaongei iyo lugha. sasa uki kwetu ikikosewa sentensi basi ni mjadala mwaka mzima.

Apa ndipo ninapo pata picha waajiri wanaposema wasomiwetu hawakidhi vigezo vya ajira. Unaweza kuta mleta mada ni mtumzima na ana familia lakini analo waza nikutafuta fulani kukosea wapi ili mpate kiki. Ebu tufanye kazi majungu hayajengi.
Wewe umeajuaje kama hawajui hiyo lugha ?
 
Ningekuwa Rais, mngenishangaa kuliko Rais mnaembeza kila anapoandika kitu kwa kizungu.

Kwanza ningefuta mafunzo kwa lugha yyt kiswahili kingekuwa lugha kuu

Ningeweka usalama wa Taifa, wawakamate wanaongea lugha za wenzetu.

Ningekifanya kiswahili lugha yenye thamani kubwa. Mngeshaa nisingeongea lugha yyt. Lazima mlete translator kila nchi nitakapoenda.

Mataifa niliyokwensa Mimi ..Lugha za nchi nyingine hazikuwa na nafasi katika tamaduni zao. Lugha teule zilifundishwa, walah kizungu kingebaki kuwa lugha ya kuongea tu lugha Kama lugha, kisingepata nafasi nchi mwangu

Madhara ya kuthamini lugha za watu
1 utamaduni wetu unakosa stamina
2. Watoto wanakuwa watumwa na kuacha urithi wa kitumwa kwa viizazbna vizaz
3. Viwanda havitakuwa.
4. Tutashindwa kuwa wabunifu
5. Tutadumaza thaman yetu na utalii
Tutakuwa wafuata upepo
6. Magonjwa ya kisasa mengi yao ni kwa sabb ya utamuduni wa watu.

Angalia maeneo yanayokuzwa na lugha
1. Mila na destuli zetu za makabila
2. Vyakula vyetu. Kuja kwetu, Kuna kimboya, kibuu, makoko na baada, vyakula vyote hivi vinathamani na Kinga mwilini

Nawasilisha
Katika mazingira ya sasa mila na desturi bado vina nafasi? Baba ni msukuma na mama ni mchaga wanazaa mtoto anaenda kuoa binti ambaye baba yake ni mmakonde na mama yake mbondei, mtoto atakayezaliwa anachukua mila za kabila gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Sii kweli rais, Magufuli Kiingereza, hakipandi, Kiingereza kinapanda sana, na ushahidi ni hata mechi ya jana ya Taifa Stars, aliangalia kupitia Super Sport, hivyo hoja kuwa Kiingereza hakipandi sio kweli
P
Mwanangu anaangalia filamu za kitoto (Catoons) kwa lugha ya kiarabu lakini hafahamu kiarabu..
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Hii sio " broken English" tu bali hata kwa kiswahili huwezi kujitambulisha au kujiwakilisha hivyo..!!

"kwa niaba yangu mwenyewe"😂🤣😂
 
Back
Top Bottom