Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Angalau umeishiwa hoja sasa wakimbilia vioja. Jadili ishu, kama kuandika broken ni tatizo zungumzia impact yake kwa Tanzania, kwa watanzania, sio unamjadili mtu. Impact yake ni aibu kwa taifa sio? Mimi nimekujibu ishu, kama una uwezo wa kujadili ishu ijadili, kama huna endelea na majungu yako.
Mfuraishe Mfalme siku ya mwisho utaenda kunywa nae mvinyo.........na makos nay unatetea,,,,,,,,dead brain
 
Ndugu hakuna chembe ya aibu kubofoa lugha isio yako kwani wewe unaona aibu kutojua lugha ya wakoloni acha uboya ndugu fikiri huru hiyo ni lugha tu haina uhusiano na uwezo wa uelewa wa mtu angekuwa hajui Kiswahili labda ningeshangaa mbona wazungu wakikosea Kiswahili hamuoni kitu cha ajabu ??????

AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
 
Mfuraishe Mfalme siku ya mwisho utaenda kunywa nae mvinyo.........na makos nay unatetea,,,,,,,,dead brain

Ok, nimekuelewa dead brain hupatikana baada ya kuandika broken English kama ya Mourinho, Pellegrin na watu wengine wengi ambao wana dead brain duniani kwa vile wana broken English. Asante sana kwa maarifa yako.Hii ndio faida ya kufanya majadiliano na watu walioenda shule, lazima utapata kitu kipya kizuri cha kuongezea. Asante sana
 
Mkuu haujanielewa. Kiswahili ni kigumu aise, km kiswahili umetoka kapa, je, kiingereza?
Nachozungumzia ni kwamba, atafute watu wanaojua ili kabla yy hajatweet, wanamsahihisha kwanza ndiyo anatweet.
Hakuna haja ndugu bora ujumbe umefika inatosha tusiwe watwana wa kiwango cha lami...
 
Kwa wenzetu uraisi ni taasisi ndiyo maana trump alizuiliwa kutumia baadhi ya vitu vyake na kuwasiliana na baadhi ya watu kwenye simu.
Sisi huku uraisi ni wa mtu mmoja.
Hii ni lugha tu km lugha zingine ila cha msingi, ateue watu wanaojua zaid ili kurekebisha haya mambo.
IT IS VERY INTERESTING

Iyelele mama, iyelele mama eeh (×2)
Kale kasuti kangu ka zawadi alikonipa kaka
wa Dar-Es-Salaam
Ndio katanipa umaridadi ukumbini kote
watanifahamu Naomba uipige pasi mke wangu ila chunga
usiunguze
Nina kikao na wazungu mama inatakiwa
nipendeze
Ona ulivyokosa haya unanifanya mtoto
mdogo Umekalia umalaya sema unakwenda nyumba
ndogo
Utaongea nini na wazungu wakati hujui
kiingereza?
Umesahau mke wangu mbona nikilewa
naweza Tena kata fujo piga pasi naomba uniharakizie
pombe
Nikilewa mapema itakuwa safi ili nikifika
nikikoroge Kiingereza (mama wee) nikilewa naweza
Kiingereza (eeee) ni rahisi usijali mke wangu
Kiingereza ngoja nilewe nitakuonyesha
Kiingereza usijali ni rahisi utaona
ninavyoongea
Kingereza… Kiingereza chenyewe mpaka ulewe aibu
mume wangu
Kwanza siendi na wewe nakwenda
mwenyewe wala usijipe tabu (wewee)
Usiposema ukweli cassette kako nitakaloweka
Unaeleza nzuri naona unataka talaka Utakua unanionea na unatumia mfumo dume
Sio kama nakuonea nawe tumia mfumo jike
Kwani humu ndani mwanaume nani naomba
nikuulize
Kwani humu ndani mwanamke nani naomba
unielezee (ah ah) Sitaki kubishana na wewe weka moto
kwenye pasi
Pombe nitafuata mwenyewe naona ushaanza
nuksi Kiingereza (mama wee) nikilewa naweza
Kiingereza (eeee) ni rahisi usijali mke wangu
Kiingereza ngoja nilewe nitakuonyesha
Kiingereza usijali ni rahisi utaona
ninavyoongea
Kiingereza… Kingereza (x5)
Ahma wee, Ahma wee, Ahma weeee(x4)
yeleleee…yeyeyeyeyeyeye….
Kiingereza.

Labda alikuwa hajapata hako ka kinywaji! Hahahahaaa
 
Hakuna kosa lolote mtu anapoandika , ON MY BEHALF,

Tatizo wabongo tunachanganya kiswahili na kiingereza, tunataka sentensi ya kiingereza iwe ina sound kama ya kiswahili.
 
Afu hata akibofoa mbona sioni shida wazungu mbona wanabofoa Kiswahilina hatuoni shida huyu mtwana amekula maharage ya wapi....!!!!!????

Hakuna kosa lolote mtu anapoandika , ON MY BEHALF,

Tatizo wabongo tunachanganya kiswahili na kiingereza, tunataka sentensi ya kiingereza iwe ina sound kama ya kiswahili.
 
Mbona marais wa nchi nyingi duniani tena nchizilizoendelea hawajui iyo lugha. alafu sisi uku mtu asipo ongea iyo lugha anaonekana hamna kitu. Ama kwahakika mleta mada unanishangaza, tena unawezakuta una elimu ya shahada au zaidi. Warusi, Wachina, Wajerumani wafaransa wakuuwao hawaongei iyo lugha. sasa uki kwetu ikikosewa sentensi basi ni mjadala mwaka mzima.

Apa ndipo ninapo pata picha waajiri wanaposema wasomiwetu hawakidhi vigezo vya ajira. Unaweza kuta mleta mada ni mtumzima na ana familia lakini analo waza nikutafuta fulani kukosea wapi ili mpate kiki. Ebu tufanye kazi majungu hayajengi.
Kama nchi ulizozitaja wanazungumza lugha zao kwanini na yeye asitumie kiswahili? Halafu wa Cuba watafute mkalimani, naenda kuchukua bisi nikirud natumai nitakuta umenijibu.
 
Mbona hutoi majibu ya hzi video?
Na wao walikosea? Basi wabeze kama ulivobeza. Au ufute huu uzi.

Mazee umewafumania watakujibuje? Hata kuchutama wameshindewa sembuse kukujibu. Kuna msemo unatumika mtaani, utasikia mtu na sema, "mimi kama mimi...." Nauchukulia unafanana na "on behalf of myself" Lugha ni chombo cha mawasiliano, unaweza kutumia maneno au vitendo na ukaeleweka unamaanisha nini. Unaweza ukatingisha bega tuu na watu wakakuekewa. Si lazima kuwa professor of English literature, kuweza kuandika tweet na kueleweka. Ukianza kufikiria vimakosa vya uandishi mitandaoni wakati dunia inaanza kuunganisha lugha zote kwa kutumia emoji, utachekwa.

[emoji115] [emoji108] [emoji112]
 
Nashauri wanafunzi wote waliosoma science wakienda JKT wakafundishwe pamoja na mafunzo ya kijeshi na somo la kiingereza liwepo
 
Khaaaa.... !!!!! Kwani tunataka kuwa Waingereza?????
Nashauri wanafunzi wote waliosoma science wakienda JKT wakafundishwe pamoja na mafunzo ya kijeshi na somo la kiingereza liwepo
 
Nimechoka kushauri tena juu ya BBC ya Rais Magufuli....na sitaki tena kusikia au kusoma any comment au speech yake ya BBC maana ninahisi hata aibu.
 
KM KIINGEREZA NI UTUMWA, BASI MASOMO YOTE KUANZIA FORM 2 - UNIVERSITY UNGETUMIA KISWAHILI.

LUGHA AMBAYO INAWAUNGANISHA WATU ULIMWENGU NI ENGLISH. POPOTE PALE UTAKAPOENDA HATA KM NI WAPI, KIINGEREZA NDIYO MWAROBAINI WAKO

Tweet ya Mukulu ndiyo inaukakasi, Taifa la Marekani na Cuba wanajuana, washekuwa na bifu kwahiyo usishangae Trump alivyojibu. Kingine Trump ni lugha yake, huyu mwingine kaikuta shule tu.
CUBA WENYEWE JAPO WANATUMIA LUGHA YAO LKN KIINGEREZA PIA KINATUMIKA

SWALI KWAKO
KWANI NI LAZIMA A TWEET?
Hahahahaha basi bwana..
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Tatizo ukawa sana,hio nilugha tu wewe mtoa habari kukosea kupo tu mbona marais wengi hawajui kabisa hio lugha na wananchi wao hawafatilii iweje Ww kutafuta makosa ya mtu,mh.Magufuri pia ni mtu siokwamba yy anajua kila kitu,tumuone kama mtu pia ambae anamadhaifu yake yy sio malaika kama unavyomuangalia akilini kwako,hio lugha tu hata kiswahili kinamichapio kibao ikawe lugha ya kujifunza????
 
Hakuna haja ndugu bora ujumbe umefika inatosha tusiwe watwana wa kiwango cha lami...
Siyo utwana mkuu. Km ungekuwa utwana basi masomo yote yangefundishwa kiswahili.
Unapokuwa mtu mkubwa km raisi unatakiwa uwe umekamilika kwenye kila sector inayohusu taifa lako.

KUMBUKA TUPO KWENYE 21st CENTURY sasa km mambo unayapekeka ili mradi tutafika wapi?

HAYA TUKUPELEKE CUBA, UNAFIKIRI UTAZUNGUMZA LUGHA GANI NA WANACUBA? TAZAMA MAMBO KWA JICHO LA 3, ITAKUSAIDIA SANA.
 
Back
Top Bottom