Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Ni mambo ya ajabu sana, ni vizuri pia kukienzi kiswahili angeandika kiswahili tu inatosha.
 
Binafs nitampongeza akianza kutumia kiswahili rasm kimataifa , cha kwanza ataficha udhaifu wake cha pili ataendeleza lugha yetu pendwa kiswahili. Asha shindwa hawez kujifunza labda apelekwe gereza la wafungwa pasiwe na msukuma hata mmoja huko!!

Lakn akiwa uraian kamwe hawez jifunza miaka buku jero!!
 
Hiv kiingereza ndo maendeleo? Hapo angeandika kiswahili tu ingetosha mbona wachina hawajui kiingereza na wanasonga? Wabongo kwa utumwa.
Ni KWELI Wachina "hawajui" Kiingereza. Lakini wakikitumia HAWAKIHARIBU....
 
Huu Mfumo Wa Kwenda Chuo Kikuu Mpaka Upitie Kidato Cha Sita Nadhani Umeonekana Wazi Kabla Haujaanza Umeshakwama Maana Hali Ndiyo Kama Thread Ilivyo Hapo Juu
 
Hiv kiingereza ndo maendeleo? Hapo angeandika kiswahili tu ingetosha mbona wachina hawajui kiingereza na wanasonga? Wabongo kwa utumwa.

Wao Wanajua kiswahili hata broken?Jibu ni hapana,tatizo sisi tunahangaika na lugha ndio maana wakenya wanajidai wamesoma kwa kujua kiingereza tu hata kama hawana taaluma yoyote.Me sikusoma lakini naomba waliosoma kama kuna mtu anaorodha ya maraisi ambao hawajui hata neno moja la kiingereza awaorodheshe hapa.Wale ambao huwa wanaongea kikwao wanatraslentiwa!Wakati nipo form three nilikuwa nauwezo wa kumkosoa mwalimu wangu wa Geography,alikuwa hajui tenses na muda wa kuzitumia,lakini kitu muhimu alikuwa anatufundisha ili tuelewe Geograhy sio English.Na alikuwa trained teacher.

President Nyerere used same words at White House in 1963, All you were not born yet I remember it.




me nnahamini haya yote ni matunda ya uongozi wa awam ya 4 kwani urais uligeuzwa km ujumbe wa nyumba 10 ndio maana leo watu mnadiliki kumkejeli rais ila wewe uliyepost jua vitu vichache,,ukitoa kuwa rais wako bal pia na mzazi wako,,je babaako hakosei na akikosea unamkosoa mbele za watu?kuwa na heshima kwa viongozi na wakubwa,,hata ajue kiingereza au hasijue,,tulimchagua na tutamchagua kwani anatoa suluhu ya matatizo yetu tena kwa wkt,,,huyo mtu wenu anayejua kiingereza yupo wapi???hacheni watu wafanye kazi!!!
Alianza kwa trump akaharibu!! Kaja kwa castro kaboronga!! Kama hajui hii lugha ni lazima aitumie??? Sasa naanza elewa kwanini watu wanasema alikopi research yake ya degree ya tatu!
 
Mkuu, niliwaji kuanzisha mjadala humumkuwa ikiwa Rais Magufuli ataamua kuwa bubu sijui hawa CHADEMA watakiwa na ajenda gani. Utafikiri hapa tunapimana uwezo wa kuandika kiingereza fasaha
Aliwaita wale watoto vila.za je na yeye ni kilaza? Wakati wanakulipa buku saba mshauri awe anaomba hata msaada afundishwe sio anatuletea aibu sawa??
 
Hata kiswahili tunafundishwa shuleni darasa la kwanza mpaka form six na wengine wanakisomea mpaka chuo kikuu. Chakujiuliza hicho kiswahili cha shule na chuoni ndio
Hiki tunakitumia JF?

Ukipata jibu pigia mstari na ujipime tena. Inawezekana hauko sawa.

NB: Chuki ikizidi sana huwa ni ugonjwa.

NAONA UNAANDIKA KWA USHABIKI TU NA KWA MWENYE UELEWA WA KINGEREZA SENTENSI YA MWEHISHIWA HAIKO SAWA ILA INATUMIKA MARA NYINGI.

SWALI LA KUJIULIZA MSOMI MWENYE DOCTORATE AKIANDIKA HIVYO, JE FUNDI MWASHI NA FORM SIX LEAVER AANDIKAJE? UNASHINDWA HATA KUJIULIZA KIDOGO.

USIWE UNATETEA HATA VISIVYOWEZA KUTETEWA, SENTENSI YA MWESHIMIWA NI SAWA KABISA NA KUANDIKA "I AM DRIVING MY CAR MYSELF"

HIS SENTENCE WOULD SOUND BETTER IF HE COULD USE A POSSESSIVE PRONOUN AS AN ADJECTIVE "ON MY BEHALF". OR "ON BEHALF OF PEOPLE OF TANZANIA AND MYSELF"
 
...aibu ya hizi tweet ni kwa TZ na si mkulu pekee...mi najiuliza kwani huwa analazimika kutumia tweeter??.....kwani haitoshi tu kupiga simu na kutoa pole??...unaiga nini kutumia tweet wakati inakudhalilisha?....
 
Kama nchi tunaweza kuwa na tatizo kubwa zaidi lakini kama kawaida tunaangalia lililo mlangoni na kuhitimisha. Haya mambo yananirudisha nyuma kidogo wakati tumetembelewa na Obama kwenye live press conference pale Ikulu na kutafakari ni wapi tumesimama katika hili!
 
Back
Top Bottom