Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

KUNA MAWILI AMA URUDI SHULE UKAJIFUNZE TENA MATUMIZI YA KINGEREZA AU BAKI NA KISWAHILI CHAKO NA LUGHA ZA WATU WAACHIENI WENYEWE KAMA HAMNA INTEREST YA KUFUATA MISINGI YAKE.

HII NCHI HII INASHIDA MPAKA KWENYE AKILI ZA RAIA WAKE
Mfano Mwingine huu

On behalf of myself and my co-authors, I would like to thank this reviewer for his/her
commentary. Many of these comments were raised by other reviewers as well – which does tend
to solidify their importance. We will attempt, in these responses, to better place this work in its
proper context in terms of the existing literature and the other three papers.

Mfano Mwingine huo Kama bado hujaelewa basi Usiku Mwema
 
Pumba hakuna tatizo jinsi alivyoandika. On behalf of myself ... .... is correct, labda mwandikaji angesema angeandika Kiingereza anachokipenda yeye mwenyewe binafsi. Wacheni utukutu na kuongelea pumba. Kama vipi tubadili hili jukwaa tuandike kiingereza tu. Wenyewe Waingereza wanafahamu lugha kama si yako unaweza kukosea nyinyi mnafanya hiyo ni dhambi kubwa sana hapa duniani. Mbona Kiswahili kinavyoandikwa na Wakenya kama Swahili hamlalamiki? Au magazeti mengi ya Bongo kiingereza wanachoandika mara nyingi kina makosa mengi tu mbona hamsemi?

Swala la lugha ni muhimu sawa lakini hivi vijembe visivyo na kichwa wala miguu havisaidii kitu. Kama vipi wekeni mjadala hapa serikali iwaajiri walimu wa Kiingereza kutoka UK ambao wana utaalamu wa kufundisha kiingereza na uwekwe mfuko wa kuchangia waalimu wa kiingereza kutoka UK. Msiniambie manyang'au wanafahamu Kiinglish au SA or Zimbabweans tuache longo longo tuende full Nondo na kuajiri vipanga wa lugha ya Kiingereza.
 
Napingana na mleta mada na utatuzi wa tatizo. Unafikiri kuandikiwa ni kutatua tatizo au kuficha tatizo?
 
Kwa mfano...wewe ungekua ndio yeye, ungeandikaje?! Tuende kwa mifano plz , tusaidie watanzania tulio wengi because we are suffering from the same disease.
 
Hii ni shida!

Ukiacha hicho kingereza,lakini hata jinsi alivyomo-address Raisi Mstaafu Castrol bado ni tatizo.
Mi pia nimeona tatizo katika kumu-address, naona kama amemu-address kama mtu asiyekua na cheo kabisa/ambae hakuwahi kuwa na cheo. Ila tukumbuke hata angetumia kingereza kizuri ama kumu- address vizuri doesn't mean the situation will change.The damage is done already.
 
UMESOMA MAELEZO YANGU? KAMA ULIBAHATIKA KWENDA SHULE NDIYO HIVI ULIKUWA UNAJIBU MASWALI HIVI UKIWA DARASANI?

HALAFU NI KWANZA KULALAMIKA WAGENI WANAAJILIWA SISI WAZAWA TUNATENGWA KWA AKILI HIZI FUPI MLIZOKUWA NAZO NANI ATAWAPA AJIRA?

KWELI NCHI HII INAWENDAWAZIMU WENGI. BADALA YA KUBISHANA NA MAELEZO YANGU UNABISHANA NA UWAKILISHI WA HOJA YANGU.

UNA MENGI YA KUJIFUNZA NA INAONYESHA HUJAELEWA HATA NILICHOANDIKA HIVYO UNAONYESHA JINSI GANI UNAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI.
Kama kweli wewe umebahitika kwenda shule na unaandika ''ulevi'' kama huu basi wewe ni wa kusamehewa!
 
Watu wanapiga swaga tu-JPM is right after all. Hata JKN ametumia lugha hiyo hiyo. Uki-google inaonyeha version ya JPM ni sawa tu. Tusiendeshwe na hisia wakati tunaweza kupata ukweli kwa kuchunguza kitu. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake .......
 
Common guys....hata US kiingereza sio deal kwa kila kitu. Wale walatino wangekomaje
 
Wewe ni mjinga wa mambo ya lugha! kiingereza ni lugha ya kujifunza na mtu yoyote ambaye anazungumza lugha isiyo yake kiasili makosa ya kisarufi, misamiati n.k sio ajabu. Mfano Obama alikuja Tanzania alijaribj kiswahili chenye mkosa,Rais wa china je? Tuache fikra za kitumwa na kujitawala wenyewe kwa ujinga.
You can't give what you can't have, this county is ours. Unataka kutudanganya PhD gani inaweza ikawa na kingereza kama hicho? Huyo ni kilaza pure.
 
"Nehemia...take it from me" akimaanisha Nehemia afanye Kazi kama vile yeye anavyofanya Kazi yaani atumbue bila kumwonea mtu huruma..

You can't give what you can't have, this county is ours. Unataka kutudanganya PhD gani inaweza ikawa na kingereza kama hicho? Huyo ni kilaza pure.
 
kwa hiyo unataka kuniambia hata simu clouds huwa anapiga na kuongea msigwa????
Akaunti ya Twitter huwa haandiki yeye, full stop; sikuulizi bali nakwambia. Hayo ya kupiga simu jibu unalo mwenyewe.
 
Hivi jamaa anaona shida gani kujiongeza? Kutoka magogoni hadi pale British council ni mdakika ngapi? Angekuwa Kikwete tungesema ni ngumu kwennda kujiongeza kwa kuwa hashindi nchini hivyo atakosa muda ni bora ajifunzie huko huko safarini hadi ajue. Lakini huyu tunaye humu humu, kila jumamosi tupo naye kwenye Jumuiya....na siku nzima ana shinda kwenye Tv kufuatilia ziara za Makonda, si ni afadhali angeutumia muda huo kwenda kujiongeza?
Hahahaaaa mkuu umenichekesha sana, mbna unamdrive jamaa unavyomdharau eti LAKN HUYU TUPO NANAYE HUMU HUMU, KILA JUMAMOS TUPO NAYE KWENYE JUMUIYA
 
Aisee!

Sasa hapo ni nani aliyekosea kati ya mwandishi wa hiyo tweet na mkosoaji?

Hahaa...kudhani unajua ilhali hujui na hujui kama hujui ni janga!
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
Hiyo anayoandika mkulu ni kiswaenglish. ndugu unaelewa Nigeria pia wanayo variation ya English ambayo ni maalumu kwa wanigeria. Mkulu anajaribu kuitangaza tu hiyo kiswaenglish.

Mwacheni mkulu akosee, makosa yatajirekebisha baadae hiyo ndio "filosofi" yake na ndivyo anavyotaka aliowateua wafanye maamuzi hata kama ni ya kimakosa ,watajaribu wakiweza kusahihisha makosa hayo baadae. Anasoma kupitia makosa.
Forward na sikiliza dakika ya 19- 21
 
Mfano Mwingine huu

On behalf of myself and my co-authors, I would like to thank this reviewer for his/her
commentary. Many of these comments were raised by other reviewers as well – which does tend
to solidify their importance. We will attempt, in these responses, to better place this work in its
proper context in terms of the existing literature and the other three papers.

Mfano Mwingine huo Kama bado hujaelewa basi Usiku Mwema

NGOJA NIKWAMBIE KITU KIMOJA KITAKUWA NA MANUFAA KWETU WOTE, ITAKUWA VIZURI WEWE UENDELEE NA UELEWA WAKO NA MIMI NIBAKI NA UELEWA WANGU.

SABABU ULILETA DAVID BECKHAM QUOTE NA SASA UMELETA NYINGINE SIJUI UMETOA WAPI?

ALICHOONGEA MAGUFULI KINATUMIKA MITAANI LKN GRAMMATICALLY SI SAWA. LKN KIKUBWA ULITAKIWA UJIULIZE MTU MWENYE DOCTARATE AKIONGEA HIVYO, FORM SIX LEAVER ATAANDIKAJE?
 
Back
Top Bottom