Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Kwanini haya makosa yanajirudia kila siku???
Huyu Mwandishi wa JPM Bwana Gerson Msigwa anashindwaje kumsaidia JPM ku-construct some few sentences in English na ku-Tweet kwenye account ya JPM???
Rais tena Doctor na kwa sasa anasifika dunia nzima kwa kufanya wonders in Tanzania just in a year, but he can't make even a single sentence in English!!! Bado inaendelea kuthibitika kuwa JPM kwa ung'eng'e ni mtupu na ndiyo maana ziara nje ya nchi anazikwepa kwa kisingizio cha kubana matumizi kumbe ni urongo mtupu.

Very shameful.
 
Kakosea wapi?

KAKOSEA KUANDIKA "ON BEHALF OF MYSELF AND PEOPLE OF TANZANIA...." JAPOKUWA HAYO MANENO NI COMMON LAKINI GRAMMATICALLY SI SAWA.

KAMA MTU MWENYE DOCTORATE ANAANDIKA HIVYO FORM SIX LEAVER AANDIKAJE AU FUNDI MCHUNDO AANDIKAJE?

HIS SENTENCE WOULD SOUND BETTER IF HE COULD USE A POSSESSIVE PRONOUN AS AN ADJECTIVE "ON MY BEHALF". OR "ON BEHALF OF PEOPLE OF TANZANIA AND MYSELF" BECAUSE IT IS REFLEXIVE.

NEXT TIME AANDIKE KISWAHILI TU NA AWAACHIE WENYEWE WATAFUTE MKALIMANI KULIKO KUANDIKA MADUDU. HIYO SENTENSI INA TOFAUTI GANI NA KUANDIKA "I AM DRIVING MY CAR MYSELF"
 
There is nothing wrong with the sentense "on behalf of myself". It, of course, violates the "modesty" rule that you shouldn't mention yourself before "the whole team", but that's not a syntax violation. Yes, it may be redundant, but English is full of redundancies, and life's too short to worry about most of them.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..nikicheka cyber crime inanihusu?
 
Magufuli hajui Kiingereza na hilo halina ubishi ila nina wasiwasi kama hii akaunti ya Twitter huwa yeye ndiye mwandishi. Hii itakuwa inaandikwa na Msigwa au mtu mwingine sababu simuoni Magufuli akikaa na kuanza kutupia mambo humo kwa sababu ya wingi wa hekaheka za kazi yake.

Lakini vyovyote vile iwavyo ni kweli kuna ushamba mwingi sana
Au Jesca anaitumia hii Acount
 
President Nyerere used same words at White House in 1963, All you were not born yet I remember it.

Na Mwisho wa siku ni kosa lililozoeleka masikioni mwa watumia lugha ya kiingereza mpaka linakubalika kama lugha sahihi.
Nafikiri mjomba yupo sahihi kama mtumiaji wa Pili was hiyo lugha kukosea syntax
 
kujua kiingereza vizuri ni jambo LA msingi Kwa kiongozi yeyote WA nchi.
Mkuu Kama unaona kwenda British Council ni jambo LA aibu basi kajiunge na darasa LA Ras Simba
Anauwezo wa kumwita RAS simba nyumbani kwake na akamfundisha kwa ukuu wake. Binafsi mimi nikiwa na mazungumzo na mtu iwe ni Kiswahili au Kiingereza sipendi aongee "broken", mudi ya kumsikiliza huisha haraka sana hata kama nampenda mtu huyo.
 
NAONA UNAANDIKA KWA USHABIKI TU NA KWA MWENYE UELEWA WA KINGEREZA SENTENSI YA MWEHISHIWA HAIKO SAWA ILA INATUMIKA MARA NYINGI.

SWALI LA KUJIULIZA MSOMI MWENYE DOCTORATE AKIANDIKA HIVYO, JE FUNDI MWASHI NA FORM SIX LEAVER AANDIKAJE? UNASHINDWA HATA KUJIULIZA KIDOGO.

USIWE UNATETEA HATA VISIVYOWEZA KUTETEWA, SENTENSI YA MWESHIMIWA NI SAWA KABISA NA KUANDIKA "I AM DRIVING MY CAR MYSELF"

HIS SENTENCE WOULD SOUND BETTER IF HE COULD USE A POSSESSIVE PRONOUN AS AN ADJECTIVE "ON MY BEHALF". OR "ON BEHALF OF PEOPLE OF TANZANIA AND MYSELF"
Haaa haa haaa. Mlikuja kichwa kichwa mkifikiri mmepata nafasi ya kukosoa kiingereza kumbe ninyi ndio mnaumbuka. Ona umeona hata kutumia herufi ndogo watu hawawezi kukusoma!
 
"On behalf of people of Tanzania and Myself" yeye hayupo katika hao people of Tanzania? Yaani hii ya kwako sasa ndio ya vidudu kabisa.

On behalf of myself means me and my family and people of Tanzania means as a citizen of Tanzania.

Hapo kuna condolences message mbili kwa mtu mwenye akili pekee ndiye atakayeelewa.

Ya kwanza kwa ukaribu aliokuwa nao yeye na familia yake kwa Marehemu.

Ya pili kwa ujumla wake watanzania wote na yeye akiwemo.

Jaribuni kutumia akili na msiwe na Mawazo Mgando.

Kisa Malisa kasema basi na nyie akili zenu zimestack hapo.
 
Haaa haa haaa. Mlikuja kichwa kichwa mkifikiri mmepata nafasi ya kukosoa kiingereza kumbe ninyi ndio mnaumbuka. Ona umeona hata kutumia herufi ndogo watu hawawezi kukusoma!
UMESOMA MAELEZO YANGU? KAMA ULIBAHATIKA KWENDA SHULE NDIYO HIVI ULIKUWA UNAJIBU MASWALI HIVI UKIWA DARASANI?

HALAFU NI KWANZA KULALAMIKA WAGENI WANAAJILIWA SISI WAZAWA TUNATENGWA KWA AKILI HIZI FUPI MLIZOKUWA NAZO NANI ATAWAPA AJIRA?

KWELI NCHI HII INAWENDAWAZIMU WENGI. BADALA YA KUBISHANA NA MAELEZO YANGU UNABISHANA NA UWAKILISHI WA HOJA YANGU.

UNA MENGI YA KUJIFUNZA NA INAONYESHA HUJAELEWA HATA NILICHOANDIKA HIVYO UNAONYESHA JINSI GANI UNAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI.
 
"On behalf of people of Tanzania and Myself" yeye hayupo katika hao people of Tanzania? Yaani hii ya kwako sasa ndio ya vidudu kabisa.

On behalf of myself means me and my family and people of Tanzania means as a citizen of Tanzania.

Hapo kuna condolences message mbili kwa mtu mwenye akili pekee ndiye atakayeelewa.

Ya kwanza kwa ukaribu aliokuwa nao yeye na familia yake kwa Marehemu.

Ya pili kwa ujumla wake watanzania wote na yeye akiwemo.

Jaribuni kutumia akili na msiwe na Mawazo Mgando.

Kisa Malisa kasema basi na nyie akili zenu zimestack hapo.

KUNA MAWILI AMA URUDI SHULE UKAJIFUNZE TENA MATUMIZI YA KINGEREZA AU BAKI NA KISWAHILI CHAKO NA LUGHA ZA WATU WAACHIENI WENYEWE KAMA HAMNA INTEREST YA KUFUATA MISINGI YAKE.

HII NCHI HII INASHIDA MPAKA KWENYE AKILI ZA RAIA WAKE
 
Hivi jamaa anaona shida gani kujiongeza? Kutoka magogoni hadi pale British council ni mdakika ngapi? Angekuwa Kikwete tungesema ni ngumu kwennda kujiongeza kwa kuwa hashindi nchini hivyo atakosa muda ni bora ajifunzie huko huko safarini hadi ajue. Lakini huyu tunaye humu humu, kila jumamosi tupo naye kwenye Jumuiya....na siku nzima ana shinda kwenye Tv kufuatilia ziara za Makonda, si ni afadhali angeutumia muda huo kwenda kujiongeza?
 
KUNA MAWILI AMA URUDI SHULE UKAJIFUNZE TENA MATUMIZI YA KINGEREZA AU BAKI NA KISWAHILI CHAKO NA LUGHA ZA WATU WAACHIENI WENYEWE KAMA HAMNA INTEREST YA KUFUATA MISINGI YAKE.

HII NCHI HII INASHIDA MPAKA KWENYE AKILI ZA RAIA WAKE

Webster's 3rd New International Dictionary says behalf is "used with in or on and with a possessive noun or pronoun." That means "behalf" is always the target of a possessive. The object in each case is the object of the preposition in or on, which means you would use the prepositional case for pronouns (you would never say "On behalf of my wife and I"). You would also use "myself" as the target.

If you were talking about your wife ("On behalf of my wife and myself"), you would continue on in the first person plural: "On behalf of my wife and myself, we would like to thank ..."
 
Back
Top Bottom