MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Inaelekea Mkuu ni mbishi sana..
Kila kitu anataka kufanya mwenyewe..
Hii ni fedheha kubwa kwake
Kila kitu anataka kufanya mwenyewe..
Hii ni fedheha kubwa kwake
Daaaa yaani naona aibu mimi sijui tatizo nini
Naona umeangalia signature yangu. Hiyo haipingiki mkuu.”VIONGOZI WA AFRIKA NI MIZIGO".........true
Well said mkuu.Tanzania tunaanza kujifunza kiingereza darasa la 3. Sekondari hadi chuo kikuu masomo yanafundishwa kwa kiingereza. Kiingereza kwa Tanzania ni lugha muhimu. Kujua lugha za kimataifa ni muhimu sana. Kuna watu wanataja China kuwa wanatumia lugha yao, ni kweli. Ni kweli pia kwamba taifa la China linawafundisha raia wake lugha nyingine za kumataifa kama kifaransa, kiingereza, kijerumani nk. Hii inasaidia katika mahusiano ya kisiasa, kiteknologia na kiuchumi.
Tutakuwa tunajidanganya kama tutaamini hakuna haja ya kujua lugha za kimataifa. Tena tuzijue vizuri.
Tukumbuke pia kuna mataifa yanajifunza kiswahili. Tujiulize kwanini. Wanajua umhimu wa kujifunza. Mbona hawang'ang'anii lugha zako tu.
Eti sisi hatutaki kujifunza lugha za kimataifa!!!
Bachellor tu ukikosea tu kuandika hiyo lugha watakuita kila jina, ki.la.za. mara division five sembuse Phd holderhivi ras simba anashindwa kuokoa jahazi... maana hii lugha ya malikia ishakua changamoto
Si unajua wanaccm wanaokoa jahazi. Kwa hiyo mzazi wao yupo uchi kwa hiyo wanamstili ili asiaibike.Mnajuaje kuwa ameandika yeye na sio Msigwa?
"unaishi nchini au ughaibuni mkuu?....tu nataka tuone kama tunaweza kuja kukumata ili tukufungulie mashtaka ya udhalilishaji maana umetutukana sana sisi wafanyakazi wa ikulu". kwa sauti ya mfanyakazi wa ikulu.Magufuli hajui Kiingereza na hilo halina ubishi ila nina wasiwasi kama hii akaunti ya Twitter huwa yeye ndiye mwandishi. Hii itakuwa inaandikwa na Msigwa au mtu mwingine sababu simuoni Magufuli akikaa na kuanza kutupia mambo humo kwa sababu ya wingi wa hekaheka za kazi yake.
Lakini vyovyote vile iwavyo ni kweli kuna ushamba mwingi sana
Sentimita mbiliHivi ni nani hua ana tweet kwa niaba ya mh Raid tuanzie hapo kwanza tumjue
Mbona wewe mchawi na hujazeeka, kama kama kuzeeka ndio sifa ya kuwa mchawi!!??Chadema mkizeeka mtakuwa wachawi
Na wale wasiozungumza kabisa kiingereza unasemaje?kujua kiingereza vizuri ni jambo LA msingi Kwa kiongozi yeyote WA nchi.