Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

Mtukufu Rais bora tu angeandika R.I.P

President Nyerere used same words at White House 1963 all of you were not born yet I remember it.

Hata mimi sijui hiyo lugha basi nilifikiri on behalf of myself = on my own behalf.
La pili twitter account ni ya JPM hivyo haileti maana kutumiwa na kiumbe kingine.

After all kuna official communication.
 
Hata Nyerere alikosea. Hata wenyeji wengi tu wanakosea.
Hapo inatakiwa utumie me.

Twitter ya rais ina makosa kama matatu.
1. Myself inatakiwa iwe me.
2. Ilitakiwa aanze na on behalf of the people of Tanzania
3. Our ni makosa inatakiwa iwe my.
mkuu kama hujui kaa kimya......
 
Hiv kiingereza ndo maendeleo? Hapo angeandika kiswahili tu ingetosha mbona wachina hawajui kiingereza na wanasonga? Wabongo kwa utumwa.
Sio kusema utaumwa, yani mtu kasoma secondary mpaka degree tatu kwa kingereza halafu hajui kuongea kingereza, si itakua phd fake hiyo, au sawa bac sio lazma kujua kingereza ila na PhD ya jamaa ni fake fake fake
 
Labda hataki kuandikiwa
Jamani huyu anatuaibisha. Mimi huwa namkosoa sana kwa kutojua ngeli lakini kwa hili bora aandike kwa lugha ya kiswahili huo ujumbe ukifika kwa walengwa utapata tafsiri
 
UDSM ni Chuo cha kimataifa hongereni sana kwa kutupatia vipanga.
 
Kuna lugha wanasiasa wameanzisha ya kusema 'Kwa niaba yangu binafsi na kwa niaba ya Watanzania' nadhani ndio waliipeleka kwenye kingereza.
Hii ipo hata kwa watu wengi amabo wanatumia kiingereza. Sio kosa la kukosoa kwani linatumia sana.
 
Haha, 2025 tutaazima muingereza ili aje kuwa Rais, Ukawa mfurahi!
 
Ushabiki maandazi na ushamba umewajaa sana wana wa lumumba, ni kwa nini tusiambiane ukweli tu? Msomi gani wa PhD duniani ni mchemkaji wa rugha alioitumia kuwasiliana na kusomea kipindi chote cha shule?msimpotoshe mheshimiwa kwa utetezi wenu wa kichina
 
AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130

Kuwa Upinzani si kupinga pinga kila kitu. Hata kama tunatumwa tujiulize ujira huo una akisi utu wetu. Huyu hapa chini kazaliwa huko huko ilikoanzia hiyo lugha. Haya na yeye Muanzishieni Thread.

Kweli naanza kuamini baadhi ya wafuasi wa Chadema wanahitaji kupimwa akili

beckham-jpg.440234
 
Mbona ngeli iko bombs tu kibongobongo.Tujue kiingereza fasaha sisi waingereza? Wewe mwenyewe mswahili lkn ajabu umeshindwa kuandika kiswahili sembuse kiingilish.Umeandika shahafa badala ya shahada.Toka u western wako,sisi wabongo English is not our mother tongue.
 
Wewe ni mjinga wa mambo ya lugha! kiingereza ni lugha ya kujifunza na mtu yoyote ambaye anazungumza lugha isiyo yake kiasili makosa ya kisarufi, misamiati n.k sio ajabu. Mfano Obama alikuja Tanzania alijaribj kiswahili chenye mkosa,Rais wa china je? Tuache fikra za kitumwa na kujitawala wenyewe kwa ujinga.
 
Mkuu tatizo la huyu hashauriki wala haambiliki. Angeuliza baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu hata mtu mmoja kama nilichondika hapa ni sawa sawa? angepata jibu na hivyo kusahihisha alichoandika lakini hujiona anajua kila kitu hivyo akaamua kukurupuka tena. Si walisema anataka kukuza Kiswahili duniani? Kwanini hakuandika Kiswahili?

AIBU HII TUNAIFICHAJE, KWA MFANO???

Kuna ubishi mwingine haufai, lazima tuambizane ukweli.. Wakati wa kumpongeza Rais-mchaguliwa wa marekani, Rais Magufuli aliandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa nia njema tu ya kupongeza, nikashauri kuwa Ikulu waandaliwe watu wa kuandika kwenye mitandao ya kijamii kwa niaba ya Rais Magufuli, ili yasijirudie tena yale yale, kwasababu ni kuiaibisha taasisi ya Urais, na nchi kwa ujumla.

Kufumba na kufumbua, sijui tatizo ni uelewa au misimamo isiyokuwa na tija, bado 'broken English' imeonekana katika post ya Rais Magufuli alipotoa pole kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Cuba, hayati Fidel Castro.

Wakati ule wa mwanzo kuna watu walisema kwa kumtetea kuwa kiingereza sio 'issue' sana, na kumficha Rais Magufuli kwa mwamvuli wa uzalendo kwamba kiingereza sio lugha yetu.. Lakini niliwaambia, katika moja ya hotuba ya Mwl. Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusisitiza juu ya matumizi ya lugha ya kiingereza kuwa; kama Ghana wanajifunza, Kenya wanajifunza, Uganda wanajifunza, Mozambique, Malawi, etc. iweje Tanzania tuwe nyuma tusijifunze kiingereza? Mwl. Nyerere akasisitiza kwa kusema kuwa; Kiingereza ndiyo kiswahili cha dunia, ni lazima tukipe mkazo tujifunze na tukitumie, pamoja na kuwa lugha yetu ni kiswahili.

Sasa hili la Rais Magufuli kuandika 'broken English' kwenye ukurasa wake wa Twitter unaosomeka dunia nzima, ni aibu, na mbaya zaidi Rais Magufuli anatambulika kama Dr. Magufuli J.P. kwa maana mtu mwenye shahada zaidi ya moja, na shahafa hizo amezisoma kwa lugha ya kiingereza, na moja wapo ni kwenye chuo kikuu chenye hadhi ya kimataifa, chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Ninashauri tena, Ikulu iandae watu kwa kazi hii, yeye kama Rais awape mawazo yake, wao wajue wanaandikaje, lakini kwa utaratibu huu, kwenye nchi ambayo watoto wa darasa la sita kwenye international schools wanazungumza kiingereza kumzidi mhitimu wa chuo kikuu, ni aibu kubwa, kwa taasisi ya Urais na taifa kwa ujumla.

Wako katika demokrasia na maendeleo
View attachment 440130
 
Great minds discuss ideas,
Small minds discuss issues,
Poor minds discuss people.
 
Back
Top Bottom