Shelus Jr
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 270
- 167
Kumbe uhakiki wa vyeti kwa watumishi wote wa uma haikuwa na sababu kufanyika, Kwa mantiki ya bandiko lako wale waliofukuzwa makazini warudishwe.Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.