Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

point ni ipi kwamba wakat huu elimu haina umuhimu mkuu au?
Kwa nyakati zote elimu haijawahi kukosa umuhimu. Elimu ni muhimu sana, ndio maana nikasema kama kuna ujanja umetumika ukapata ajira bila vyeti sahihi inabidi hatua stahiki zifuatwe bila kupindisha kona na bila kuangalia cheo kama ambavyo kuna watu wanataka kuwapa upendeleo baadhi ya watu.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Tufute shule na vyuo vyetu sasa vya kazi gani.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Mwandazimu Kapewa rungu,tutaona mambo miaka hii.CCM juu
 
Tulieni wakuu ipo cku atakuja mbele ya media kuwathibitishia kuwa vyeti vyake vyote n halali saiv yuko bz na majukumu ya kitaifa wakati huo huo baraza la mitihani haliko Marekani lipo pale Mwenge.

Hiii hiii hiiii

nani Bashite?
 
Back
Top Bottom