Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Hata madaktari,waalimu, mapolisi na watafiti wote wapimwe kwa actions bwana sio makaratasi..... Makaratasi ya kazi gani sasa... Yani hata wauguzi ni mwendo wa actions tu...... WTF citizens!!

Shangaa mtu anatumia makaratasi ya mwingine..... Ya nini sasa....

Na bado mnajisifu na elimu bure hadi kidato cha nne........ Actions mwanzo mwisho"kazi tu"....hata neno dakta tulitoe pale.

Only in TZ

What are you talking about?
 
hapo umenena kadiri ya uelewa wako. ukitaka kujua thamani ya elimu jaribu ujinga. hata huyo unaemwona anafanya hayo unayo sifia ni kwa kwa sababu ya elimu. elimu ni uelewa kupata ujuzi, ambao waweza upata hata nje ya darasa japo hutakuwa na reference kwako na uthibitisho kwa jamii kwa hayo unayodai unayoyajua. elimu ya darasani ina sheria na taratibu zake, ikiwemo ya kutumia kichwa chako na si kubebwa na sifa za mwingine. vinginevyo vaitwa kihiyo.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.

Mkuu kwa mtaji huu vipi ule muswaada wa waandishi kuwa angalau na digirii? Vipi lile sakata la waganga na wizara? Au huu ushauri wako ni kwa akina Bashite tu?
 
DAUDI ALBERT BASHITE

MKUKI KWA NGURUWE...................................................................................
 
Ulitakiwa kutoa hoja yako siku ile Rais alipoanzisha vita dhidi ya watu waliofoji vvyeti.
Wazo lako ni zuri lakini umeliingiza kwa kuchelewa na ninahisi umeliingiza kwa vile shoga yako Daudi Bashite yuko kikaangoni
Hata dereva wake Daudi Bashite hatakiwi kuwa na Dvision Nunge, mkuu wa mkoa je?
Tunachoongelea hapa zaidi ni kitendo cha kudanganya.

Unaaapa kubadili jina ambalo siyo lako?????
Hiyo ni sawa na kuto kuapa kabisa

Hivi mbowe mheshimiwa alipata division gani?
Maana na yeye tuliwahi kuambiwa humuhumu JF kuwa ni walewale
 
Waandishi wa habari wanapangiwa kiwango cha elimu
Madereva wa wakuu wa mikoa wanapangiwa kiwango cha elimu.
Wakuu wa mikoa hata ukitumia cheti cha mtu kusoma ni sawa tu.
Hiyo ndiyo vita ya waliofoji vyeti inavyoendeshwa na rais wetu.
 
Tulieni wakuu ipo cku atakuja mbele ya media kuwathibitishia kuwa vyeti vyake vyote n halali saiv yuko bz na majukumu ya kitaifa wakati huo huo baraza la mitihani haliko Marekani lipo pale Mwenge.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Hayo ya vyeti wameanzisha wao, ndo maana leo watanzania wanataka wembe ule ule uliotumika kuwafukuza kazi wengine na kuwasababishia maumivu utumike pia kwa Daudi.. maana alikuwa mstari wa mbele kwenye hy kampeni.
 
Makonda kwa kashfa hizi anapaswa kuachiia madaraka kuondoa aibu ya serikali yetu
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Tatizo kafanya jinai, kufeli sio shida
 
Ulitakiwa kutoa hoja yako siku ile Rais alipoanzisha vita dhidi ya watu waliofoji vvyeti.
Wazo lako ni zuri lakini umeliingiza kwa kuchelewa na ninahisi umeliingiza kwa vile shoga yako Daudi Bashite yuko kikaangoni
Hata dereva wake Daudi Bashite hatakiwi kuwa na Dvision Nunge, mkuu wa mkoa je?
Tunachoongelea hapa zaidi ni kitendo cha kudanganya.

Unaaapa kubadili jina ambalo siyo lako?????
Hiyo ni sawa na kuto kuapa kabisa
Ukitilia maanani kuwa huko ni kughushi na kujipatia mshahara kwa udanganganyifu
 
Haya mawazo yalikuwa wapi walipotangaza kuhakiki vyeti?yalikuwa wapi wakati yule nesi anahukumiwa miaka ya kutosha gerezani kwa kutumia vyeti visivyo vyake? je mawazo haya yalikuwa wapi wakati mamia ya watu wakinyofolewa kwa kutumia vyeti feki makazini?
Umesema ukweli mkuu ni sawa na yule mhindi wa lindi kunyang'anywa passport kwa kuchelewesha kazi wakati lugumi kachelewesha lkn hatukusikia hata kalipio
 
Mkuu kwa mtaji huu vipi ule muswaada wa waandishi kuwa angalau na digirii? Vipi lile sakata la waganga na wizara? Au huu ushauri wako ni kwa akina Bashite tu?
Hiyo ni special kwa makada
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
CV zimepitwa na wakati katika nchi gani? Unataka tuwe na madaktari , engineers, pharmacists, administrators, nurses wasio na vyeti. Are you serious? Politicians lazima wawe wasomi. Hata waganga wa jadi wanasoma.
Mleta post sijui unalenga kumtetea nani. Acha kuwa tembe.
Elimu, elimu, elimu. Sina uhakika unaposema CV kama unaelewa usemacho.
Remember a physician without knowledge is a witchdoctor.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Acha upumbavu wako. Kwani maelfu ya watumishi wa umma walioachishwa kazi kwa kuwa wamefoji vyeti walikuwa hawana utendaji mzuri? Msumeno lazima ukate pande zote. Usiwe na double standards!
 
Mkuu uko serious au unatania? Hebu sikiliza, kuna nurse mmoja katika hospitali kubwa tu hapa Dar alikuwa anafanya kazi labor ward, kiukweli alikuwa ni tegemeo kubwa sana kutokana na ufanisi wa hali ya juu katika kusaidia wamama wajawazito kujifungua. Uhakiki wa vyeti ulipopita akagundulika hakuwa na vyeti vya kumuwezesha kufanya ile kazi, amepigwa chini na sasa hivi ni jobless hana kazi na hana kipato japo alisaidia sana kuzalisha wamamawajawazito pale hospitali. My point ni hii, msiwe na double standard katika kudeal na hivi vitu kama kuna mahali mtu amekosea awajibike kulingana na makosa yake sio mnakuja kulialia hapa inapokula kwenu. Hii habari ya vyeti imekosesha ajira watu wengi sana ambao walikuwa wanaumuhimu sana jwa jamii kuliko hao unaojaribu kuwatetea.
point ni ipi kwamba wakat huu elimu haina umuhimu mkuu au?
 
Back
Top Bottom