Siyo kwamba Nchimbi kawekwa kizuizini

Siyo kwamba Nchimbi kawekwa kizuizini

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,971
Reaction score
6,670
Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.

Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.

Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.

Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.

Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.

Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
 
Did this ever happen? About Waitara?
 
Cdf Waitara mjeshi na mbunge ni watu wawili tofauti;ni majina tu yanafanana mzee,au mimi ndio nakosea?
 
Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.

Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.

Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua chini ya uangalizi kwa muda fulani mpaka hapo itakaponekana siyo tishio kwa usalama wa nchi.
Hili ni jambo linafanyika Duniani kote.

Siyo kwamba anaweza kujiuzulu leo halafu kesho akaenda French Riviera.

Ni kama vile CDF Waitara alipostaafu Jeshi halafu akajiunga na Chadema.

Magufuli akamuondoa Chadema akamrudisha CCM.
Acha upotoshaji.
 
Brother Andy lini CDF Waitara alijiunga Chadema? Naona kichwa kimepata moto kunywa maji baridiiii.
 
Back
Top Bottom