Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Mtu apimwe kwa utendaji siyo makaratasi

Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.

Waambie ndugu zako wote walioko mashuleni na vyuoni waache masomo waingie mitaani kufanya ACTIONS kama zile za Bongo movie..!!
 
Makonda is a HERO.Nchi inahitaji watu wa calibre hii wengi. The laws were in limbo sleeping.Yeye ameziamsha to proect the public. Wenye ma-degree walikuwepo. Lakini hawakufanya kitu. Walijisahau hata kukumbusha kuwa kuna sheria. I salute Makonda. He is a GREAT HERO of this nation. We need people who are CREATIVE,PROACTIVE,EFFECTIVE as well.Katika ishu hii vyeti vimeprove failure. But the bold decisions and actions of Makonda have shaken the nation, without leaving any stone unturned. The nation has been in advent for such long time waiting for people of this calibre. Matters of certificate can not overtake the precious acts done by the said person. If you have concrete facts, hard evidence as well take the matter to the corridors of courts. He who alleges must prove. Otherwise these allegations of certificates are mere speculations,frevolous, peddled by the victims. We are tired of hearing the same fake stories expecting different results. As it stands, Makonda is a HERO. I HEREBY declare my interest that I support his style of leadership.Things must be pushed around for them to roll.
Hero my ass! What has he done to make him a hero? It all depends where you come from, I have noted that people who come from western zone of Tanzania think differently on CREATIVE,PROACTIVE and EFFECTIVE methods of development compared to people who are natives of northen Tanzania, for example compare development of the people of. Kaliua in Tabora region, Kolomide in Misungwi and Hai or Rombo in Kilimanjaro region. From here you will note that they differ in development prorities. If forgery to you is ok then there is no need to prosecute anyone if he has the capacity to do wonders to the society. Close all schools and universities and let the cunning to bring development/
 
Huu mziki wa kuhakiki walianzisha wenyewe na watu kibaowaliokuwa wanafanya kazi kwa weledi wametimuliwa.Nayeye Bashite ahakikiwe kwanza.
Wahenga walisema '"Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".
 
haya mambo ya kupima watu kwa vyeti ndiyo yanachangia vyeti feki kwani mtu anajitahidi ajionyeshe ana vyeti vizuri lakini utendaji zero ndio maana wazungu kwenye interview zao hawazungumzii mambo ya vyeti wanaangalia ufanisi wa mtu
 
Kawarejesheni kazini wale watumishi mliowahangaisha kuhakiki vyeti vyao wakaacha kazi, ZERO nyie!!
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
kuweni wakweli basi, wakati mnawafukuza kaka na dada zetu kuwa wana vyeti hewa tukasema hewara ngoja tuinyoshe nchi hatukubisha acha nchi iongozwe na wasomi wanaostahili, leo limeingia chumbani mnasema sio lazima cv yaani elimu stahili li mtu awe kiongozi unafiki wa kijinga namna hii mmeusomea wapi maana hata shetani atawakana mchana kweupe, sisi sote tuko sawa bila kujali vyeo,maslahi, kabila,chama nk.
 
haya mambo ya kupima watu kwa vyeti ndiyo yanachangia vyeti feki kwani mtu anajitahidi ajionyeshe ana vyeti vizuri lakini utendaji zero ndio maana wazungu kwenye interview zao hawazungumzii mambo ya vyeti wanaangalia ufanisi wa mtu
unataka kuhalalisha nini?
 
Ni kweli ila kughushi cheti ni kosa kubwa mno............Mtu aendelee kuongoza na zero yake kuliko kudanganya.

Unawezaje zoezi kuendesha la ukaguzi wa vyeti wakati ww mwenyewe unamiliki cheti sio chako.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Uko sawa kabisa, mwenye tabia za udanganyifu apimwe kwa udanganyifu wake na kuadhibiwa.
 
Mkuu alisema tukague vyeti au sheria cio msumeno cku iz? Sheria ni jambia
 
Wale waliondolewa makazini kisa vyeti fake mbona wao hawakupewa chance ya kupimwa utendaji kazi wao?
 
Siamini kama watu wanazidi kuwa wajinga hivi,inamaana ajira za vyeti hazihusiki.Duu chama cha wajinga kina mambo.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Hili uliloliongea tungeanzia kipindi kile tumeanza na ukaguzi wa vyeti kwa watumishi wa umma,nao tungewapima kwa uwajibikaji wao siyo CV.Mungu simnafiki na hijidhihirisha kwa watu wake kwa wakati wake.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Bashite acha propaganda, unapoongea hivyo kumbuka kuna watu sasa hivi unavyoongea wako jela kwa kola kama hilo lako. kuna watu mwaka jana wamekimbia ofisi kwa kujifukuzisha wenyewe kwa kosa kama hilohilo lako, sasa kwanini tuanzie kwako kupima kwa utendaji na si vyeti? wewe si ndo ulikuwa unadhalilisha watu hadharani kumbe hata hao unaowadhalilisha wamekuzidi elimu. rudi shule kasome kwanza ndio uje hata hapa jf.
 
Kama anavyeti feki afikishwe mahakamani kwa mujibu WA sheria hata kama anafanya kazi nzuri kama malaika.
 
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Baadhi ya mambo yanayokera ni kama hili uliloandika.Mpendwa wenu makonda ameguswa kwenye kashfa ya kufoji vyeti sasa mnakuja na utetezi kuwa makaratasi si muhimu!Vipi kuhusu watumishi wengine ambao wametumbuliwa kwa kutokuwa na vyeti halali?Wao si binadamu,ila makonda ndiye binadamu tu?
 
Kumbe busara zinapaswa kutumika kwa category Fulani tu za watu.? walipofukuzwa manurse walimu kwa tuhuma za vyeti mliona sawa Leo yamemkuta mteule mnahitaji apimwe kwa utendaji wake. kwani wale mliowatimua mlambiwa utendaji wao ni mbovu au ni kwa sababu tu vyeti havikuwa vyao.?
 
Back
Top Bottom