Kama una masters halafu unaandika vitu vya kijinga namna hii basi hiyo ELIMU yako haina msaada kwa taifa! Unafikri serikali ilikuwa njinga kuleta mchakato wa uhakiki wa vyeti? Mtu apewe kazi kulingana na ELIMU yake kwa kutumia vyeti halali, sheria ni msumeno wacha Daudi A. Bashite naye umkate!
Sina hata stashahada lakini amenishangaza. Kweli "Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno."