Kama ni utendaji tupo wengi tuna weza lakini shule imetupiga chini ukiomba kazi cha kwanza CV yako then vyeti.Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kama ni utendaji tupo wengi tuna weza lakini shule imetupiga chini ukiomba kazi cha kwanza CV yako then vyeti.Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kwa ufupi tuu mkuu nimekaa chuo miaka mitano....na mwakani nilikuwa mahitajika kwenda Belgium kuendeleza kukariri maandishi,ila kama taifa tumefika hatua ya kutotambua umuhimu wa elimu,nitafute pm kiroho safi mkuu nkuunganishe uende wewe ukaongeze ujinga kama wa mwenzako ambaye amejitanabaisha ana masters na PhD .kama wenye PhD ndiyo wako hivi,nimegahiri mkuu ....njoo uende wewe.Wewe utaakuwa dereva wa UDA,eti anasoma phd kwa kukariri.
Kule kwenu Kijijini kwenye ukoo weny kuna mtu aliyefika form four na kupatahata divisheni 3 ?Kama yupo njoo hapa nakupa vocha.
Pili wewe mambo ya elimu hujui ,Phd watu wanafanya tafiti na si kama unavyodhami ulipokuwa twisheni na ukapata zero yako ndio maana una wivu na wasomi!
Shida siyo uhalali wa vyeti vyake. Bali ni utendaji kazi wake uliotukuka. Kwa nini ajenda ya vyeti ije leo? Makonda amekuwa DC, RC mwakajana yote. Hakuna aliyeleta ajenda ya vyeti vyake. Tukumbuke kuna kiapo cha kisheria cha kubalisha jina DEED POLE.The bottom line is Makonda anaonewa without good cause.
Pig's pussy a meat? Mwambie DAUDI Albert Bashite aweke vyeti hapa!The bottom line is Makonda anaonewa without good cause.
The bottom line is Makonda anaonewa without good cause.
Shida siyo uhalali wa vyeti vyake. Bali ni utendaji kazi wake uliotukuka. Kwa nini ajenda ya vyeti ije leo? Makonda amekuwa DC, RC mwakajana yote. Hakuna aliyeleta ajenda ya vyeti vyake. Tukumbuke kuna kiapo cha kisheria cha kubalisha jina DEED POLE.
True....kabisa bashite anatakiwa kunyofolewa anaizalilisha serikali iloko madarakani.....hata mkuu anavyofanya ziara huko kusini watu wanamuenjoy tu kutokana ni hili la cheti feki....halitafutika labda alifanye kazi,ni sawa na kujichekesha wakati watu wamenuna.Mkuu uko serious au unatania? Hebu sikiliza, kuna nurse mmoja katika hospitali kubwa tu hapa Dar alikuwa anafanya kazi labor ward, kiukweli alikuwa ni tegemeo kubwa sana kutokana na ufanisi wa hali ya juu katika kusaidia wamama wajawazito kujifungua. Uhakiki wa vyeti ulipopita akagundulika hakuwa na vyeti vya kumuwezesha kufanya ile kazi, amepigwa chini na sasa hivi ni jobless hana kazi na hana kipato japo alisaidia sana kuzalisha wamamawajawazito pale hospitali. My point ni hii, msiwe na double standard katika kudeal na hivi vitu kama kuna mahali mtu amekosea awajibike kulingana na makosa yake sio mnakuja kulialia hapa inapokula kwenu. Hii habari ya vyeti imekosesha ajira watu wengi sana ambao walikuwa wanaumuhimu sana jwa jamii kuliko hao unaojaribu kuwatetea.
Kama mnahitaji utendaji uliotukuka,warejesheni watumishi mliowatemesha kazi kisa uhakiki wa vyeti halali.....hapo tutaenda sawa.Shida siyo uhalali wa vyeti vyake. Bali ni utendaji kazi wake uliotukuka. Kwa nini ajenda ya vyeti ije leo? Makonda amekuwa DC, RC mwakajana yote. Hakuna aliyeleta ajenda ya vyeti vyake. Tukumbuke kuna kiapo cha kisheria cha kubalisha jina DEED POLE.
Ikiwa ni hivi unavyosema inabidi tuubadilishe mfumo wetu wa elimu, mtu akishajua kusoma Na kuandika , akimaliza la saba apelekwe sehemu ya kazi Ili kufundishwa kazi badala ya kupoteza muda wa kwenda kidato cha nne, Sita, na chuo.Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
KUSINGEKUWA NA UHAKIKI. LAKINI HAKI ELIMU WALIKUWA NA KIBWAGIZO "ELIMU NI UWEZO SIO CHETI" WATU WAKALALAMA SASA VILAZA MARA VIHIYO.MTULIE TUUHuu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kumbe, nilikuwa sijui mkuu..Tatizo ni kuwa watu wengi sana mitaani wamefanya ubashite, ndio maana wanatetea hili.
Kwa mtu uliyesoma kwa juhudi na bila ku bashite huwezi kukubaliana na huo ujinga.
IPTL Na mikatab mingine mibovu iliyofanywa na wasomi wa nchi hii ni aibu ya wasomi WatanzaniaHayo ni maneno ya mtu ambaye hajasoma chochote, sawa na maneno ya maskini kukaa anajifariji kua wote kaburi ni moja huku ukweli uko wazi.
Mtu yeyote aliyeenda shule akachukukia serious elimu yake anajua umuhimu wa mambo yanayofundishwa shuleni. Ukienda kwa kukurupuka utaishia kuingia loss, una deal na watu smart utafunguliwa kesi uishie kulipa mabilioni kwa move moja tu ya kijinga. Mnajifanya hamuoni swala la IPTL watu wanalipwa 300million kila siku?
Usicheze na watu wanaotumia ubongo na wewe unatumia moyo, utafeli tu, chukulieni na mfano wa Zimbabwe, yule mzee anajifanya akisema yanatekelezwa bila pingamizi, oneni hali yao sasa, kununua mkate kwa bilioni. Watu ambao hamjasoma tafadhali msiwe mnatoa comment kuhusu elimu maana hamkuipata hamjui umuhimu wake zaidi ya story za vijiwezi mlizolishwa. Hakuna kitu kitaiokoa Tanzania kama elimu.