Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,759
- 50,848
Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kwanini ajira zinaendelea kutolewa kwa vigezo vya makaratasi
Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kweli hizi ni master na PhD zisizo na tija kwa taifa.pamoja na kusoma kote huko bado ufahamu wako ni kama wa ambao hawajasoma kabisa!!!! Bora hata lasaba naona ananafuu kuliko wewe unaekariri maandishi tu nakujifanya eti nasoma PhD.,ovyo kabisa.Na bahati mbaya unaweza kuwa mtumishi serikalini wewe, ukijifariji ukimaliza tu PhD ,unapata promotion ya kacheo na kamshahara kuongezeka basiii, lakini pamoja na kaPHD kako ,tija kwa taifa ni sifuri kabisa ,unaanzaje kuwa na tija/ manufaa kwa taifa kulingana na PhD yako kama PhD zimezomwa kwa kukariri maandishi ili uweze kugraduate na upate promotion kazini basiiii.....wasomi wa namna hii ndiyo wanaomtetea makonda kwa maana wao hawaoni ni manufaa gani wanayo yaleta kwa taifa kama PhD zimesomwa kwaajili ya kupata promotions makazini tuu.Nimesoma. Nina MA/MASTERS MBILI.NA SASA NAFANYA PHD. IT IS OUT OF MY PILOT RESEARCH.
Mkuu jaribu kunisoma kwa mstari(between the lines)Pole sana ila nahisi unacheo kikubwa ila huna elimu. Na nyie ndio mlioua viwanda vya JK Nyerere kwa hizo hizo ACTIONS zenu badala ya KNOWLEDGE.
tutolee mawazo ya kipumbavu haya katika kizazi hiki.
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Kweli hizi ni master na PhD zisizo na tija kwa taifa.pamoja na kusoma kote huko bado ufahamu wako ni kama wa ambao hawajasoma kabisa!!!! Bora hata lasaba naona ananafuu kuliko wewe unaekariri maandishi tu nakujifanya eti nasoma PhD.,ovyo kabisa.Na bahati mbaya unaweza kuwa mtumishi serikalini wewe, ukijifariji ukimaliza tu PhD ,unapata promotion ya kacheo na kamshahara kuongezeka basiii, lakini pamoja na kaPHD kako ,tija kwa taifa ni sifuri kabisa ,unaanzaje kuwa na tija/ manufaa kwa taifa kulingana na PhD yako kama PhD zimezomwa kwa kukariri maandishi ili uweze kugraduate na upate promotion kazini basiiii.....wasomi wa namna hii ndiyo wanaomtetea makonda kwa maana wao hawaoni ni manufaa gani wanayo yaleta kwa taifa kama PhD zimesomwa kwaajili ya kupata promotions makazini tuu.
Kama wasomi wenyewe ndiyo kama wewe ,binafsi siendi kabisa kusoma masters na PhD ,nimeghahiri kuanzia Leo.Nikasome ili iweje kwanza kama taifa lenyewe limefikia hatua ya kutoona umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya nchi yetu,bali ukiwa jasiri tu wa kuwapakazia watu makosa .kuwabambikizia watu kesi ,kuropoka hovyo ukiwa mubashara kwenye luninga inatosha sana kwa utumishi wenye weledi.............pooor TZS.
Acheni kulinda uovu, kama vyeti havina maana kwa nini mlifanya uhakiki wa vyeti?Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Ni kweli hakuna MTU anapima MTU kwa vyeti ila sheria za nchi ziko wazi kuhusu matumizi ya vyeti au jina lisilokua lakoHuu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Unaulizwa kwanini umeghushi vyeti?Kukuu wa mkoa unasomewa wapi ?Cheo cha RC ni taaluma au nafasi ya kisiasa?wanasiasa wote kwanzia mwk/mtaa,diwani,mbunge,DC & RC wanapaswa kuwa na taaluma ipi?je kusoma na kuandika haitoshelezi kukidhi majukumu Yao?
Kiswahili chake,IF YOU ARE LIVING IN A GLASS HOUSE DON'T THROW STONES AT OTHERS.
Makonda is a HERO.Nchi inahitaji watu wa calibre hii wengi. The laws were in limbo sleeping.Yeye ameziamsha to proect the public. Wenye ma-degree walikuwepo. Lakini hawakufanya kitu. Walijisahau hata kukumbusha kuwa kuna sheria. I salute Makonda. He is a GREAT HERO of this nation. We need people who are CREATIVE,PROACTIVE,EFFECTIVE as well.Katika ishu hii vyeti vimeprove failure. But the bold decisions and actions of Makonda have shaken the nation, without leaving any stone unturned. The nation has been in advent for such long time waiting for people of this calibre. Matters of certificate can not overtake the precious acts done by the said person. If you have concrete facts, hard evidence as well take the matter to the corridors of courts. He who alleges must prove. Otherwise these allegations of certificates are mere speculations,frevolous, peddled by the victims. We are tired of hearing the same fake stories expecting different results. As it stands, Makonda is a HERO. I HEREBY declare my interest that I support his style of leadership.Things must be pushed around for them to roll.
Kasoma masters at kolomije universityI doubt it, mtu aliyesoma Masters alafu huoni umuhimu wa elimu. Una matatizo wewe.
Bashite lazima atuonyeshe vyeti vyakeSasa kwanini serikali ilitumia pesa na muda kuhakiki vyeti vya watumishi wake?!
Achana na hao wapuuzi mkuu... Hela za wale walionunua Lexus ya Bashite zinafanya kazi hizo! Wako wengi kweli wameingizwa humu tangu tulipoanza kuhojiHata madaktari,waalimu, mapolisi na watafiti wote wapimwe kwa actions bwana sio makaratasi..... Makaratasi ya kazi gani sasa... Yani hata wauguzi ni mwendo wa actions tu...... WTF citizens!!
Shangaa mtu anatumia makaratasi ya mwingine..... Ya nini sasa....
Na bado mnajisifu na elimu bure hadi kidato cha nne........ Actions mwanzo mwisho"kazi tu"....hata neno dakta tulitoe pale.
Only in TZ
Samahani sana nasikitika sitakujibu. Sitakujibu kwasababu ya nilichokisem hapo juu, wisdom. Siyo lazima kujibu kila kitu na hasa unapogundua unaongea na mtu asiye na hiyo kitu wisdom. Kabila langu limeingiaje hapa? Unafikiri woote walioko humu ndani hawaelewi mie ni muhaya ama si watani zangu. Naamini pia, hata kama ni kuhitaji ufafanuzi toka kwangu haikuwa sahihi kutumia baadhi ya maneno humo.Watani zangu wanafahamika sana kwa kupenda kusoma, lkn ukimkuta Mhaya mjinga, basi huwa ni mjinga kweli kweli...hata asome mpk wapi ujinga huwa haumtoki.
Rweyemamu, unajua maana ya neno WISDOM? Kama unajua maana yake, hebu nidadavulie ni aina gani ya WISDOM iliyotumika kuwataja watuhumiwa hadharani kiasi wanapata mwanya wa kuficha ushahidi na baadaye tunabakiwa na malumbano tu na bado tunaambiwa tupige makofi na kusifu?
Itafute elimu ili mwili wako usidhalilike.
Sasa Mkuu kurusha maneno kama investigation, court nk ya nini,
Ikiwa ulilolisema labda nikukumbushie, naona kama fahamu kama zinakutoka in less than 8 hours ya kufungua huu uzi,
Maneno yako hapo chini, vyeti sio hoja, hoja ni ujasiri tu..sasa court ya nini au kila unachokisikia kiende kotini?
![]()
The bottom line is Makonda anaonewa without good cause.Sasa Mkuu kurusha maneno kama investigation, court nk ya nini,
Ikiwa ulilolisema labda nikukumbushie, naona kama fahamu kama zinakutoka in less than 8 hours ya kufungua huu uzi,
Maneno yako hapo chini, vyeti sio hoja, hoja ni ujasiri tu..sasa court ya nini au kila unachokisikia kiende kotini?
![]()
Ameharibu sana hata ushahidi wa madawa ya kulevya umepotea.Makonda is a HERO.Nchi inahitaji watu wa calibre hii wengi. The laws were in limbo sleeping.Yeye ameziamsha to proect the public. Wenye ma-degree walikuwepo. Lakini hawakufanya kitu. Walijisahau hata kukumbusha kuwa kuna sheria. I salute Makonda. He is a GREAT HERO of this nation. We need people who are CREATIVE,PROACTIVE,EFFECTIVE as well.Katika ishu hii vyeti vimeprove failure. But the bold decisions and actions of Makonda have shaken the nation, without leaving any stone unturned. The nation has been in advent for such long time waiting for people of this calibre. Matters of certificate can not overtake the precious acts done by the said person. If you have concrete facts, hard evidence as well take the matter to the corridors of courts. He who alleges must prove. Otherwise these allegations of certificates are mere speculations,frevolous, peddled by the victims. We are tired of hearing the same fake stories expecting different results. As it stands, Makonda is a HERO. I HEREBY declare my interest that I support his style of leadership.Things must be pushed around for them to roll.